Mapungufu: Tume kuwauliza Polisi na usalama nani ni watekaji na wauaji? wakati tunajua watekaji wa wanasiasa na wanaharakati ni Polisi na wauaji wa vijana October 29 ni polisi na usalama
"Ile ni ngazi ya kwanza ambayo polisi tu, kwa sura yake na nguo alizovaa, inasambaza makundi yaliyokusanyika. Lakini yapo pia maeneo mengine kutokana na kiwango cha tishio kwa uhai wa askari au raia wengine, ililazimu kutumia hatua nyingine zile za juu, na ziko hatua sita.
Mfano, kituo cha...
Kwa mujibu wa Jeshi la polisi sababu za kupotea watu ni kwa sababu ya mapenzi, imani za kishirikina, waliotekwa na watu wakitaka pesa ama mali, wahalifu ambao wanalipiana kisasi na wengine kutoroka kwa sababu ya kudaiwa madeni na kukimbia kesi
#UkweliOktoba29
Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
Faris Burhan alisema mchana kweupe kwenye mkutano kuwa atawapoteza wapinzani, hamjawahi kumuita na kumpeleka mahakamani!
Leo mnamuandama Hilda Newton.
WHY DOUBLE STANDARDS?
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kukusanya ushahidi kutokana na taarifa ya Hilda Newton aliyochapisha na kusambaza katika Mitandao ya Kijamii tarehe 10.4.2026.
Taarifa hiyo ilikuwa inasema pamoja na mambo mengine kuwa, Serikali imepanga kumuua Mhe. Lissu kwa risasi...
Dkt. Ryoba anasema kuwa Gen.Z Walichagua amani ndio maana hawakutika Desemba 9. Siyo kwamba waliogopa polisi.
Anaogeza kuwa Waliona matatizo yetu tunaweza kuyatatua kwa njia nyingine, hivyo walicjagua amani kuliko maandamano, ndio maana hata wale watu walipoitisha tena Desemba 9 hawakutoka...
Wakuu,
Itakuwa mizimu ya Oktoba 29 imeanza kuwasalimia na Polisi😌😌
Admini wa Page ya Jeshi la Polisi kajichanganya huko, kaenda kulike mambo ya fezea, mambo ya hajabu, vitu za rikiboy na genge lake:KEKLaugh:. Imebidi nikawafolo Polisi kuhakikisha bana isijekuwa Eiai🌚
Hyyu afande amelike...
Kwako mh Rais wangu na IGP wetu na DC Magoti je ujambazi umeanza tena kwa mfumo wa ndani ya jeshi la polisi?
Jana saa nne na nusu za usiku hapa makurunge kiluvya kisarawe kumetokea tukio la ujambazi kwenye bar nne tofauti watu hao ambao mmoja wao alikuwa amevalia mavazi ya polisi na redio call...
Wakuu,
Aloooo jamaa walimteka bana! Taarifa ya polisi inasema walimchukua tar 15, Feb na siku hiyo hiyo ndio akachukuliwa kwenye kwenye mashtaka:BearLaugh::BearLaugh: hata bila D mbili hesabu hii haiwezi kukushinda.
Halafu eti familia yake iliruhusiwa kumuona juzi, na leo amerejeshwa kwenye...
Hivi ndivyo Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alivyokamatwa na Jeshi la Polisi, tarehe 09 Aprili 2025 katika Wilaya ya Mbinga, Mkoa wa Ruvuma wakati alipokuwa akiendelea na Oparesheni #NoReformsNoElection.
Leo Aprili 9, 2026, Lissu ametimiza siku 365 (mwaka mmoja) tangu akamatwe.
===========...
Polisi wahukumiwa kunyongwa India.
Katika uamuzi wa kihistoria, Mheshimiwa Jaji wa Kwanza wa Mahakama ya Wilaya ya Madurai, G Muthukumaran, ametoa hukumu ya kifo kwa polisi wote tisa katika kesi ya mateso na kifo cha Jeyaraj na Beniks walipokuwa mikononi mwa polisi.
Inspekta S Sridhar...
TAARIFA KWA UMMA
TAHADHARI KUHUSU VITENDO VYA UTAPELI.
Hali ya Usalama nchini inaendelea vizuri kutokana na jitihada za Jeshi la Polisi zinazo saidiwa na ushirikiano mkubwa kutoka kwa wananchi katika kubaini na kuzuia uhalifu.
Pamoja na ushwari huo, yapo matukio mengine yanatendeka kutokana na...
Jeshi la Polisi limelazimika kuwahi eneo la tukio na kuingilia kati taharuki iliyojibuka Kimara Mwisho, Wilayani Ubungo Mkoani Dar es salaam jioni hii baada ya Wananchi wa eneo hilo kumpiga Mwanaume mmoja anayedaiwa kupoteza sehemu za siri za Mkazi mmoja wa Kimara baada ya kumshika begani...
Hii tabia ya watu kuweka taa kali za China kwenye magari imezidi mipaka sasa. Ni wakati muafaka Polisi waanze kukamata magari na bodaboda wanaofunga taa hizi.
Na hii ni tabia moja mbaya ya ubinafsi sana (selfish and self centred). Unaweka taa kali ili wewe ndio uone barabara vizuri - na hao...
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesisitiza kuendelea kushiriki katika shughuli za kijamii sambamba na jukumu lake la msingi la kupambana na rushwa, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuboresha huduma za afya...
Aisee huku Misugusugu Wilayani Kibaha kuna vibaka ambao wanakaa kwenye eneo la Uwanja wa Mpira, majira ya Usiku wa jana wamempora jamaa na kumchoma kisu.
Juzi, pia walimpora jamaa laki 3 na kumpiga, aisee cha ajabu hawa vijana wanalindwa kutokana na uzawa wao, kuna ndugu hawa wawili.
Hawa...
Harbinder Singh Sethi (Singasingal, mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited IPTL) na Pan African Power Limited (PAP), amesafishwa na Jeshi la Polisi kwamba hakabiliwi na makosa yoyote.
kwa tuhuma zilizokuwa zikimkabili zikiwamo za mradi tata wa...
Iko askari mpumbavu aliamua kumsomesha mpenzi wake chuo kikuu alitumia takriban 800,000 za kenya baada ya kuhitimu mpenziwe alimuacha na kusema ako na elimu zaidi ya polisi.
Polisi alimfuata kwake na kumpiga risasi kumi na saba hadi kufa.
Je, makosa ni ya nani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.