polisi

  1. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Jeshi la polisi lamshikilia mkazi mmoja baada ya kumkuta anamiliki silaha kinyume cha sheria

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linamshikilia Mohamed s/o Kassim miaka 47, mkazi wa Mbagala kwa tuhuma za kumiliki silaha aina fatih 13turukye Pisto yenye No, TZ C.A.R 1053515 ikiwa na magazine yake isiyokua na risasi kinyume cha sheria. Mnamo tarehe 07/04/2020 saa 12:30 jioni...
  2. S

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro, kwanini askari polisi wanatumwa field na silaha nzito wamevaa kiraia? Kwanini unatuma askari na silaha nyingi tukio dogo la kiraia?

    Ni jambo ambalo linazidi kuenea Tanzania. Mara nyingi unakuta askari polisi wanatumwa kwenye tukio linalohitaji silaha (japo ni machache Tanzania) huku wakiwa wamesheheni silaha na bado wamevaa kiraia. Kwa nini wanafanya hivyo? Je inaruhusiwa kwa askari polisi aliye kwenye response unit kwenda...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wanne wasimamishwa kazi Kenya

    Hatimaye serikali ya Kenya imeonekana kuchukua hatua dhidi ya mauaji na ukatili unaoripotiwa kuendelezwa na maafisa wa polisi wanapoidhinisha amri ya kutotoka nje ya saa moja usiku hadi saa kumi na moja asubuhi. Idara ya usalama imetangaza kuwa polisi wanne wamesimamishwa kazi kusubiri...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya: Tunawashangaa Watanzania, Polisi wa Tanzania wanafanya zaidi ya hiki cha Polisi wa Kenya lakini huwa hawasemi

    Nikiwa hapa katika viunga vya jiji la Nairobi nimejaribu kupata maoni kutoka wa watu mbalimbali ambao nilitaka kufahamu kuhusu sakata la Polisi kupiga watu siku za hivi karibuni na jinsi suala Hilo lilivyoleta mtafaruku ndani na nje ya Kenya. Wengi wamesikitishwa na kitendo hicho ila wengi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu: Mtu yoyote atakayetoa taarifa za Corona zaidi ya waziri wa afya na viongozi wakuu wa nchi atakamatwa na polisi

    Mh Kassim Majaliwa amesema ni waziri wa afya pekee mh Ummy Mwalimu ndiye atakayekuwa akitoa taarifa za Corona nchini. Mh Majaliwa amesema itakapolazimu zaidi basi ama yeye Waziri mkuu, Makamu wa Rais au Rais Magufuli ndio watakaozungumza na si vinginevyo. Waziri mkuu amesisitiza kuwa mtu...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mmoja afariki kufuatia kipigo cha polisi.

    Polisi wa Kenya nishai tupu.
  7. JamiiForums Tanzania India: Polisi wawachapa watu wanaotembea nje wakati huu wa Corona

    Ili kupambana na usambaaji wa Virusi vya Corona Serikali ya India ilizuia watu kutoka nje. Kwenye video hii polisi wanaonekana kuchapa watu waliowakuta wakitembeatembea nje na kuwapa adhabu mbalimbali kwa kukosa utii Source: abcworldnewstonight
  8. JamiiForums Tanzania Kufuatilia loss report polisi ni pasua kichwa. Jeshi la Polisi tunaomba mliangalie hili na mlifanyie kazi

    Wadau, Jana asubuhi nikiwa njiani kwenye mwendo kasi nikiwa nakwenda kwenye mihangaiko yangu ya kila siku vijana wa mjini (wezi wa mifukoni) walinikwapulia simu yangu na vijisenti kiasi kadhaa. Nilistuka baada ya kusikia kijana wa pemebeni yangu alipokuwa analalama amekwapuliwa simu yake, na...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

    Kusema kweli mimi mkiristu kisa cha Ramadhani Ntunzwe kimenisikitisha Mwenye MB zako nisimwage chumvi Ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116] Hii issue ikianza hivi natoa pongezi kwa Ramadhani kwa uvumilivu VIDEO: Hivi ndivyo mfanyabiashara aliyetajwa na Magufuli Baadae ikafuata hii mpaka...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA yatafakari kuwapeleka wabunge wake waliovunjwa vunjwa na polisi nje ya nchi kwa matibabu zaidi , Corona yaleta vikwazo

    "Mhe. Esther Bulaya, Mhe. Halima Mdee na Mhe. Jesca Kishoa wameruhusiwa juzi, isingekuwa Corona tulikuwa tunafikiria kuwapeleka nje kupata matibabu zaidi. Bado tunatafakari nini cha kufanya, hali zao bado hazijatengemaa, hasa Esther Bulaya aliyeumia ndani." Mhe. John Mrema
  11. JamiiForums Tanzania Hotel aliyofikia Lema jijini Dar es Salaam yazingirwa na Polisi, alikuwa aongee na Wanahabari

    Askari wa Polisi wamezingira Hotel aliyofikia Mikocheni, Dar es Salaam, wakimtafuta Waziri Kivuli wa Wizara ya mambo ya ndani na Mbunge wa Arusha mjini kwa sababu ambazo hazijajulikana. Mhe. Lema alikuwa azungumze na vyombo vya habari leo jijini D'Salaam kumjibu DPP Polisi hao wenye silaha...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa na Jeshi la Polisi wasaidieni wananchi wa Kitunda Nyantila katika wimbi hili la uporaji

    Inasikitisha sana kuona watanzania wenzetu wakiishi maisha ya hofu kana kwamba hawapo nchini mwao, kule Kitunda kuna sehemu inaitwa Nyantila ambapo maduka zaidi ya 20 yamebomolewa na kuibiwa siku tatu zilizopita. Na yakaporwa tena jana, vijana wanapora adharani na wanaogopwa, watu wanakabwa saa...
  13. JamiiForums Tanzania Maagizo toka juu yakitekelezwa na Polisi: Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akivutana na Polisi

    Eti hatuelewi nguvu ya dola, ambayo ni nguvu ya chama dola. "Ni uzembe kutolewa madarakani ukiwa umeshika dola" KM CCM
  14. JamiiForums Tanzania Polisi yamtaka Zitto Kabwe kuwasilisha taarifa za Kigogo ili akamatwe

    Jeshi la Polisi nchini limemtaka Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto kuwasilisha taarifa haraka za mhalifu kwa njia ya mtandao, anayetafutwa na serikali kwa muda mrefu anayejiita Kigogo, ili mhalifu huyo akamatwe. Limesema hivyo kutokana na taarifa iliyotolewa hivi karibuni na...
  15. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chadema Mbeya Mjini John Mwambigija akamatwa na polisi usiku wa manane

    Watoa taarifa wanasema kwamba lundo la askari wenye silaha za kivita walifika nyumbani kwake saa 10 alfajiri na kuzingira nyumba yake , kutisha raia waliokuwa tayari kumsaidia jirani yao na hatimaye kumkamata . Taarifa za awali zinaonyesha kwamba amepelekwa kwenye kituo kikuu cha polisi Mkoa wa...
  16. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia Mkutano wa ndani wa Bavicha Sengerema

    Hii hapa nukuu ya Rais Mstaafu Dr Jakaya Kikwete kwa wanaccm mwaka 2012
  17. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu mlokole aokota milioni moja, aipeleka polisi

    .
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Polisi wanatakiwa kupewa hela ya umeme na maji kwenye mishahara yao?

    Nimekuwa nikikaa nao kwenye mabwalo yao nawasikia wakilalamika kuhusu kutokulipwa posho za maji na umeme, nilijaribu kumuuliza askari mmoja akasema kuna mtu mmoja wizarani anakwamisha jambo hilo. Sasa nauliza kumbe! Kuna utaratibu wa majeshi kulipwa posho za maji na umeme? Je, hawa polisi na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Polisi na Magereza wanatakiwa kulipwa posho ya umeme na maji kwenye mishahara yao?

    Kila nikiwa kwenye mabwalo yao nawasikia wakilalamika kunyimwa haki yao ya posho za maji na umeme Sasa naomba kujua kuna utaratibu wa majeshi kulipwa hizo posho? Kama upo kwanini wanalalamika nini kinawakwamisha? Nilijaribu kumuuliza pot mmoja kuhusu hilo akasema kuna mtu mmoja wizarani kwao...
  20. JamiiForums Tanzania Unyama : Waandishi wa Habari wanusurika kuuawa na polisi kwenye sakata la kumkamata Mbowe , Wapelekwa Hospitali ya wilaya

    Bado haijafahamika kama wamepigwa risasi na askari walioagizwa kuua na Mkuu wa Wilaya , Mwandishi wa Mwananchi Janeth Joseph na Elia Peter wa global Tv ndio walioathirika zaidi Wanatuhumiwa kupiga picha tukio baya lililopangwa la kummaliza Mbowe Shukrani za Pekee ziwafikie walinzi wa Mbowe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…