polisi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Waongezeeni mishahara Polisi kuelekea Desemba 9 (D9)

    Kama kicha kilivyo kichwa cha habari tunaomba sana sana waongezewe mishahara wale polisi waliokuwa front line siku ile tarehe 29 Oktoba, Tena na wapande cheo , ushauri wangu tuitishe haramabee ya wafanyabiasha na sisi wananchi ili kila pilisi aliyepiga risasi sahihi yaani za kichwa apate angalau...
  2. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia, tusaidie kuwaagiza Polisi wamuachie Polepole kama ulivyoagiza wasimkamate Askofu Gwajima

    Nimesikia leo kupitia kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuwa umeagiza Polisi wasimkamate Askofu Gwajima. Naleta ombi tena kwako mkuu uwaagize polisi wamuachie Polepole. Kingine nakukumbusha kuhusu katiba mkuu maana haya yote ni madhaifu ya katiba tuliyonayo. Rais una nguvu ya kusamehe watu bila...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Polisi waache kumtafuta Askofu Gwajima, Muacheni aendelee na ibada zake tujenge umoja wa kitaifa

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Polisi liache kumtafuta Askofu Dkt. Josephat Gwajima kama walivyokuwa wametangaza awali ili aweze kuendelea shughuli zake. Amesema baada ya kutoa msamaha kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima, waumini wanahitaji...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Polisi, JWTZ mnakubali tanganyika iuliwe na Zanzibar?

    Jitafakari tena. Yangu ni hayo.
  5. Kubwjing

    JamiiForums Tanzania Vita ya Polisi na Raia imeanza Arusha. Askari ajeruhiwa vibaya kichwani kwa mawe, waamua kutumia risasi

    Habarini Wakuu, Arusha yameanza matukio ya vita ya mawe kwa risasi kati ya Raia na Polisi. Asubuhi ya leo katika hospitali ya Kaloleni amekuja askari anayevuja damu akiwa ameumia vibaya sana kichwani. Sambamba na hilo, maeneo ya Tengeru kuja mjini askari wamekuwa wakipiga risasi ovyo ila...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa vitendo vya polisi kwa wananchi itafika wakati mtu kuwa polisi ataogopa itakuwa ni sawa na kutembea na madawa ya kulevya

    Kwa vitendo vya polisi kwa wananchi itafika wakati mtu kuwa polisi ataogopa itakuwa ni sawa na kutembea na madawa ya kulevya. Huku ndipo tunapoelekea.
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu waliopigwa risasi kule arusha leo na polisi wakiwa wamekaa tu, wapeleke taarifa kwa madowo wa CNN ili dunia ione Tanzania ilipofikia kwa sasa

    Watu waliopigwa risasi kule arusha leo na polisi wakiwa wamekaa tu, wapeleke taarifa kwa madowo wa CNN ili dunia ione Tanzania ilipofikia kwa sasa. Viongozi wajinga ndio wametufikisha nchi kwenye machafuko,
  8. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Polisi acheni ujinga Leo mmepita hapa mtaani mnapiga risasi hovyo watu mmechanganyikiwa?

    Wazee huku Arusha polisi wametukuta tunapiga stori wakapiga risasi hovyo wamepiga risasi jamaa yetu mda huu hivi Hawa watu wamechanganyikiwa Au watu wasipige stori tumewafurumusha na mawe endeleeni kuchokoza vijana waliotulia soon mtakipata Cha mtema Kuni itakua sio mawe tena mnatia hasira...
  9. Mr Devil

    JamiiForums Tanzania Tz jeshi ni moja tu, Jeshi la polisi

    Kwa hali inavyo onekana Tanzania jeshi ni moja tu Jeshi la polisi wengine wote skauti
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Simbachawene: Tusirudie kuandamana, tushirikiane na Polisi. “NI RAFIKI ZETU”

    Hawa si rafiki zetu, ni WAUAJI WETU. Chawene unaongea kupalilia ulaji wako, lakini from the innermost chamber of your heart unajua kuwa hawa si rafiki. Untill the whole bloodfucken thing is dismantled, true statements of love can never be said to exist betwee civilians and police killers. Au...
  11. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu leo Tabata. Polisi anatoa maelekezo kwa Wanajeshi aisee

    Picha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi, swali linabaki ni Je! Itifaki ya vyombo vya ulinzi na usalama inawezekana kwa jambo hili? Hivi Hili ni...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Matamko yamekuwa mengi, kwahiyo Polisi mnajiandaa na genocide nyingine?

    Naona kila mmoja wa polisi anatoa vitisho kama vya 29.10. Kwahiyo mnajiandaa na genocide nyingine? Cc Larry Madowo elekeza satellite zote Tanzania nzima for uncontroverted evidence
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen z waliwashinda nguvu polisi kwa asilimia 100% Oct 29, badala yake polisi walianza kuvizia makazi na vikundi vidogo lakini kwenye uwanja walikimbia

    Gen z waliwashinda nguvu polisi kwa asilimia 100% Oct 29 badala yake polisi walianza kuvizia makazi na vikundi vidogo lakini kwenye uwanja walikimbia. Ikumbukwe polisi waliuwa maelfu ya gen z na wanawake oct 29 wengi wakiwa majumbani. Je, Tutegemee nini #D9 polisi watakutana na visasi vya gen...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Polisi ilimwachia akakikimbia, akapigwa Risasi ya kwanza ikamkosa, ikapigwa Risasi ya pili ikampata akaanguka na kufariki

    Kutoka kwenye ukurasa wa Sativa mtandao wa X; Ushahidi mwingine wa POLISI na vyombo vya USALAMA wakiua watanzania. Huyu ni kijana ambae alikamatwa 29 oktoba siku ya maandamano huko TUNDUMA MKOANI SONGWE. Hapo alishushwa kwenye Gari la Polisi baada ya kupigwa sana na kuambiwa AKIMBIE...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi hasa wa Visiwani wanathamini sana Uarabu? Samia alishasema waliambiwa na polisi "Nyie waarabu mna shida sana" Mbona wabantu wenzetu

    Niliona documentary ya watu wa Madagascar wanajipa rangi nyeupe usoni na mikononi, kwenye narration yake anayesimulia makala hayo, aliweka wazi kabisa siyo kwamba ni "Assimilation" Assimilado kwa kifaransa lakini ni obsession ya watu wa huko kuonekana ni weupe. Nilishangaa kidogo, nimeishi na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wafadhili watubane tu mpaka ifike mahala kununua kilo ya unga iwe ni mtihani halafu tuone hawa polisi, TISS na Jeshi kama wataendelea kulinda watawala

    Mimi naomba tu nchi wafadhali na mashirika ya fedha duniani, waungane wasitishe mikopo na misaada kwa asilimia 100 kama ambavyo umoja wa ulaya teyari umeonyesha mfano. Uchumi uvurugike, tushindwe kununua hata kilo ya unga na hata mishahara iiwe shida kulipa, halafu tuone kama hivi vyombo vya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu dada alichukuliwa na Polisi akiwa nyumbani hajarudi mpaka leo

    Kauli za wahalifu halsi zinasema waandamajai walikuwa raia wa kigeni, walikuwa hawaogei kiswahii na walilipwa. Je, vipi kuhusu ndugu zetu waliochukuliwa wakiwa nyumbani na hawa Polisi, nao walikuwa raia wa nje? basi tunaomba muwarejeshe na kutupa takwimu tujue hatunao tena kisha tukazike...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Golugwa: Mwigulu alitoa kauli ya kukiri Askari walifyatua risasi bila utaratibu

    Amani Golugwa Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea kauli za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu katika Mkutano na wahariri wa vyombo vya habari kwamba alikiri kimyakimya Askari kufyatua risasi bila utaratibu wala muongozo...
  19. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la Polisi lilipofikia Polisi akimtaka mke wako na ukimuuliza anakumiminia risasi na IGP anasimama na kusema polisi wangu alikuwa anajihami

    Kuna visa ukivisikia unadhani ni story lakini jeshi hili la Polisi Tanzania ni jeshi la ovyo na hasa kwa unyanyasaji na ubabe usio na kichwa wala miguu. Asakari polisi anaweza kukufanyia lolote atakalo na kama huna pesa na huna watu basi haki ndio inapotea. Nadhani nchi nyingi za Afrika zina...
  20. tpaul

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polisi waliofanya mauaji ya Oktoba 29 wamepandishwa vyeo mara 2

    Habari za kiintelejensia zilizovuja kutoka duru za kipolisi ni kwamba polisi wote walioshiriki kuwaua raia kati ya Oktoba 29 hadi Novemba 5 wamepandishwa vyeo mara 2. Upandishaji huu wa vyeo umeenda sambamba na idadi ya watu ambao kila mmoja aliua. Waliwaua watu wengi zaidi, wamepandishwa cheo...
Back
Top Bottom