picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtoto wa nyoka ni nyoka. Tazama picha.

    Watoto walimsalimia baba akiwa gerezani. Baba Alivyotoka, akajikuta anarudi tena gerezani ila mara hii kumsalimia mwanae.
  2. Hii picha imenifikirisha sana

    Huyu wa kushoto amekaribishwa na huyu wa kulia katika nchi yake bila shurti ya maelekezo ya kufuata utamaduni wake na itikadi yake na baada ya muda atafanya maandamano kushinikiza tamaduni yake ifatwe ingawa yupo ugenini na kwa bahati yake nzuri atasikilizwa. ILA, Huyu wa kulia akienda kwenye...
  3. Nimeona hii picha nikakumbuka wale jamaa wa OYA

    Aisee kausha damu sio cha mtoto🤣🤣
  4. Mkeo kumtumia kaka yake picha ya damu ya blidi,je ni sahihi?

    Mkeo ana tatizo la kutokwa damu muda mrefu sana,Siku ya siku ya anakwambia ameamua kumtumia picha ya damu kakaake ili ajue madhila anayopitia, Huamini unaamua kuchukua simu yake ili ujionee mwenyewe kweli unakutana na picha sambamba na ujumbe unaosema "Hii ndio hali ninayopitia dada yako kwa...
  5. Simba SC mlituambia kuwa Elie Mpanzu ana Miaka 22 sasa ila leo katupia Picha yake akiwa na Mwanae mkubwa wa Kiume na Wajukuu Wawili

    Kama kuna Kitu kinachoniuma kwa Simba SC yangu hadi sometimes huwa naamua hata Kuisusa na Kuinanga vibaya sana Mitandaoni ni Viongozi wa Simba SC na hasa Msemaji wa Simba SC kuwekeza zaidi katika Propaganda (Kudanganya) Mashabiki. Mlisema kuwa Mchezaji Elie Mpanzu ndiyo Kwanza sijui ana Umri wa...
  6. Wataliban wa Mbagala basi wakiona hii picha wanapepesuka balaa

  7. Picha: Kinachoendela Kenya kinatisha, Gen Z wapanga kuandamana kwa siku 7 mfululizo

    Hawa Gen Z wanateketeza nchi yao na hashtag yao ya #RutoMustGo
  8. Picha inazungumza zaidi kuliko maneno; Tizama picha na sema umeelewa nini ?

    Tafakari kuhusu kauli ya Rais Samia aliyoitoa mwishoni mwa juma katika uzinduzi wa kanisa la Mwamposa 'Arise and Shine' kwamba Bosi wake ni Kikwete ilivyoibua mijadala. Ikumbukwe kuwa Rais ndio Mkuu kabisa wa Nchi ambaye anapewa madaraka na wananchi.
  9. Picha: Said Othman Mangwelele a.k.a mchawi wa drafti wa muda wote

    Kama ulishawahi kutazama game zake either physically au online bila shaka utakiri huyu jamaa ni mchawi kama sio jini kabisa. Jamaa anakufunga anavyotaka yeye, yani kuna ile game unaona kabisa imeisha ila jamaa hataki kumaliza ,atataka akufunge ki ladha kiasi kwamba hata wewe unayefungwa...
  10. PICHA inaongea mengi

    Siku zote picha moja ni sawa na maneno 1,000 angalia Kwa makini hii na useme umegundua nini,
  11. Picha: Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) yashiriki uzinduzi Kanisa la Mwamposa

    Wakuu! Nimewaletea hapa picha ya Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) na wenyewe wameshiriki uzinduzi Kanisa la Nabii na Mtume Boniface Mwamposa.
  12. Picha: Achana na mahusiano na mwanamke ambaye hana mchango kwenye maisha yako. Kuwa kama mimi!

    Wanaume kama sisi wenye akili timamu na future. Pampuchi sio kitu cha muhimu sana hasa tunapoingia kwenye mahusiano. Mwanamke anatakiwa kuwa na akili na mawazo Hasi. Mwanamke akupe peace of mind. Mwanamke awe hamasa ya wewe kusave pesa. Mwanamke anatakiwa kuwa mbunifu kila siku. Awe na ofu ya...
  13. Katuni hii inakupa picha gani ?

  14. Matoleo mbalimbali ya simu za Nokia katika picha

  15. Picha yenye kutafakarisha sana

    Achana na huo mpangilio wa ukaaji.. Achana na makochi mazuri na zulia jekundu.. Itazame kiroho zaidi hata kama nyuso zao hazionekani ama hazionekani vema Ni picha iliyobeba hisia za majuto.. Wote walioko hapo walitokea majumbani kwao kwenye vitanda vyao, wakapata nafasi ya kujiandaa na kuvaa...
  16. L

    Picha kuna post kama hizi zenye kuchochea ukabila

    Aliyetoa uzi anasema ni kutoka kagera kanda ya ziwa anahoji inawezekana vipi mtu baye sio mchaga akapata uongozi uchagani . Ameenda mbali anasema kaskazini inapwaya akatolea mfano arusha sakata la gambo na makonda kwamba zio wazawa lakini wanagombea kisa tu wameoa maeneo hayo . Nyerere...
  17. PreGE2025 POTOSHI Picha ya Rais Samia akifuatilia kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu

    Picha inaelezea vitu vingi.
  18. F

    Picha: Gwajima kwa haya yaliyofanywa na Polisi kanisani kwako jana na wewe kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge CCM wewe ni mwehu?!

    Huwezi kuamini mambo haya yanatokea hapa Tanzania. Waumini wanazuiwa kuabudu na kupigwa kama wahalifu! Cha ajabu ni kiongozi wao askofu Josephat Gwajima kukimbilia ofisi za CCM kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa ticket ya CCM!!! Nafikiri kuna kitu sio sawa kwa Gwajima na ndio maana...
  19. Picha: Gharama za kutuma hela ni kubwa sana

    Yaani laki 2 ya kutoa ni 6,000 ? Aisee tuacheni kutumia haya mambo ni gharama sana kutuma pesa kwa mitandao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…