polisi

  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ooh! Polisi waliua watu nyumbani kwao. Nani kauawa jana?

    Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu. Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale. Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka...
  2. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi La Polisi: Tunaimarisha Zaidi Ulinzi Na Usalama Usiku Huu

    Ndugu zangu Watanzania, Jeshi letu la Polisi limesema ya Kuwa Limeimarisha na linaimarisha zaidi ulinzi na Usalama Usiku huu. Ambapo Doria kali zitapigwa usiku kucha kuhakikisha amani na utulivu vinatamalaki na hakuna uhalifu wa aina yoyote ile unaofanyika wala kutokea. Rai yangu kwenu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Halafu kesho unamtuma eti Waziri wa Vijana akaongee na vijana. Akaongee na wanajeshi na Polisi

    Sio huyo tu, hata Mwigulu hatumuhiraji nae aende makambini akaongee na wabeba bunduki. Hii ndio nchi iliokuwa inaitwa kisiwa cha amani leo inatawaliwa kwa mtutu wa bunduki. Ni aibu na fedheha tupu mbele ya walimwengu. Anyway, haya ndio matokeo ya kutawaliwa na viongozi haramu wasio na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Polisi wakikagua abiria Tegeta Kibaoni

    Ni asubuhi leo desemba 9, 2025 katika maeneo ya Tegeta Kibao jijini Dar es salaam, Askari Polisi wakifanya ukaguzi wa kila gari yakiwemo mabasi yanayotokea Kaskazini (Arusha, Moshi na Tanga).
  5. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi: Ni picha mjongeo ya zamani kuhadaa wananchi kuandamana

    Jeshi la Polisi lingependa kueleza kuwa, kuna hii picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza. Hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama hiyo kama kuna ambao...
  6. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa mwaka huu polisi wamepiga sana hela

    Hizi kashikashi zilizoanza kabla ya wakati wa kampeni, wakati wa kampeni ,baada ya kampeni, maandamano ,kukipambania chama cha mapinduzi nk bila shaka jamaa wameingiza mpunga wa kutosha kupitia vifuta jasho vya hapa na pale visivyo kauka. Nguvu inayotumika kudhibiti maandamano si kitoto hivyo...
  7. Kaunara

    JamiiForums Tanzania Nimenusurika Kupigwa Risasi na Polisi usiku huu

    Nimeumia sana ndani ya moyo wangu. Dk 45 zilizopita nilikuwa na mke na mtoto wa miezi sita tumetoka pharmacy kuchukua dawa na gari. Sababu za kiusalama siwezi taja ni sehemu gani. Navyorudi nikapaki kwenye duka pembeni ya barabara nilikuwa na kiu. Baada ya kupaki wife nae akawa ananiagiza...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninawatakia kila la heri jeshi la polisi kwa kazi wanayoenda kuifanya kesho

    Mwenyezi Mungu alitangulie jeshi letu la polisi kwa kazi ya kuhakikisha kesho kunakuwa na utulivu baada ya kutokuwa na sintofahamu ya kuwepo uhalifu kwa kisingizio cha maandamano. Ninalisihi jeshi la polisi lisisite kutumia virungu, mabomu ya machozi au hata risasi za moto kulingana na ukaidi wa...
  9. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania mna shida gani?

    Hawa jamaa wanashangaza sana. Juzi walitoa tamko ya kuwa wanapiga marufuku maandamano kwa sababu walioyapanga hawako nchini. Wakati huo huo wanatangaza kukamata vijana kadhaa kwa kuratibu maandamano. Mnataka wahusika wawe nchini ili kusudi mtoe kibali wakati huo huo walioko nchini mnawakamata?
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Geita: Polisi yawaonya Viongozi wa makundi ya WhatsApp 😄

    Kila kukicha mwisho mtavua nguo sasa. Viongozi wa makundi ya whatsapp mnatakiwa mje kutoa taamko.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Polisi sasa wanaanza kukiri kuwakamata watu na kukanusha kuwateka. Mwanzo mzuri bàada ya D29

    Kumbe nyinyi ndip mlikuwa "watu wasiojulikana" Leo mnakiri kila anayepaziwa sauti kuwa mnaye wala hajatekwa. Mimi naona kama mwanzo mzuri kama mtu ana makosa mkamateni kwa kufuata sheria. Kesho msiue watu!
  12. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Magari ya matangazo yasambazwa mtaani kutoa taarifa kwamba watu wasiandamane. Hii imekaaje? Ni uoga au paranoia?

    Polisi ahsante sana kwa kuendelea kutangaza maandamano haya, mnafanya kazi nzuri mnatangaza nchi nzima, nyie jifanyeni kama mnasema hayatakuwepo kumbe ndio mnayatangaza kwa kasi ya ajabu.
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi Mwanza: Limewatia mbaroni watu 116 wanaodaiwa kuratibu maandamno ya Desemba 9

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewatia mbaroni watu 116 wanaodaiwa kuratibu mipango ya kufanya maandamano yasiyo rasmi tarehe 9 Desemba mwaka huu, tukio linalotajwa kuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani. Akizungumza na Wanahabari, Desemba 6, 2025 katika kituo kikuu cha Polisi kilichopo...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi Songwe: Tumewakamata Isakwisa Lupemba, Ally Mnyafundo kwa kushiriki katika makundi ya mtandaoni yanayohamasisha uhalifu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa zisizo sahihi zinazosambazwa na kuonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, Isakwisa Lupembe na Ally Mwafongo, wametekwa na watu waliojitambulisha kuwa ni Askari Polisi. Taarifa ni kwamba, huko katika...
  15. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Polisi yakanusha Magari kuhamishwa Tunduma kukwepa hasara wakati wa maandamano

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limekanusha taarifa zinazosambazwa mtandaoni kuwa magari yanahamishwa kutoka Tunduma ili kukwepa hasara, na kwamba taarifa hizo zinalenga kuleta hofu kwa umma. Aidha, limetoa onyo kali kwa wote wanaotengeneza na kusambaza taarifa za upotoshaji.
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali na Polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikomo - aah! Tukutane Ikulu

    Serikali na polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikoma aah, tukutane ikulu
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Mimi kama Mtanzania napinga na kupiga marufuku polisi kushiriki siasa

    Kichwa cha habari kiko wazi. Kama kweli dola ni mali ya wananchi, sisi wenye jeshi letu tupinge na kulipiga marufuku kushiriki au kushirikishwa kwenye siasa hi,I za majitaka. Katiba yetu inapiga marufuku vyombo na taasisi, a umma na watumishi wake kutumika au kupeendelea katika kutimiza...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Polisi msiuingie mtego wa kuzuia maandamano ya 9D ama kwa makusudi au kwa bahari mbaya.

    Wenzenu watakuwa nje ya nchi na familia zao wakiwaangalia kwenye TV, wakati ninyi mnapambana na raia ambao hata baada ya masaa ya kazi mnaenda kuishi nao huko mitaani. Mwenye masikio na asikie. Tarehe 9D siyo siku ya utani. Polisi atakayeliona onyo hili amtaarifu na mwenzie.
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chalamila: Nimeona watu wanaenda mikoani,huu ni msimu wa sikukuu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa watu wanaosafiri kwenda mikoani ni jambo la kawaida linalotokea kila mwaka, na si kitu cha kushangaza au kuhusishwa na sababu nyingine. “Naomba niwaambie kitu kimoja: kama kweli kuna adui, atakuwa amefanikiwa endapo atagundua kuwa...
  20. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya 9 December 2025

    Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani. Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika...
Back
Top Bottom