JINSI YA KUSIMAMIA NA KUENDESHA BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI NA BAJAJI.
⚙Watu wengi wanatamani sana kufanya Biasha hii, laikini hawajui jinsi gani wanaweza kusimamia biashara yao ili iweze Kukua na kuleta manufaa na faida.
Suala hili limekuwa changamoto zaidi kwa wale wenye...
SPEA MUHIMU ZA KUANZA NAZO KWENYE BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI REJAREJA.
Mjadala wa leo utajikita zaidi kwenye Spea za umuhimu zaidi kuanza nazo kwenye duka lako jipya kama mfanyabiashara mpya wa spea za pikipiki.
⚙kwanza nimuhimu kufahamu aina ya pikipiki unazohitaji kuuza spea zake kama...
Habari wanajamvi,
Ni jumatano nyingine tena, na nina siku nyingi kweli sijaandika humu.
Katika pitapita zangu, niligundua kuwa wenzetu (Kenya, Uganda na Rwanda) wamepiga hatua kwenye adoption ya vyombo vya moto vinavyotumia umeme: gari, bajaji na pikipiki.
Leo tutazungumzia pikipiki.
Mwezi...
MIEZI 3 KWENYE BIASHARA YA SPARE ZA PIKIPIKI FAIDA NA CHANGAMOTO ZAKE
Salamu,
Baada kuiwazia sana biashara hii nikaona si vibaya nikaweka vimillioni kadhaa ili nione kama kweli iko kama isemwavyo, si unajua utamu wa ngoma.......
Kituo cha kwanza nikatinga wizara ya JF ili kupekua makaburasha...
Ngoja nianze na moja ya habari kutoka Wilaya Mpwapwa.
Week mbili nyuma kama sio tatu ndugu Makalla alikuwa Wilaya ya Mpwapwa,watu walikuja kutoka pande zote za vijiji kwa kubebwa na Malori.
Walifika na kurudi bila ya kitu chochote lakini kubwa lilikuwa kwa wapiga ngoma walikuwa 22 baada ya...
Wakuu,
Naomba mnisaidie au mawazo yenu pia, nilikuwa na lengo la kwa muda sasa la kununua pikipiki aina ya Sanlg kwa sababu ya shughuli zangu na sababu za kupoint SANLG ni kampuni inayotoa Product nzuri kwa pikipiki zenye hekaheka kubebea mizigo n.k ni vumilivu sana. Nilipanga nichukue mwezi wa...
JINSI YA KUFANYA BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI NA BAJAJI REJAREJA REJAREJA
⚙Mambo Muhimu zaidi ya Kuzingatia kabla ya kuanzisha Biashara ya spea za pikipiki na bajaji rejareja🎯
Ukitaka kuanzisha biashara ya spea za pikipiki na bajaji ni rahisi sana, ila inahitaji msingi thabiti na msimamo...
Asante Mungu kwa nafasi nyingine madhara yangeweza kuwa makubwa kama kupoteza uhai ama kiungo chochote lakini umeamua kunipa majereha ambayo nimeweza kuyahimili na lesson kadhaa juu ya kuendesha pikipiki pia kujiandaa kwa majanga yasiyotabirika.
I don't blame anyone kwani kabla ya kununua...
Dunia ya sasa usafiri binafsi ni jambo muhimu sana haswa pale unapo hitaji kuepuka msongamano na adha ya usafiri wa umma
Mambo gani hua unazingatia katika kuchagua na kununua USAFIRI wako binafsi imma usafiri mpya au ulio tumika tayari hapo awali yaani (MTUMBA)
Katika bara la Afrika, pikipiki zimekuwa njia ya kujipatia riziki kwa zaidi ya watu milioni 5, jambo ambalo limetokana na ustawi wa biashara ya mtandaoni katika miaka ya hivi karibuni.
Kufuatia mahitaji ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na maendeleo ya haraka ya teknolojia ya nishati...
Mbunge mmoja Mkoani Shinyanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amedaiwa kugawa pikipiki kwa baadhi ya viongozi wa kata wa chama hicho ikiwa ni kishawishi cha kumpigia kura kwenye kura za maoni za kuwania Ubunge.
Kitendo hicho kimelalamikiwa vikali na watia nia wenzake katika jimbo lake wakidai...
Kijana wangu anahitaji pikipiki used (iliyoko kwenye hali nzuri) cc150 ili iweze kupanda milima ya Rombo ikiwa imepakia mzigo (Isiwe Boxer)
IWE NA UMILIKI HALALI.....Offer yake ni shs 1mil cash japo anakaribisha maongezi kulingana na ubora wa Chombo
Katika kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na tija kwa wakulima, Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma imepokea jumla ya pikipiki 50 zilizotolewa kwa maafisa ugani wa BBT Korosho.
Mkuu wa Wilaya hiyo, Denis Masanja, ameeleza kuwa hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya awamu ya sita wa...
Nimetoka kutizama Video Clip ya East Africa TV na kuona kuwa Jana maeneo ya Kinondoni Makaburini Mtanzania mwenye Asili ya Uturuki kauwawa kwa Kupigwa Risasi na Mtu aliyepanda Pikipiki mida ya Mchana kabisa huku Watu wakiona kisha alipokamilisha huo Uuaji wake akaangalia kushoto na kulia kisha...
📢 TANGAZO MAALUM! 📢
HOLDER YA SIMU IMARA kwa PIKIPIKI na BAISKELI
🔧 Imetengenezwa kwa vifaa bora na imara
📱 Inafaa kwa simu nyingi – kubwa na ndogo
🛣️ Inashikilia simu vizuri hata kwenye barabara mbovu
🔒 Inakaa salama – hakuna kudondoka wala kutikisika
💰 BEI: TSH 30,000/=
📍 Mahali: Arusha
📞...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.