pharmacy

  1. Website Tanzania

    SOFTWARE Nauza Mfumo wa kusimamia biashara ya Pharmacy (PHARMACY MANAGEMENT SYSTEM) KWA 300,000 TU

    Simamia Stock za Dawa, Mauzo, Expiry & Ripoti za Kifedha kwa Urahisi (BEI RAFIKI) Wamiliki wa pharmacy / duka la dawa, Hebu niulize swali la kweli 👇 👉 Umewahi: Kukuta dawa zime-expire bila wewe kujua? Kukosa stock ya dawa muhimu wakati mteja yupo? Kupata hasara kwa sababu ya dawa kupotea au...
  2. boufer

    Nina ADO naomba kazi ya kuuza pharmacy au NURSE kwa Dispensary

    Heri ya mwaka mpya wana JF, kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza pharmacy au NURSE anicheki, nina cheti cha ADO na nimesoma Medical Attendant, nina uzoefu mkubwa wa hizo kazi zote zilizomention hapo juu, mawasiliano yangu 0672498183, KITUO CHA KAZI KIWE DAR ES SALAAM, asanteni
  3. Think2

    Ukinizalia nakufungulia pharmacy

    Ila sisi wanaume tunadhambi sana mdada wa watu anajitahidi kwenye kitanda akuonyeshe mautundu kwa ahadi ya kufunguliwa pharmacy baada ya kuzaa pharmacy ndio hio hapo chini sasa🤣🤣🤣👇👇👇👇
  4. Beberu

    Robby one Pharmacy/ Fashion zinamilikiwa na nani?

    Toka nakua namsikia huyu jamaa matangazo yake EATV, miaka ya karibuni kaingia kwenye madawa(Pharmacy) ila sijawahi jua inamilikiwa na nani? Ni mbongo ? Jamaa kadumu kwenye game la nguo toka kitambo sana, toka 2007 huko namsikia hadi leo bado yupo strong, Nani anamjua huyu jamaa? Na napenda...
  5. Sonship

    PHARMACY INAUZWA DSM

    Pharmacy inauzwa Inauzwa na Kila kitu chake Shelves,ac,mini fridge na dawa zote Imeshalipiwa kodi ya miezi 6 tayari Ipo banana njia ya Moshi Bar Dar es salaam Bei Milioni 14 0775 179905
  6. N

    Pharmacy inayouza Medical Dietary Supplements kwa bei ya Jumla.

    Habari, Nijulishe jina, contacts na location ya Pharmacy inayouza dietary supplements. Note: Nahitaji Medical dietary supplements sio gym supplements. Hizi hapa, 1. Vitamin D 200 IU 2. Calcium biophosphate/Human milk fortifier 3. Premature formula Pamoja, Noke
  7. Bueno

    Mabinti Mnaotuuzia Condoms Pharmacy muwe mnatupa maelekezo zaidi kuhusu Matumizi ya Condoms sio Mnatuonea Aibu Wateja Wenu

    Wakuu, ngoja leo niseme jambo moja ambalo nimepatwa nalo hapa katikati nilipokua kwenye mihangaiko yangu ya kutaka kukipata kilinda afya yangu ili nisipatwe na STI bila kutarajia sababu sikujikinga. Nilitoka zangu nikaelekea Pharmacy moja kubwa tu na kwenye hii Pharmacy hua kuna shift ya...
  8. youngkato

    Jinsi ya Kupata Leseni ya Kuuza Dawa Muhimu za Binadamu (Local Pharmacy)

    Leseni ya biashara si tu huchangia kutambulika kisheria, bali pia husaidia kuepuka usumbufu wa kufungiwa biashara na kufungua fursa za huduma nyingine muhimu kama mikopo. Faida za kuwa na Leseni ya Biashara 1. Hutambulisha biashara yako kisheria. 2. Huhitajika unapofungua akaunti ya benki ya...
  9. M

    Naomba kuuliza ni kozi zipi kwa bachelor anazoweza kusomea mtu aliemaliza diploma ya pharmacy na hana grade D ya physics na mathematics kidato cha nne

    Naomba kuuliza ni kozi zipi kwa bachelor anazoweza kusomea mtu aliemaliza diploma ya pharmacy na hana grade D ya physics na mathematics kidato cha nne
  10. E

    Ushauri kati ya biashara ya hardware au pharmacy wholesale

    Habari wandugu Je kwa mtaji wa 50-65 ml ni biashara gani nzuri kufanya kati ya pharmacy na hardware. Natakuliza shukrani
  11. C

    Vyuo bora vya Pharmacy Tanzania

    Kama una mpango wa kuomba kusoma pharmacy,omba vyuo vifuatavyo: 1. Muhimbili ( Muhas) 2. Bugando ( Cuhas) cha wakatoliki 3. Bugando ( Mwachas) cha serikali 4. KSP kipo KCMC Moshi 5. Udom 6. Mtwara Cohas 7. Tabora Cohas Vyuo vingine go at your own risk! Utahangaika sana hasa utakapokuja kufanya...
  12. Dennis Robert Shughuru

    Zifahamu njia zitumikazo kutengeneza hizi dawa zinazouzwa pharmacy

    Nikiwa Rais wa Tanzania kutakua na mpango wa kuzalisha dawa hapa Tanzania, je wajua njia za kutengeneza dawa??? Zifuatazo ni njia za kutengeneza dawa Kama nchi tutategeneze library kubwa itakayokuwa na chemical or compound zinazopatika kwenye nature na zinaposes unique features kama;- ENGULF...
  13. Mcqueenen

    Kwa mtaji wa milioni 10, biashara ipi inafaa kati ya urembo au pharmacy?

    Wakuu, Nina 10M. Natak nifanye biashara la duka la urembo (Perfumes, mafuta, Saa,cheni,wigi,sandals etc.) au nifungue mini pharmacy. Kwa Dar es salaam. Naombemi mchanganuo Biashara ipi Inalipa?
  14. BENEDICT ISEME

    Anahitajika Bachelor Pharmacist

    Anahitajika Bachelor Pharmacist mwenye leseni kusimamia Phamarcy Location: Dar es Salaam NOTE : SIO LAZIMA YEYE KUWEPO PHYSICALLY SALARY : NJOO NA DAU LAKO Mawasiliano: 0767810030
  15. BENEDICT ISEME

    Pharmacist mwenye leseni ahitajika

    Anahitajika Bachelor Pharmacist mwenye leseni kusimamia Phamarcy Location: Dar es Salaam NOTE : SIO LAZIMA YEYE KUWEPO PHYSICALLY SALARY: NJOO NA DAU LAKO Mawasiliano: 0767810030
  16. Pdidy

    Hivi haya maduka ya dawa pembeni ya hospitali yanayotesa wagonjwa ni ya nani?

    Nakumbuka J.P.Magufuli alipiga marufuku haya maduka naona yanazidi kuongezeka anyway sio mbaya. Mbaya ni malalamiko yanayoendelea hosptitali Dk anaandika dawa anakwambia nenda pharmacy. Unaenda wanakupa dawa mbili, 4 anakwambia nenda nje kuna duka linaitwa xxx pharmacy utazipata hapo Swali ni...
  17. Official Metson

    Binti anatafuta kazi ya pharmacy, yupo Dar

    Binti mwenye umri wa miaka 20 Ana Certificate ya Pharmacy ame-postpon mwaka wa tatu wa dimploma anatafuta kazi ya Ufamasia yupo Dar Namba 0781239520
  18. VERITE-NUE

    Chacha Pharmacy

    Mwenye contact za Chacha Pharmacy, Nzega au Bariadi naomba anisaidie tafadhali
  19. wa kibondemaji

    Kusoma BSc. Phamarcy ukiwa ni Clinical Officer

    Habari wana JF, Nina rafik yangu alisoma CBG akapata division II ya 12, baada ya hapo akaenda kusoma clinical medicine akapata GPA ya 4.2. Sasa anaomba msaada je akitaka kusoma Bsc pharmacy itawezekana kwa hivyo vigezo tajwa hapo juu?
  20. Binadamu Mtakatifu

    Natoa huduma ya Pharmacy na laboratory php automated system

    Nipo kwenye last steps kukamilisha hiyo system ambayo inaweza fanya hivi- 1-create users with different roles and permissions 2-add stock 3-sell stock 4-truck proft and usage 5-view and export reports And more In lab section Track participant from reception to doctor, lab n.k Sina...
Back
Top Bottom