polisi

  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la ajali Kemondo - Bukoba lawaingiza Mtaani Bwanku na Jeshi la Polisi kutoa elimu

    Ndani ya kipindi kisichozidi miezi miwili Kata ya Kemondo imeshuhudia ajali 3 za barabarani zilizoua watu watatu, kufuatia matukio haya ya ajali Afisa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera Ndugu Bwanku M Bwanku, Ijumaa Oktoba 3, 2025 ameongozana na Polisi Kata wa Kemondo Afande Huruma...
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere alimuogopa Nyerere kuliko Polisi

    Andrew Nyerere ile miaka ya 1990s akiwa kijana wa ku party kwenye clubs, alikuwa akifanya fujo halafu police wakianza kumtafuta alikuwa anakwenda nyumbani kwa RPC wa Dar miaka ile yaani RPC Tryphon Maji pale A. H. Mwinyi Rd jirani na Kaunda Drive. Basi police wanakuwa wa pole tu. Aliona vema...
  3. feyzal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mafuriko ya askari polisi na wanajeshi barabarani leo kulikoni?

    Wakuu habari. Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kimakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndio mambo ya uchaguzi na maandamano?. #kazi ipo
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam ni Dharau, Inachochea Machafuko, Badala ya Kuomba Radhi Anawatisha Wananchi” ✅

    Ni muhimu serikali iache kiburi. Kuomba radhi ni ishara ya uungwana na uwajibikaji, siyo udhaifu. Badala ya kutisha wananchi kwa kauli za kupiga na kuwavunja miguu, viongozi wanapaswa kutafakari: vipi iwapo polisi wakiwapiga wananchi nao wakaamua kupigana nao? Hayo matamshi siyo ya hekima, ni ya...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwagala: Padri Jordan Kibiki alikutwa Mbeya akiwa na depression

    Vincent Cosmas Mwagala, Askofu wa Jimbo Katoliki la Mafinga anaongea muda huu na waandishi wa habari kuhusu sakata la kupotea kwa Padri na kuonekana tena Mbeya.
  6. Damaso

    JamiiForums Tanzania Polisi wetu: Walinzi wa amani au watu wasiojulikana?

    Katika kila taifa linalojitambua, Jeshi la Polisi ndilo nguzo kuu la amani, usalama na mshikamano wa kijamii. Polisi hupewa jukumu la kulinda raia na mali zao, kuhakikisha sheria zinafuatwa, na kuwa ngao dhidi ya vitisho vya ndani na nje. Hata hivyo, maneno yanapotoka kinywani mwa viongozi wa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Polepole alisema polisi siyo kwamba wananyanyasa watu kwa kupenda ila wamejawa shida na msongo wa mawazo, alitaka waongezewe maslahi

    Wakuu leo kwenye pitapita zangu huko nikakutana na video ya Bwana Polepole kipindi hiko akiwa anapambani katiba mpya mwaka 2014. Wakati akizungumza alisema kuwa wakati wanakusanya maoni ya katiba mpya aliambiwa kuwa Polisi wana shida nyingi sana, hali zao za kimaisha si nzuri sana. "Polisi...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni muhimu polisi wafuate sheria za ukamataji ili kuondoa sintofahamu

    Imeshakuwa ni jambo la kawaida watu waliovaa kiraia na gari la kiraia kuondoka na mtu kisha baadae mnaambiwa alikuwa polisi. Wengine wanapotea kauli inatoka waliomkamata hawakuwa polisi. Huu mkanganyiko ni kwa kuwa mara nyingine inakuwa shida kutofautisha watu hawa, na itakuwa matokeo ndio...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latangaza uchunguzi wa video ya Askari kulala chini, madai ya rushwa na mateso

    Video inayoonyesha askari polisi akiwa amelala chini imezua taharuki mitandaoni, huku ikidaiwa imerekodiwa katika kituo cha polisi bandari. Katika ujumbe ulioambatana na video hiyo, askari wanaodai kuwa wa kituo hicho walieleza kuwa wanakabiliwa na unyanyasaji mkubwa kutoka kwa viongozi wao...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tunafutilia wahusika wa 'clip' inayosambaa ya Askari polisi kituo cha Bandari kudai kunyanyaswa na viongozi wa kituo hicho

    Jeshi la Polisi limeona picha mjongeo (Video clip) ikionekana askari amelala chini, iliyoandaliwa eneo ambalo halijulikani na inasambazwa katika mitandao ya kijamii. Tunajulisha kuwa tumeanza uchunguzi wa kubaini ukweli wake, wapi imetengenezwa na ni wapi maneno yanayoambatana nayo imeandaliwa...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aiba gari ya polisi asema ni mali ya taifa na nalipia ushuru

    Ila waKenya mnabalaa sana :D :D :D ila kwa upande mwingine ni kweli maana ni pesa za wananchi kwahiyo wanahaki ya kutembea nalo kidogo ================ Mwanaume mmoja nchini Kenya amekamatwa kwa kuiba gari ya Polisi jambo ambalo limezua taharuki na mshangao miongoni mwa watazamaji. Mwanamume...
  12. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Abiria warukia madirishani baada ya basi la mwendokasi kukamatwa na polisi kisa kuzidisha abiria

    Abiria wanaotumia usafiri wa Mwendokasi wameshuka kupitia madirishani katika Kituo cha Magomeni Mwembechai, jijini Dar es Salaam, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kusimamishwa na polisi kwa madai ya kuzidisha abiria kupita kiasi. Tukio hilo lilitokea leo asubuhi, majira ya 08:25, ambapo...
  13. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tamko La Rais Wa TLS Juu Ya Kitendo Cha Polisi Kuzunguka Ofisi Za TLS

    Wakili Mwabukusi ambaye pia ni Rais wa TLS (Chama cha Wanasheria Tanganyika), akizungumza na Wakili TV leo, amesema TLS inachukulia suala la polisi kuzunguka katika ofisi zao kwa uzito mkubwa sana. Amesisitiza pia kuwa TLS si wahalifu bali ni chombo cha kisheria kinachotekeleza majukumu yake kwa...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kazi ya hili gari la polisi lenye kama radar hapa Morocco

    Barabarani hapa karibu kabisa na kituo cha osterbay polisi kuna gari NI la polisi ila linafanana na Yale ya jeshi la IDF kwa juu kina kama radar inazunguka Ile kazi yake ni Ku detect kitu gani naomba mwenye uelewa
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ofisi za TLS zazingirwa na polisi. TLS yatoa tamko

    Ofisi za TLS Makao Makuu zimezingirwa na Polisi muda huu leo tarehe 22 Septemba 2025. Taarifa zaidi zitakuja
  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Njombe: Askari magereza aliyedaiwa kumuua mwenzake adaiwa kujiua kwa kujirusha kwenye gari la polisi

    Askari wa Jeshi la Magereza mkoani Njombe Erasto Mlelwa (26) amejiua kwa kujirusha kutoka kwenye gari la polisi baada ya kubainika kushiriki mauaji ya askari mwenzake wa jeshi hilo Dickraka Mwamakula (24) huko Lilondo halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma. Hayo yamebainishwa leo Septemba 21,2025...
  17. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania, siyo watu wa kujenga ukaribu nao

    Ni mhimu kujifunza hili ; POLISI SIO JAMAA YAKO kama umewahi kuambiwa polisi ni mtanzania mwenzako nadhani afya yako ya akili haipo sawa nenda kapimwe mkojo. Ipo hivi, Polisi kabla ya kuwa POLISI lazima abadilishwe akili yake na kuwa kama Mbwa yani kule wanapopata mafunzo hubadilishiwa ubongo...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Polisi mnapoingilia mahakama hipo siku mahakama itaingilia polisi ofisini kwenu

    Siwezi shangaa Tanzania ilipofikia kwa sasa maana BASATA na TCRA wanaweza kuwa michepuko ya mtu mwengine. Sio tu wao hata idara nyingi sasa mfano wizara ya michezo ikaweza kucontrol TRA sasa. Tuje kwenye mada sasa mfano mahakama kuona polisi wakiingilia mahakama na kufanya kama sehemu ya ofisi...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Lindi: Hakuna aliyekamatwa kwenye mkutano wa Chama cha AAFP, wanatoa madai ya uongo

    Jeshi la Polisi mkoani Lindi limetolea ufafanuzi madai ya mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombare Mwiru ambaye alisema vurugu zilizotokea jana kwenye eneo Kilwa Masoko zilisababisha ashindwe kufanya mkutano. Soma Pia: Chama cha AAFP yaahirisha mkutano wa kampeni...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Madeleka: Mahakama ichukue hatua dhidi ya Polisi kwa vitendo vya ukiukaji Sheria

    ‎Wakili Peter Madeleka ameiomba Mahakama kuchukua hatua kutokana na vitendo vinavyofanywa na Jeshi la Polisi kwa kufika maeneo ya mahakama, kukamata pamoja na kupiga raia na hata kumkamata Wakili Deogratius Mahinyila kwa kile alichoeleza kuwa ni kinyume cha sheria na utaratibu. ‎"Kwa siku za...
Back
Top Bottom