Harbinder Singh Sethi (Singasingal, mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited IPTL) na Pan African Power Limited (PAP), amesafishwa na Jeshi la Polisi kwamba hakabiliwi na makosa yoyote.
kwa tuhuma zilizokuwa zikimkabili zikiwamo za mradi tata wa...
Iko askari mpumbavu aliamua kumsomesha mpenzi wake chuo kikuu alitumia takriban 800,000 za kenya baada ya kuhitimu mpenziwe alimuacha na kusema ako na elimu zaidi ya polisi.
Polisi alimfuata kwake na kumpiga risasi kumi na saba hadi kufa.
Je, makosa ni ya nani?
Katika vitu tulifeli kama nchi ni suala la upatikanaji wa polisi.
Walio wengi wanapatikana baada ya kufeli shule, yes asilimia 90 ya askari walio huku chini wanaosota barabarani ni waliofeli shule
Sasa tuje hapa kwenye shule. Mara nyingi shule kunakuwaga na wale jamaa hawapendi shule, wahuni...
Huyu ndo Muliro. Muongo wa taifa
Polisi Tanzania imezungumzia mauaji ya hivi karibuni. Kwamba baada ya mauaji, Polisi Dar es Salaam ilianza uchunguzi wa mauaji ya mtu aliyejulikana kwa jina la Athumani Nyanza ambaye mwili wake ulikutwa umefukiwa kwenye shimo karibu na nyumba yake huko maeneo ya...
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemhukumu Askari Polisi namba F.4987, Sajenti Rogers Mmari wa Kituo cha Polisi Ipogolo, kutumikia kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia kijana Nashon Kiyeyeu, mkazi wa Ipogolo, Manispaa ya Iringa.
Hukumu hiyo imetolewa...
Wananchi wa Iran wanapata burudani kwa namna mapolisi yao yanababaika kila yakisikia sauti ya drone.... Imekua mazoea kuchezesha hizo sauti za drone karibu na mapolisi ya doria halafu wanachekelea namna inavyokua tafrani.
https://www.facebook.com/reel/1451297260343677
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limekamata vifaranga vya kuku vilivyokuwa vikisafirishwa kwenye mabasi mawili ya abiria yakitokea mpakani mwa nchi jirani ya Malawi kuelekea Visiwani Zanzibar, baada ya kubaini kasoro kwenye nyaraka za usafirishaji.
Akizungumza na vyombo vya habari siku ya...
Inadaiwa hapo ni Kariakoo, Polisi walikamata Bodaboda Wananchi wakazuia gari
Amendika Twaha Mwaipaya,
Hii ni Jana Kariakoo unaambiwa Polisi walikamata bodaboda wakapakia kwenye gari Raia wakawasha Moto bodaboda zikashushwa, unasikia hapo watu wanasema vibaka hao vibaka hao, watu wamechoka...
Yaani polisi wanafurahi kuonea wanaogopwa badala ya kuwa rafiki na ukaribu na raia
Yaani mtu akisema haogopi polisi anakamtwa?
Kwanini polisi wanataka wananchi waogope chombo Chao cha kulinda raia na Mali zetu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limetoa ufafanuzi kuhusu kukamatwa kwa wanachama 29 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiwemo wanawake 20 na wanaume 9, ambao baadaye waliruhusiwa kwa dhamana.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi iliyotolewa Machi 8, 2026 na Ofisi ya Kamanda wa Polisi...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.Kati ya maandiko yangu ya siku zilizotangulia niliwahi kugusia bwana mmoja maarufu kwa jina Baraka wasila ambaye ni muasisi wa kuuza dhahabu feki hapa bunda mjini.Niliwahi pia kueleza kwamba licha ya kuwa muuza dhahabu feki mjini aliamua kufungua...
Ukienda Polisi kutoa Taarifa hukuti Afisa wa Polisi kwenye meza ya mapokezi, hukuti makaratasi bali unakuta vifaa vya kidigitali pekee. Ni vituo janja vya polisi ambapo mtu anaweza kutoa taarifa yeye mwenye moja moja kwa kuweka taarifa hiyo kwenye vifaa janja na Polisi kupokea taarifa na kujibu...
Mwandishi kusaga wa Arusha ashikiliwa na polisi muda huu,chanzo chadaiwa kuandika taarifa za uongo za kijana aliyebishana na polisi
Mwandishi wa habari wa alphonce Kusaga mmiliki wa Kusaga TV na mtangazaji wa kituo cha Radio cha Sunrise anashikiliwa kituo kikuu cha polisi Arusha muda huu baada...
Hotuba kamili ya Rais wa Marekani Donald Trump akitangaza vita dhidi ya Iran
Muda mfupi uliopita, jeshi la Marekani lilianza operesheni kubwa za mapigano nchini Iran. Lengo letu ni kuwalinda watu wa Marekani kwa kuondoa vitisho vinavyotarajiwa kutoka kwa utawala wa Iran, kundi katili la watu...
Watoto wenyewe ni kati ya umri wa miaka 5 hadi 14
Police in Othaya granted 10 days to hold Sheikh Eid Ali to complete probe over allegations of molesting 12 minors aged 5-14 on diverse dates between 2022 and 2025 during madrassa classes, mention set for March 3...
Msafara wa msiba wa Kadinali Pengo ni wa aina yake.
Kuna men in black, makarao wakiwa makini muda wote.
Tunajua Pengo alikuwa kiongozi mkubwa wa dini, lakini kwa huu uzito aliopewq na gavoo mbona kama alikuwa mserikali?
MIezi 3 imepita nilipigwa tukio nikafata taratibu zote nika report nikalazimika kufatilia mwenyewe na kufanya upelelezi aisee tulifanikiwa kupoint mwizi sasa kilichotokea Polisi Jamii waligoma kutoa ushirikiano wa mahali anapoishi ili polisi wakamkamate na sababu kubwa wanahofia maisha yao kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.