picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Picha: Achana na mahusiano na mwanamke ambaye hana mchango kwenye maisha yako. Kuwa kama mimi!

    Wanaume kama sisi wenye akili timamu na future. Pampuchi sio kitu cha muhimu sana hasa tunapoingia kwenye mahusiano. Mwanamke anatakiwa kuwa na akili na mawazo Hasi. Mwanamke akupe peace of mind. Mwanamke awe hamasa ya wewe kusave pesa. Mwanamke anatakiwa kuwa mbunifu kila siku. Awe na ofu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Katuni hii inakupa picha gani ?

  3. JamiiForums Tanzania Matoleo mbalimbali ya simu za Nokia katika picha

  4. JamiiForums Tanzania Picha yenye kutafakarisha sana

    Achana na huo mpangilio wa ukaaji.. Achana na makochi mazuri na zulia jekundu.. Itazame kiroho zaidi hata kama nyuso zao hazionekani ama hazionekani vema Ni picha iliyobeba hisia za majuto.. Wote walioko hapo walitokea majumbani kwao kwenye vitanda vyao, wakapata nafasi ya kujiandaa na kuvaa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Picha kuna post kama hizi zenye kuchochea ukabila

    Aliyetoa uzi anasema ni kutoka kagera kanda ya ziwa anahoji inawezekana vipi mtu baye sio mchaga akapata uongozi uchagani . Ameenda mbali anasema kaskazini inapwaya akatolea mfano arusha sakata la gambo na makonda kwamba zio wazawa lakini wanagombea kisa tu wameoa maeneo hayo . Nyerere...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Picha ya Rais Samia akifuatilia kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu

    Picha inaelezea vitu vingi.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Gwajima kwa haya yaliyofanywa na Polisi kanisani kwako jana na wewe kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge CCM wewe ni mwehu?!

    Huwezi kuamini mambo haya yanatokea hapa Tanzania. Waumini wanazuiwa kuabudu na kupigwa kama wahalifu! Cha ajabu ni kiongozi wao askofu Josephat Gwajima kukimbilia ofisi za CCM kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa ticket ya CCM!!! Nafikiri kuna kitu sio sawa kwa Gwajima na ndio maana...
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Gharama za kutuma hela ni kubwa sana

    Yaani laki 2 ya kutoa ni 6,000 ? Aisee tuacheni kutumia haya mambo ni gharama sana kutuma pesa kwa mitandao
  9. JamiiForums Tanzania Picha ya mwaka 2025...Mh. Tundu Antiphas Lissu atapaza sauti hata akipitishwa kwenye bonde la mauti!

    Mh. Tundu Antiphas Lissu katikati ya wasiojulikana hanyamazi! Pamoja na kumiminiwa risasi zaidi ya thelathini hakunyamaza Pamoja na kupitishwa kwenye bonde la mauti hajanyamaza Pamoja na kusubiri kunyongwa kabla ya hukumu hatanyamaza Mh. Tundu Antiphas Lissu ni mtu na nusu...NO REFORM, NO...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania bhana... kwahiyo Picha za Child Benz kunenepa ndiyo ameshabadilika na kuwa na Maisha mazuri?

    Kwanini Tanzania kila Mtu anapambana Kunenepa ili aonekane Tajiri wakati 95% ya Matajiri duniani si Watu walionenepa? Chid Benz asaidiwe Kimaisha na siyo Kunenepeshwa ili asifiwe ana Maisha mazuri wakati ukweli ni kwamba bado anataabika Kimaisha mtaani.
  11. JamiiForums Tanzania Picha za Pacome zinavutia kama zimepigwa huko LA LIGA AU EPL

  12. JamiiForums Tanzania KWELI Kati ya picha hizi mbili, Moja imetumika kutengeneza picha nyingine kwa kutumia Akili Unde

    Huku ukibainisha vigezo muhimu vya majibu yako, Ni ipi kati ya picha hizi mbili, imetengenezwa kwa kutumia Akili Unde?
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Nchimbi awakutanisha Paul Makonda na Mrisho Gambo, wapiga picha ya pamoja

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025. Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na...
  14. JamiiForums Tanzania Kauli ya kikwete "zakuambiwa changanya na zako" na ile kauli nyengine ya kusifia uchaguzi wa Kenya kuwa wa uwazi zaidi inatupa picha gani ?

    Kauli ya kikwete "zakuambiwa changanya na zako" na ile kauli nyengine ya kusifia uchaguzi wa Kenya kuwa wa uwazi zaidi inatupa picha gani ? Nilimsikia kikwete anasema ukienda kupiga kura "za kuambiwa chanyanya na zako" pia alisema uchaguzi wa Kenya ni wa uwazi sana kiasi kwamba mtu anaweza...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ni kukosea au kutojua. Kwa heshima inastahili kuwepo picha za JPM daraja la Kigongo- Busisi na siyo vinginevyo

    Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia ameridhia Daraja la Kigongo- Busisi liitwe ni Daraja la JPM kama heshima maalumu kwa uasisi na utekelezaji wa wazo hilo. Kama ni kweli tumemuheshimu hivyo, basi yafaa picha za JPM angalau kila upande ziwepo. Nimepita leo, nikaona picha picha zingine tuu. Aidha...
  16. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar es salaam

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ameongoza Kikao kizito...
  17. JamiiForums Tanzania Picha za satelite na wataalamu inaonesha Marekani haikufanikiwa katika pigo lake.Vinu vya nyuklia vya Iran viko salama

    Kwa kutumia ndege za kivita za mwisho katika hazina yake za Doomsday,Marekani ilitarajia kuvunja vinu vya nyuklia vya Iran ambavyo Israel ilishindwa wiki moja nyuma. Kwa mujibu wa wataalamu wa IAEA na wataalamu wa ndani wa Iran mpaka sasa hakuna dalili yoyote ya mionzi kuongezeka kutoka vinu...
  18. JamiiForums Tanzania Picha: Palivyokua kwenye kinu huko Iran, na palivyo sasa, utadhani jehanam

    Hawa wazungu na teknolojia zao, tuwaache bana, sisi tuendelee kuchoma na kuuza mkaa vijijini, na kufuatilia siasa za humu kwetu Afrika.... Sioni na sitegemei kama ipo siku tutanusia huu uwezo wao. US Joint Chiefs Chairman General Dan Caine and US Secretary of Defense Pete Hegseth on Sunday...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mbunge afunguliwa kesi kisa kutumia jina lake na picha katika mabango ya miradi inayofadhiliwa na fedha za umma

    Wakili mmoja wa jiji amempeleka mahakamani Mbunge wa Kajiado Kaskazini, Onesmus Ngogoyo, akimtuhumu kwa kuvunja sheria kwa kuweka jina lake na picha kwenye miradi inayofadhiliwa na fedha za umma. Wakili Shadrack Wambui anasema uamuzi huo ni kinyume na maadili na unakiuka Sheria ya Uongozi na...
  20. JamiiForums Tanzania Kalooist sikia, macho kodo eti isi wanatupenda ama wana ushamba na sisi,Bali Picha zao kote zinamalizia na ""Wasalamu ni wako katika Mateso"",Kumbuka

    Wanajamvi karibu katika tafakuri jadidi. Mpaka hivi sasa Leo mimi mwenzenu ni mzima wa afya,Labda Hofu kwenu! Nimeona nipepese macho nijaribu kuangalia hili eneo ambalo kwa mtazamo wa Kalooism naona linapotoshwa ama linawekwa mahala ambapo siyo pake. Tunapotembelea ndugu rafiki na jamaa zetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…