polisi

  1. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Mchungaji Mtaita hakutekwa tunamshikilia kwa chochezi

    Jeshi la Polisi mkoani Manyara, linamshikilia mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Boay wilayani Babati, Eleth Mtaita akidaiwa kufanya uchochezi. Akizungumza kwa njia ya simu na Mwananchi leo Jumamosi Oktoba 25 mwaka 2025, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Asajile Mwanjala amechukuliwa na Afande Ally polisi wa kituo cha Ifunda

    Asajile Mwanjala amechukuliwa usiku wa jana Kijiji cha Ihemi kata ya Mgama, Nimeongea nae amechukuliwa na Afande Ally polisi wa kituo cha ifunda na Afande Razaro Polisi wa Iringa mjini. Fikeni hapo kituoni Ifunda haraka.
  3. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi wanaendelea na vitisho kwa raia, huko tabora wamefanya mazoezi wakidai kuimarisha usalama kwenye uchaguzi

    Maafisa wa Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora wakiongozwa na SACP Richard Abwao, Kamanda wa Polisi mkoani humo wamefanya mazoezi ya kawaida ya mwendo wa pole na haraka katika viunga vya Manispaa ya Tabora yakilenga kujiweka tayari kulinda amani na usalama kwa wananchi hususani kuelekea uchaguzi mkuu...
  4. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Polisi: hata ukikimbia nchi tutakusubiri ukirudi hata ukiwa mzee tutakukamata na utatumikia kifungo

    Jeshi la polisi limetangaza kuwa hakuna atakaeachwa kwa kosa aililofanya hata akiwa mzee tutamkamata.
  5. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 David Misime awatisha wanaohamasisha maandamano, asema siku hiyo hata kama utakuwa unapita tutakukamata, tuna picha zenu

    "Na niwaambie hata hao wametengeneza akaunti zao bandia, feki. Wanafikiri wamejificha sana huwezi kujificha kwenye hizi simu. Hivi vifaa vya kieletroniki vimefanya hata siri zetu ziwe hadharani. Wengine tuna picha zao tukitembea mimi kwenye gari pale ninazo na nikiona mtu anaangalia hivi huyu...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Nchi Ikafanikiwa Kufanyiwa Mageuzi, Kamanda Muliro Afukuzwe Kazi

    Huyu mwamba anayeitwa Muliro Ukimsikiliza vizuri na kama yeye haoni shida kuhusu utekaji. Maswali yote anayoulizwa kuhusu utekaji anachukulia kama ni mzaha tu, na ni kama anatumia cheo chake kuficha uovu wa polisi wenzake na viongozi watawala. Hajawahi kufanya kazi ambayo raia wakaisifia...
  7. 100 others

    JamiiForums Tanzania GE2025 Songwe: Nyumba ya Polisi yachomwa Moto na watu wasiojulikana

    Kazi imeanza huko! Ni alarm kwa polisi sasa ============== Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Polisi Kata wa Kata ya Chitete, iliyopo Kijiji cha Ikumbilo, Wilaya ya Ileje mkoani Songwe na kuteketeza mali zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni. Akizungumza leo Ijumaa, Oktoba 24, 2025...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Makamo Heche ametekwa na Genge dogo Ndani ya Jeshi la Polisi la Akina Mafwele Makonda linaloendesha Utekaji na Mauaji Nchini.

    Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana. UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda. Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge...
  9. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Haya magari mapya ya polisi ni ya kivita kabisa. Yote haya ya nini?

    Leo nimeona Magari Magari kweli kweli ya jeshi la Polisi ni magari imara sana kukabiliana na Uhalifu. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini. Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Nyimbo wanazoimba Polisi wetu ni huzuni kwa kipindi hiki

    Ewe mwananchi ukapige ukishamaliza ukale ugali nyumbani.....
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini. Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amemshukuru Mkuu wa Jeshi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Muda mzuri wa Polisi kupiga hela; Tafteni chambo hata Copro atoe tamko la kuunga mkono maandamano ili wakuu waje mezani watoe mpunga

    Haya mambo ni kufa kufaana! Upande wa polisi hawajui kuitumia fursa! Huu ndiyo ulikuwa muda sahihi wa kutengeneza hata copro mmoja kama chambo atoe tamko (halafu mnazuga kumkamata na kumhoji huku mkimlinda kwa kufikisha ujumbe) Wakuu lazima waje meza ya mazungumzo waweke dau! Wote hawawezi...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three. Tushikamane kwenye hili

    Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three. Ni kweli Polisi Tanzania mpo je ya. Sheria. Kwenye hili mumejua kutuumiza. Polisi unapiga Marungu mtoto mdogo wa kike kama unapiga kibaka? Hivi kweli hili jeshi la Polisi la Tanzania ndo lile tunajua au kuna kitu kipo nyuma...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Idadi ya vituo vya kura ni vingi kuliko Polisi

    Usikubali kusogeza au kurudisha maandamano nyuma. Nchi nzima wakiandamana kwenye vituo vya kura uchaguzi hakuna. Polisi hawatoshi na wakipiga mabomu wanatawanya wapiga kura wao, nakuwajeruhi
  15. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjumbe wa ZEC, Awadh: Jeshi la Polisi lina jukumu la kulinda bila ubaguzi, kukengeuka wala kushabikia upande wowote kwenye Uchaguzi

    Zikiwa zimesalia siku 10 kufikia Oktoba 29, 2025 ili Watanzania wapige kura, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imelitaka Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia usawa bila kuonesha upendeleo. Imeeleza kuwa, lengo ni kuona jeshi hilo linatenda haki kwa kila mmoja na kuacha alama...
  16. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tarime wamchukua Makamu Mwenyekiti John Heche kwa usalama zaidi

    Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa...
  17. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania Nashauri polisi watupe mafunzo ya muda vijana tuongeze nguvu Oktober 29

    Za usiku mnene Nimekuja na wazo kama itafaa makanda wa mikoa yote waendeshe zoezi hata la siku 5 kuwapa mafunzo vijana tulio tayari kulinda amani ya nchi yetu Hii itaongeza nguvu zaidi dhidi ya hawa manyumbu wanachochea fujo Virungu tu vinatosha kuwakalisha hawa vijana wasiojitambua Oktober...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ijue idadi ya Polisi Nchi nzima, na kwanini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kusimamia Uchaguzi

    Taarifa ninazozitoa hapa zote ni takwimu rasmi za Serikali. Kwa nini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kulinda/Kusimania Uchaguzi na kulinda Usalama wa Raia kwa wakati mmoja. Vituo vya Kupigia kura nchi nzima vipo 99,895 ambapo Tanzania bara kuna vituo 97,348, Tanznaia nzima ina...
  19. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Nasikia nchini Afghanstan Polisi na Jeshi wameongezewa mshahara kuelekea tukii kubwa la mwisho wa mwezi

    Kuna mtu kachungulia pay roll za mwezi huu huko jijini Kabul anasema kaona wazee wa kazi wameongezewa kitu. Je ukweli ni upi kwa mnaofuatilia siasa za Afghanstani?
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Watu 6 wanaodaiwa kukamatwa kwa njia ya kutatanisha, walikamatwa kwa mujibu wa taratibu za kisheria

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya mambo mawili yanayosambazwa kupitia Vyombo vya Habari. Jambo la kwanza ni kuhusiana na majina ya watu saba ambao inapotoshwa walikamatwa katika mazingira ya kutatanisha na kwamba ni ukandamizaji. Ni kwamba miongoni mwa watu...
Back
Top Bottom