pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Makampuni na Mawakala wa pikipiki za TVS, Hero, Bajaj nk, mnatukosea sana Watanzania!

    Inafika kipindi mtu akisikia pikipiki ya TVS au Hero, anachowaza ni zile za bodaboda. Tunajua mnatoa vyuma vizuri tu kwa bei rafiki, lakini kwanini hamzileti Tanzania? Mfano hii pikipiki ukiambiwa ni TVS unakataa, na ukaambiwa mpya ni $3,000 tu kabla ya usafiri na kodi. Kwamba hatuwezi...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kijana aliyegonga gari la Mkuu wa Mkoa wa Mwanza anunuliwa pikipiki mpya

    Wakuu, Wakati mnaendelea kujadili mchuano kati ya Lissu na Mbowe, viongozi wa CCM wameendelea kutustaajabisha! ================================================= Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amemkabidhi pikipiki mpya kijana Kusana Lumambo, aliyegonga gari la mkuu huyo wa mkoa na...
  3. kats5

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata review ya perfomance ya pikipiki ya sinoray cc180-18

    Habari za leo wakuu, hongereni na majukumu, Kama kichwa cha habari kinavoeleza, kwa mzoefu tafadhali, naomba kupata kujua zaidi pikipiki ya. 1. Sinoray cc 180-18 (PUSHROD) na 2. Sinoray cc 180-18(TIMING CHAIN). Katika vigezo vifuatavyo, 1. Ubora na uimara 2. Re- sale value na kadhalika...
  4. G

    JamiiForums Tanzania NAPATAJE PIKIPIKI YA MAMA, Dkt.

    Mtaani naona kuna pikipiki nyingi zenye nembo ya ccm na picha ya generali mkuu Basi kama Jobless nikawiwa kuomba msaada namna ya kupata hicho kitendea kazi ili nami nijipatie kipato NATANGULIZA SHUKRANI. .
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rwanda imezindua maabara ya kwanza barani Afrika kwa ajili ya kupima ubora wa kofia za waendesha pikipiki

    Rwanda imezindua maabara ya kwanza barani Afrika kwa ajili ya kupima ubora wa kofia za waendesha pikipiki ili kuhakikisha usalama wao. Juhudi hii, ambayo ni sehemu ya Mradi wa ‘Tuwurinde’, inalenga kupima kofia dhidi ya viwango vya kitaifa vya usalama na kupunguza hatari ya majeraha ya kichwa...
  6. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Kwanini matrafiki wanazikomalia sana gari za mizigo na pikipiki (toyo) za mizigo?

    Wakuu apa naomba kuelimishwa kwa hili la trafiki kusimamisha gari za mizigo na pikipiki (toyo) za mizigo maana nimeliona sana uko barabarani, yani trafiki akiona gari za mizigo au toyo za mizigo iwe imebeba mizigo au haina mzigo wowote ni lazima gari hiyo au toyo hiyo ipigwe mkono. sasa je...
  7. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu anaenunua pikipiki kwa ajili ya kutoa mkataba au hesabu anakuwa na mahesabu gani?

    Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo unakuta mwingine ndio akiletewa anaila na familia yake hivi hii ni akili gani yaani unajua Kuna watu...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Arusha: Dereva wa pikipiki aliyekaripiwa kwa kumkosa mtoto apandwa hasira na kuwaita wenzake kuivamia sherehe kwa mapanga

    taharuki imetoka katika mtaa wa ngusero kata ya osunyai mkoani arusha baada ya vijana zaidi ya tisa wenye mapanga kudaiwa kuvamia sherehe ya ubarikio uliokuwa ukifanyika na kumkata mkono na sikio baba wa mtoto aliyekuwa akifanyiwa ubarikio. Inadaiwa chanzo cha tukio ni dereva wa pikipiki...
  9. Goodluck Boaz

    JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki npo moshi mjini, bei 1.5M maongez yapo kwa mawasiliano 0672901144

  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango akabidhi magari 96, pikipiki 300 za Chanjo

    Na WAF - Ruvuma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango Disemba Mosi, 2024 amekabidhi magari aina ya Lori 28, Double-Cabing 68 yenye vifaa vya baridi pamoja na pikipiki 300 zenye thamani ya Shilingi Bilioni Nane ambayo yatasambaza huduma za chanjo kote nchini...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Kihongosi amzawadia Msaidizi wake Pikipiki kwa kazi nzuri

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi amempatia zawadi ya pikipiki mpya aina ya SAN LG Msaidizi wake wa Ofisi (PS) Florenciana Kagya, kutoka na kazi nzuri anayofanya na kujituma katika ofisi yake. Kihongosi amesema kuwa ameamua kutumia mshahara wake kumnunulia msaidizi wake huyo zawadi ya...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Jokate Mwegelo, Helmeti iko wapi kwenye msafara wako wa pikipiki mkoani Njombe?

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amepokelewa katika ofisi za CCM Mkoa wa Njombe leo Novemba 26, 2024 kwa lengo la kufunga Kampeni Uchaguzi wa serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji zitakazofanyika Kata ya Ulembwe, Wilaya ya Wanging’ombe...
  13. covid 19

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya Bajaj na Pikipiki kwa Vijana: Fursa au Mtego wa Umasikini?

    Kwa muda mrefu sasa, kumeibuka makampuni yanayodai kuwawezesha vijana kwa kutoa mikopo ya bajaj na pikipiki. Kwa mtazamo wa nje, mpango huu unaonekana kama suluhisho kwa changamoto za ajira, lakini kwa undani wake, unaelekea kuwa mtego wa umasikini kwa vijana wengi. Cha kusikitisha zaidi...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Basi la abiria akutwa na leseni ya Pikipiki

    Jeshi la polisi linamshikiria dereva wa basi lenye namba za usajili T622 EFG linalofanya safari zake kutoka jijini Mwanza kwenda Morogoro kwa kosa la kukutwa na leseni ya pikipiki ili hali akiwa ni dereva wa gari la abiria. Hayo yamebainishwa na kamanda wa kikosi cha usalama barabarani DCP...
  15. covid 19

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalam na wazoefu wa pikipiki

    Kwa Wataalamu wa Pikipiki: Ninatafuta ushauri kuhusu aina au brand bora ya pikipiki kwa kazi za kubeba mizigo kati ya kg 30 hadi 75 kila siku. Je, ni brand gani kati ya boxer, tvs, hero, honda, hunter na nyingine. Je ipi ni imara na inadumu muda mrefu kwa mazingira ya joto, vumbi, na mvua ya...
  16. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

    Ndugu zangu Watanzania, Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita. Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia...
  17. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kusafiria Pikipiki safari ndefu

    Mwaka Jana nilijaribu kwenda masafa marefu na piki piki ilikuwa BOXER 125 nilienda shinyanga nilitumia masaa zaidi ya 12 maana nilitoka dar es salaam alfajiri nikafika shinyanga jioni kwenye saa 1 hivi kasoro...! Boxer kidogo barabarani ilikuwa inayumba Nategemea kwenda Shinyanga kwa pikipiki...
  18. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Spear za pikipiki Mwanza

    Wadau naomba msaada wa kuelekezwa mahali ninapoweza kupata spear za pikipiki hii hapa . Ndani ya Mwanza. Ninahitaji piston na block
  19. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Pikipiki zako za CCM zimeongeza ufanisi wa kiutendaji, zilizobaki naomba wapewe wenyeviti wa kata

    Chama cha Mapinduzi kimejizatiti kwa kuongeza ufanisi ktk ngazi za chini kupitia program ya kugawa Pikipiki maarufu kwa Pikipiki za Samia Suluhu. Hata hivyo baada ya kuzigawa kwa walengwa (Makatibu Kata, Makatibu wa Jumuiya Vijana, Wanawake, na Wazazi) nchi nzima kuna zilizobakizwa bila...
  20. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM pigeni marufuku pikipiki zilizosambazwa kwa Jina 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda'

    Viongozi wa CCM pigeni marufuku pikipiki za 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda' Ila kama hawa viongozi wa huku kwenye mashina mmewapa ziwe za kwao basi tujue. Hali ikiendelea hivi 2025 zitafika zimechoka. Ni hayo tu
Back
Top Bottom