picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa kitendo Cha Simba Sc kupost video wakichana picha ya Eng. Hers, ni wazi kabisa Vichwa vyao vinamiwaza mno

    Wamejikaza sana mpaka Leo wamepost video wakichana picha ya Eng Hers, Ni wazi kabisa jamaa kawatesa mno na amewakaa mno vichwani mwao maana toka jamaa atue Yanga Simba SC hawajawahi kujua utamu Wa kombe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa bandari kavu ya Kwala ni kama kumsumbua Rais, kama unabisha tazama picha ya bandari kavu yenyewe ilivyo

    eneo kubwa la bandari kavu ya kwala ni pori tu, limejaa nyasi tu, ila wamejenga kisehemu cha kuwekea hayo ma container kidogo sana, halafu rais ndio anaenda kukizindua, why wasijenge mpaka bandari kavu ikakamilika ndipo wakamuita rais akazindue ?
  3. JamiiForums Tanzania KWELI Katika picha hizi moja ni halisi na imetumika kutengeneza ngingine kwa akili unde

  4. JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo huko Dodoma, Ipe maneno picha hii

    Dakika za Jioni........ Kwa pozi hili unadhani nini kinaendelea katika ubongo wake kwa sasa?
  5. JamiiForums Tanzania Zamani ilikuonesha mapenzi, unapiga picha unampa mtu anaweka kwenye album, akiiangalia anafurahi. Sasa hivi mnapeana nini?

    Ilikua ukipewa picha na mtu ni zawadi kubwa sana na ushahidi kua huyo mtu ni wako, je sasa hivi mnapeana nini ?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Wajumbe wa CCM Wilaya ya Kinondoni washiriki Mkutano Mkuu Maalum, Gwajima hajaonekana

    Wakuu, Aliyekua Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima hajaonekana kwenye mkutano mkuu maalum wa CCM, au ndo kashiriki Mtandaoni?
  7. JamiiForums Tanzania Hii picha niya msanii gani ?

    Nani anamjua huyu ? Naamini kila kitu kina tafsiri yake.. 1. Kwanini Profile hiyo ? 2. Kwanini Username hiyo ? Nielezee yangu ?
  8. JamiiForums Tanzania Picha ya satellite ya Korea Kaskazini na Kusini wakati wa usiku (2016)

    The image above of the Korean peninsula was taken by NASA in 2016 and perfectly sums up why capitalism, for all it’s faults, is still a far, far better system than the communist alternative. Capitalist South Korea takes up the bottom half of the peninsula, and you can clearly see all the bright...
  9. JamiiForums Tanzania Inakuwaje polisi mseme mabaki yana miaka 11 haraka na kukamata watu wakati picha zinaonesha ni wakati huu

    Kuna mambo nawaza majibu rahisi ambayo polisi uchukulia. Mfano kesi ambazo wanapotea bado zipo kwenye uchunguzi mpaka zikawa giza. Leo hii kama taharuki mshawahi kutoa taarifa kujua miaka 11 ni wapi taatifa iliwekwa miaka 11 iliyopita. Yani mguu bado nyama zipo na bichwa macho yapo na kichwa...
  10. JamiiForums Tanzania Picha: Dira ya maendeleo ya 2025-2050 ikitekelezwa na CCM.

    Kila mtanzania atapata dola 5000 kwa siku
  11. JamiiForums Tanzania Picha za AL hizi hapa kadhaa, Leta za kwako tuburudishe macho.

    Tecknolojia ya AI imekuja na mambo mengi na wengine wanajikuta kama wamepata rafiki vile, Leo baada ya uchovu wa kazi niliamua kupunzisha akili kwa kuangalia kitu/vitu vipya. Leta na za kwako za AI tu tuburudishe macho.
  12. JamiiForums Tanzania katuni hii inakupa picha gani kuelekea uchaguzi mkuu

  13. JamiiForums Tanzania Tunatengeneza Picha Mbao

    Karibu 👋🏻 Tuna design na Kuprint ✅Picha,saa za ukutani,picha za frame ✅Vikombe,glass,travel mugs ✅Label stickers, logo, poster, flyers ✅Tunaprint tshirt za sare,vikundi nk. mawasiliano. KARIBUNI SANA Tunapatikana Temeke
  14. JamiiForums Tanzania PICHA MBAO - Kumbukumbu Zitakazodumu Milele! 🖼️✨

    Je, unatafuta zawadi ya kipekee au mapambo ya ukuta yatakayoboresha nafasi yako? Tunachapisha picha zako pendwa kwenye mbao zenye ubora wa hali ya juu Ubora : Picha zako zinaonekana hai na za kuvutia kwenye mbao asilia. Zawadi Pekee: Kamilifu kwa harusi, siku za kuzaliwa, au kumbukumbu...
  15. JamiiForums Tanzania Jirani yangu anabiashara za kuuza majeneza pamoja na vifaa vya kuhudumia na yeye analalamika biashara ngumu ni meshindwa cha kumjibu.

    Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
  16. JamiiForums Tanzania Video: Naona hapa Simba nae alikuja kupiga picha?

    Wakuu, Hivi hapa ndo unafanyaje? Unarudi kwenye gari au unakubali kuwa kitoweo?
  17. C

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Hope Chanel huyu mpiga picha wenu katika makambi ya Kirumba anakosea sana

    Nitasema matukio machache yasiyo ya kiweledi ninayoyashuhudia kwenye runinga mubashara. Jumatatu alikuza picha ya wadada walioonekana wamesuka dreads na aliwekeza muda mwingi kuwamulika. Kwa mujibu wa mafundisho ya kisabato,hawakubali wanawake kusuka nywele. Alifanya hivyo ili iweje...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Hope chanell ya wasabato,mpiga picha anayerusha picha mubashara katika makambi ya Kirumba ni muhuni

    Kama wewe ndiye mpiga picha au ndugu yake,mtaniwia radhi kwa lugha kali jinsi hii. Nimeona ukichagua picha za watu unaodhani hawaendani na mafundisho ya wasabato unazikuza ili watu waone vizuri. Ninafuatilia tangu Jana na nimeona kuna baadhi ya wadada wakiwa wamesuka dreads za maana ukiwasogeza...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa wana JF, usiweke video wala picha yoyote ya wanaomkataa mama waziwazi ili kuwalinda, ila kiufupi, watanzania hawamtaki

    Jamani, Kunakupotezwa, si unajua tena ugali wa mtu, hata kama unga kaiiba, mboga kaiba, ila ukimwaga chakula chake, hasira huja zenyewe Tusiweke video za wanaomkataa hadharani kipenzi cha wanasisiemu wenye nyadhifa za uteuzi! Nazungumza nyadhifa za uteuzi kwa sababu, hao ndiyo watamlinda...
  20. JamiiForums Tanzania Ushiriki wa Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo: Je, Inatoa Picha Gani ya Kisiasa?

    Ushiriki wa Freeman Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo ya Kisiasa unaashiria juhudi za kimkakati za kujihusisha na wadau wa kitaifa, lakini kutokuwepo kwake kwenye kesi za Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema tangu Januari 2025, kunazua maswali kuhusu umoja wa chama. Tangu kushindwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…