picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. President of China

    JamiiForums Tanzania Picha: Mawaziri wapya wakiwa wanakula kiapo - Tanzania mpya yenye maendeleo makubwa hii hapa (Watanzania wa kweli wanaipenda)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri wa Wizara mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025.
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Katuni hii inakupa picha gani kwa wanao hubiri amani ?

  3. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Bashasha na tabasamu za JK zageuka uso wa ndita na hatia

    Bashasha na tabasamu siku alipoihondomola CCM kwa kulazimisha jina la ampendae yeye lipite bila mchakato... Kikaja kikaharibika.... Wananchi wamelikataa jina, watu wameimba mitaani HATUMTAKI HATUMTAKI HATUMTAKI... kisha wakamwagwa damu zao...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tutatumia drones na Satelites kupiga picha Matukio ya kuboresha Mochwari mnazopanga kuzirekebisha kupotesha ushahidi

    Uzuri kila mnalopanga gizani taarifa zinatufikia. Tunajua mmepanga kufanya demolitions za mochwari na kuziboresha ili kuficha ushahidi. Kwa taarifa tu, sasa hivi tutatumia drones na satelite kupiga picha demolitions na renovations zote mnazopanga kuzifanya kwenye mochwari zetu ili tuioneshe...
  5. lost files

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 WARNING:⚠️Namna Serikali inavyowakamata Wanaotuma picha Za Mauaji Mtandaoni: Na jinsi unaweza kujilinda

    Bila Salamu., Nilitaka kuandika hili kama comment katika Uzi Fulani days ago but sikufanya hivyo Sababu niliogopa kwamba kwa kufanya hivyo nitaogopesha watu wanaotuma picha na videos,pili niliogopa kua kama Serikali haifanyi nilichofikiria basi nitakachosema ndio kitawapa mbinu na nini Cha...
  6. G Sam

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ulinganisho wa picha za hivi karibuni ukionyesha ukweli wa miili yenye majeraha iliyorundikwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala kama magunia

    Wakuu, ni kweli kuwa ile miili ni ya ndugu zetu waliuawa na kwenda kutupwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala. Kama hukupata ndugu au kama una ndugu ambae hujui kama ni mzima au alishatangulia fanya kufika hapo kudai ukweli wake! Tazama ulinganisho wa picha mbili za matukio tofauti...
  7. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: Wauaji wa vijana kwenye maandamano wakijitapa mtandaoni

  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kabla hujatoka kuandamana tarehe 9 Disemba angalia hii picha

    Mange kimambi aliwaambia vijana wasiogope walambe pasi ya moto tarehe 29 wataokolewa na wajeda. Vijana wa Dar wakalamba pasi ya moto kwa siku moja na nusu wakaona hakuna ukombozi wakaacha wakakimbilia maghetoni kwao. Vijana wa mikoani hawakutaka kupitwa na wala viepe nao wakaanza kuilamba pasi...
  9. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania KWELI Nyenzo za kidigitali zinabainisha eneo ilipopigwa picha hii ni fukwe za Ziwa Nyasa Kyela, Mbeya

    Tumia nyenzo za kidigitali kubainisha eneo halisi ilipopigwa picha hii amba mdau aliuliza "hii ni sehemu gani bongo?" Je, umetumia nyenzo gani kujua eneo halisi?
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Picha hizi zinasambaa mitandaoni kuwa Hawa ndio wauwaji waliouwa maelfu ya wananchi kwa kuvizia 29 October

    Picha hizi zinasambaa mitandaoni kuwa Hawa ndio wauwaji waliouwa maelfu ya wananchi kwa kuvizia 29 October ich
  11. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA : The Butchers of Dar es Salaam

  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha: Polisi wampandisha mtuhumiwa kizimbani kusomewa mashtaka akiwa na BOKSA

    Kijana huyu amesimama kizimbani akiwa na vest na boksa—baada ya kunyimwa hata ruhusa ya kupiga simu kuomba nguo za kubadilisha. Ni miongoni mwa vijana walioshtakiwa pamoja na Niffer kwenye kesi ya uhaini. Taarifa zinaeleza kuwa Jeshi la Polisi lilimzuia kuwasiliana na familia yake, hata kwa...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha: Askari Magereza aliyepigwa risasi na Polisi Oktoba 30, 2025 Mazizini DAR

    kwenye Picha ni Askari wa jeshi la magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyepigwa risasi na jeshi la polisi maeneo ya Mazizini jijini Dar es Salaam akiwa anatambea, Mkali alikuwa Dar kwa likizo, kituo chake cha kazi ni Gereza la Mbarali. Tunaposema wameua watu wasio na hatia tuna maanisha.
  14. Richard

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Yale wamechukua picha za satelite zinoonyesha mauaji huko El Fashar. Je, waweza kufanya hivyo kwenye miji ya Tanzania?

    Picha hii ilichukuliwa tarehe 1 Novemba ikionyesha mahala ilipozikwa miili ya watu walouawa karibu na msikiti kwenye mji wa ElFashar nchini Sudan: Picha na Aljazeera. Chuo Kikuu cha Yale kilichopo nchini Marekani ni moja ya vyuo vikuu vikubwa nchini humo kilojikita kwenye sayansi na uvumbuzi...
  15. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania David Beck amuiga Imam Hussain pozi la picha

    Sir David Beckham eti naye amemuiga Imam hussein pozi la picha alipokuwa na mijibwa yake kijijini uingereza. Pozi hilo maarufu la kipekee ambalo kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya ukatili, udhalilishaji na...
  16. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Guardian, wahariri wako likizo, picha na caption haviendani!

    GUARDIAN NEWSPAPERS, Wahariri wako likizo. Hili ni gazeti la leo.
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Netblocks: Mitandao ya kijamii bado Inakabiliwa na vikwazo licha ya Intaneti kurejeshwa Tanzania

    Kwa mujibu wa taarifa za NetBlocks, takwimu za moja kwa moja zinaonyesha kuwepo kwa vikwazo vikubwa kwenye mitandao ya kijamii na programu za ujumbe nchini Tanzania, hata baada ya huduma za intaneti kuanza kurejea taratibu kufuatia kukatikwa kwa mtandao kwa zaidi ya siku tano tangu Oktoba 29...
  18. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Novemba 3 - Nimepokea SMS ya Polisi: Wanatisha raia kutosambaza picha na video

    Nani mwingine amepata hii SMS ???
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanaompongeza Samia, waambatanishe na picha hizi

    Ni dhahili bila shaka, wale wote wanaompongeza rais Samia, au wanaofurahia ushindi wa Samia, Wasiacha kutembea na picha hizi vifuani mwao. Furaha ipo wapi? Je, Mtahudhuria mazishi au mtaacha waliwe na kunguru? Nini kosa la hwa watoto? Naamini sasa mtakula na kula kwa furaha.. Binadamu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wanalazimisha biashara ns nyumba zenye cctv kufuta picha.

    Kama una cctv ambayo imechukua picha zozote za maandamano, tafadhali hamisha hizo picha haraka na kuzitunza. Wanataka dunia isijue kilichotokea. Kama una ndugu Unajua ana cctv mfikishie ujumbe. Wa record hizo taarifa zote na kuzificha. Polisi wanaanza kupita kwenye biashara za watu kufuta...
Back
Top Bottom