picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PICHA Ya Muonekano wa Soko jipya la Kariakoo Huu Hapa

    Picha za jengo jipya la Kariakoo zimeachiwa mapema leo, jengo hilo jipya linakusudiwa kugarimu shs za kitanzania 26.2 bilioni.
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia akae na Jenerali Mabeyo wanywe chai na kupiga picha

    Kwanza nianze kwa kumpa mama pole ya uchovu wa safari. Ninamwomba apigane na upandaji wa gharama za maisha hasa bei za vitu mbalimbali. Unfortunately, this's placing a notable stain on her beautiful leadership gown. Hata hivyo, namshauri mama ampigie simu Venance wanywe nae chai halafu wapige...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kuzindua miradi mabongo ya picha za kiongozi

    Imekuwa utamaduni kuandaa mabango na vipeperushi zinapotokea ziara za viongozi wa kitaifa kukagua miradi au kuzindua miradi hata mikutano ya hadhara. Mhusika atakuja na kila siku huonekana kwenye vyombo vya habari na anafahamika hata na watoto,inakuwaje tunamchora kwenye mabango? Nani huwa...
  4. JamiiForums Tanzania Tupeana updates za kuhama kwa Wamachinga

    Hebu tupeane update za zoezi la kuhama kwa wamachinga eneo ulipo. Mimi nimepita pale UHASIBU kutokea Kigamboni, nimekuta Wamachinga woote wameitikia wito wa kuhama, wapo busy wanabomoa vibanda vyao
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kubadili picha kitambulisho cha taifa NIDA

    Wadau wakati napiga picha miaka iyo ilopita nilikua na karangi keusi sasa nimekunywa maji mengi kama Rey kigosi nimekua na karangi keupe, ukitazama picha ile na sasa utakataa sio mimi, vipi upo uwezekano wa kubadili picha nida?
  6. JamiiForums Tanzania Picha ya Archduke Ferdinand wa Austria, kifo chake ndiyo kilisababisha WWI

    November 3, 1527: "Ferdinand, Archduke of Austria was elected as King of Hungary. Ferdinand was the second son of Juana of Castile and Philip of Burgundy. Born in Alcala de Henares, Spain, he spent the majority of his youth in Spain, where he formed a close relationship with his grandfather...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kuna mrembo mmoja anautesa moyo wangu nimeamua kumwimbia huu wimbo na hii ndio picha yake yupo humuhumu

    Maisha ni safari ndefu sana, tunapitia vikwazo vingi. Katika harakati zangu za utafutaji nimejikuta moyo wangu umenasa kwa mrembo ambaye mnamwona kwenye hii picha. Nimeamua kumwimbia huu wimbo ili aweze kujua ni jinsi gani namjali na kumpenda. Tafadhari popote ulipo mama najua unatembelea...
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia akiwasili Dar es Salaam toka Glasgow Scotland

    Mhe. @SuluhuSamia akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 04, 2021 alipokua akitokea nchini Glasgow, Scotland alikohudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa uliojadili kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi duniani.
  9. JamiiForums Tanzania Picha aliyochora Michelangelo mwaka 1530 wakati akiwa mafichoni baada ya kutofatiana na Pope

  10. JamiiForums Tanzania Mbunifu wa majengo Marcus Aurelius ameweza kuweka picha na matukio ya Jeshi la Roma

  11. K

    JamiiForums Tanzania CCM, picha za umwagaji damu Uchaguzi 2020 zinazosambazwa mitandaoni na wanachama wenu kupongeza waliomwaga damu, si dalili njema

    Tuna vyombo vya dola na chama dola, wenzenu kuanzia jana wanatoa makovu yaliyotokana na uchaguzi wa mwaka jana. Zipo tuhuma za kupigwa Risasi kukatwakatwa na kulazimishwa kwa watu kurejea CCM na walipokataa walimwagwa damu. Wakati Taarifa hizi zikisambaa kwa kasi zikiwa na majina na maelezo...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi Sanchoka na Mama yake, kuna anayewaelewa na hizi picha zao?

    Naona wanatupia picha zenye makalio yao,sasa sijui ndio kututamanisha tuvunje amri ya Mungu inayotuasa tusitamani mwanamke asiye mke wetu au vipi? Mimi kama kijana wa kilokole sijapenda hii tabia yao kwa kweli.
  13. JamiiForums Tanzania Picha za Bi. Titi Mohamed kutoka Bukoba 1962

    PICHA ZA BI. TITI MOHAMED KUTOKA BUKOBA 1962 Nimepokea picha mbili kutoka Bukoba kwa kaka na rafiki yangu Ramadhani Kingi. Kingi kaeleza hapa jamvini masikitiko yake kuhusu yale yaliyowafika Ali Migeyo na Bi. Titi. Nitamweleza Ali Migeyo kwa muhtasari tu na sitatia neno langu nitamleta hapa...
  14. JamiiForums Tanzania Natamani sana kila member humu wa JamiiForums atumie jina na pamoja na picha yake halisi

    Leo nimetafakari sana juu ya hili jambo, kwa maana wanachama wa humu wa JF wakitumia majina pamoja na picha zao halisi kutaleta faida zifuatazo: 1. Kutaongeza kuheshimiana, endapo kila member humu atatumia jina pamoja na picha yake halisi kutapelekea kuheshimiana kwa kuwa member wengi humu...
  15. JamiiForums Tanzania Kupitia Sabaya, mmeiona picha ya Hayati Dkt. Magufuli tuliyemlalamikia?

    Tunaendelea..... Katika awamu ya 5 mambo mengi ya hovyo yalifichwa kupitia propaganda mfu za uzalendo. Watu wengi waliumizwa na kudhulumiwa. Kesi za uongo na kubambikiza zilikuwa za kufikia tu. Tuliopewa macho ya kuona haya na wapenda haki tulipiga kelele ikaonekana tunakosa uzalendo...
  16. JamiiForums Tanzania PICHA: Mwanadada ambae Sabaya alimchumbia

    This is weekend Thanks Cc bia tamu
  17. JamiiForums Tanzania Picha ya leo

    Picha ya Raila odinga akiwa ametinga Air Force 1 Complex “AF100” leo alipokutana na vijana nchini kenya.
  18. JamiiForums Tanzania Ubinafsi wa viongozi wetu Unaanzia Mbali: Kwenye website ya Sekretarieti ya Ajira kuna picha 12 na picha 8 zinamuonyesha Katibu wa Sekretarieti

    Katika vita ya ufisadi, ni lazima tufanye auditing inayohusu ubinafsi hasa kwenye taasisi zetu na mashirika ya umma. Tuanzie pia huko chini kabisa kwenye mitaa. Tutapata picha ya kiwango cha ubinafsi ambayo itatu-alarm kuhusu mwelekeo wetu wa ufisadi siku za usoni. Unfortunately, kwa sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Picha fikirishi ya Magufuli

    Picha hii ilipigwa na mpiga picha wa ikulu 19 February 2021 wakati wa kuaga mwili wa Dkt kijazi Ni picha isiyo na nuru kabisa;ni picha yenye simanzi,majuto na ilikua ni kama mtu asiye na matumaini kbs. R I P. Ujanja ni kuchanja
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Nahitaji Spea hii ya fuso Fighter

    Wakuu naitaji hii spea fundi kasema inaitwa cabin booster , Kwa mtu yeyote ambae anajua bei yake na wapi naweza kupata kama ni mpya au used then anidm tafadhari Niko Dar es salaam
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…