polisi

  1. JamiiForums Tanzania Nawatetea Serikali, TCRA, Polisi na mitandao ya simu kuhusu utapeli wa "Tafadhali tuma kwa namba hii"

    Nitangulize samahani kwa wadau watakaodhani natetea uhalifu (ubaya) wa namna yoyote. Lakini wema na ubaya havijawai kuachana kama mwanga na giza. Ifikie hatua waibiwaji tujitathmini. Ubaya ukikwaza wengi mtu timamu huangalia wapi tatizo linaanzia. Hili la wizi wa mtandaon kama "tafadhari...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Polisi barabarani dhidi ya walipa kodi ni hujuma isiyo na afya kwa Taifa

    Mabibi na mabwana niko safarini kuelekea pande za Burigi katika kutia shime juhudi za kizalendo zenye mashiko zilizoasisiwa na hayati mzee baba katika kulisukuma gurudumu la utalii wa ndani, mbele. Niliyoyashudia njiani hasa kuwahusu wale waliozowea kubrashi viatu kwa kutumia pesa za wengine...
  3. JamiiForums Tanzania Dar: Polisi wamuua mtuhumiwa wa ujambazi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum limeua mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Kilambo Nyasairo, mkazi wa Chanika kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya ujambazi #MwananchiUpdates Nalipongeza sana jeshi la polisi kwa kumpora haraka silaha huyu jambazi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Marekani wamejiwa juu baada ya kupiga picha na jambazi na kuposti kwenye mitandao ya jamii

    Inakuwaje wanajamvi! Wananch Marekani wamewalalamikia Polisi kwenda kinyume na miiko ya kazi kwa kupiga picha na jambazi waliomkamata na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii. Jambazi hilo lilijaribu kuiba benki likashindwa na kutokomea vichakani ambapo polisi walimfukuzia hadi kumkamata.
  5. JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa wimbi la Ujambazi hasa DSM ni kukomoana ndani ya Jeshi la Polisi?

    Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama vijiulize hili swali kwa makini. Hii hali si ya kawaida na sisi wananchi tunaiona kwa macho yetu. Hili wibi la ujambazi lililoibuka hasa baada ya Mama Samia kuingia madarakani na kutaka mabadiliko, hasa Dar es Salaam, kuna nini nyuma yake? Tunajua kuwa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Makamanda wa Polisi kupambana na ujambazi kwa maelekezo ya wanasiasa inakupa tafsiri gani?

    Je, Polisi wanawaelimishaje Raia namna ya kutoa taarifa za kiuharifu haraka? Jukumu la kwanza kabisa la polisi ni kulinda Raia na Mali zao. Na hiki ndicho kiapo wanachopewa. Ujambazi, uporaji na ukabaji unapotukia hauhitaji kabisa kauli ya mwanasiasa yoyote ili polisi watekeleze wajibu wao...
  7. JamiiForums Tanzania Kibaha, Pwani: Mtoto ajinyonga baada ya mama yake kumtuhumu kuiba Tsh. 5000

    Mtoto wa kike mwenye miaka 14 mwanafunzi wa darasa la saba Shule ya Msingi Mtongani amejinyonga hadi kufa nyumbani kwao Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani baada ya mama yake mzazi kumtuhumu kuiba Sh5,000. Akizungumza leo Jumatano Mei 26, 2021 Kamanda wa polisi mkoani Pwani, Wankyo...
  8. JamiiForums Tanzania Kupatikana kwa Loss Report Mtandaoni: Kongole sana Jeshi la Polisi

    Ni hivi, loss report inapatikana online mwanzo mwisho. Huna haja ya kwenda kituo cha polisi kupanga foleni. Mwanzo swala hili lilikua kama ni nightmare coz lilikuwa linainvolve alot of excessive procedures ambazo zilicost muda na fedha. Now just your smartphone shughuli imeisha. Hongera sana...
  9. JamiiForums Tanzania SACP Wambura: Jeshi la Polisi Dar lakamata Majambazi, Wauaji, Wezi wa Magari na Pikipiki, na Uvunjaji

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea na Operesheni Maalum ya kupambana na vitendo vya kihalifu Katika maeneo yote ya Jiji la Dar es Salaam katika dhima nzima ya Usalama wa Raia na Mali zao na limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 20 na vielelezo...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene acha kuingiza raia kwenye ulinzi. Polisi wako wanafanya nini?

    Hivi sasa kuna migogoro kila mahala juu ya kuwepo kwa ulinzi shirikishi. Mfano mtaani kwangu mwenyekiti wa mtaa ambaye ni wa CCM kawa mwizi kabisa maana analazimisha kila mkazi wa kitongoji mwenye nyumba alipe Tshs.10,000 kwa mwezi suala ambalo analibeba kama vile ni kesi. Sasa hivi anatishia...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Mabadiliko ya kisera, chanzo cha makazi mapya ya Polisi kutotumika tangu 2018

    SERIKALI imetaja sababu za kutokutumika kwa miradi ya nyumba za makazi ya maofisa na askari polisi licha ya kukamilika kwa miaka mitatu iliyopita. Nyumba hizo ni zile za ghorofa zilizoko Mikocheni na Kunduchi mkoani Dar es Salaam, ambazo ujenzi ulianza mwaka 2014 na kukamilika mwaka 2018 chini...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo ambavyo Polisi wanavyoshirikishwa utapeli bila Polisi kujua kuwa wametumika

    JIHADHARI NA WIZI HUU MPYA Njia mpya ya utapeli yaibuka wakishirikisha Jeshi la Polisi bila kujitambua kuwa wanafanikisha dili za hawa matapeli. Mfano: Matapeli wanaweza kukuuzia simu ya wizi ya bei kubwa ya kiasi cha shilingi laki nane (800,000/=) kwa fedha ndogo ya elfu sabini (70,000/=)...
  13. JamiiForums Tanzania Emergency Call Tanzania

    Wakuu habari. Nchi nyingi za wenzetu, mfano Marekani tunaona kwenye movie na tukigoogle kwamba wana emergency call 911 ambayo ikitokea issue unapiga hafu wanatuma mtu kutoa msaada kama ni ambulance, polisi au zima moto. Mfano, 911 ilianzishwa USA mnamo 1968 na hadi sasa ipo na imefikia ukipiga...
  14. M

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU haiwezi na haina mamlaka ya kubambikizia mtu kesi

    Tangu juzi mitandao na magazeti yamefurika taarifa kwamba TAKUKURU wamefuta kesi 147 walizobambikizia watu. Watanzania wote tumekuwa kama vipofu bila kuchambua sheria ya TAKUKURU inasemaje kuhusu uwezekano au kutowezekana jambo hilo. Ukiisoma sheria hiyo utaona kwamba PCCB haina kifungu cha...
  15. JamiiForums Tanzania Vitendo vya baadhi ya matrafiki vinatia doa Jeshi la Polisi

    Habari wadau. Imekuwa kawaida kusimamishwa na Askari wa barabarani kwa ajili ya ukaguzi. Huu ni moja kati ya wajibu wao wa msingi kwa ajili ya kuhakikisha usalama wetu watumia vyombo vya usafiri pamoja na wote wanaotumia barabara au wenye shughuli zao pembezoni mwa barabara. Baadhi ya askari...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ikitupendeza futa Jeshi la Polisi, Tuletee Huduma ya Polisi

    Mheshimiwa Rais Nianze kwa kukusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Lengo ni lile lile la kazi iendee. Tumekuwa na mijadala nchini mwetu kwa nyakati tofauti kuhusu namna Jeshi letu la Polisi linavyofanya kazi. Mara nyingi Jeshi limekuwa likishutumiwa kwa masuala kadhaa ikiwamo...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: TAKUKURU wamefuta kesi za kubambikizia 147, Polisi na nyie jitazameni

    Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika. ==== Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Polisi wanadanganya kuhusu mauaji ya Hifadhi ya Ruaha, usikubali hili

    Moderators, naomba msiunganishe uzi huu kwa kuwa una mambo ya msingi makubwa ya ukosefu wa haki za binadamu. Ni thread ya msingi sana katika kututoa katika karaha za utawala uliopita. Nilikuwa nimeacha kutoa thread JamiiForums, lakini kwa hili la Polisi kudanganya umma kuhusu mauaji ya wananchi...
  19. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Rais Samia Suluhu Hassan azindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 18, 2021 amezindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi, Bohari Kuu Kurasini Pia amekagua gwaride maalum lililoandaliwa kwa heshima yake UPDATES: RAIS AWATAKA POLISI WASITUMIE MAKOSA KAMA KITEGA UCHUMI Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  20. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro amvalisha cheo cha Kamishna wa Polisi CP Hamduni

    Mkuu wa Jeshi la polisi IGP Sirro leo amemvalisha cheo cha Kamishna wa Polisi CP Hamduni aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi kanda maalumu ya Dar es salaam. CP Hamduni kwa sasa ndiye Mkurugenzi mkuu wa Takukuru. Kazi Iendelee!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…