peter madeleka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Madeleka: Kama walioandamana ni vijana kutoka Nje ya Tanzania vyombo vya ulinzi vina kazi gani?

    Kada wa chama cha ACT Wazalendo, Wakili Peter Madeleka, amesema anaiamini kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan iliyoeleza kuwa vurugu za Oktoba 29 hazikuhusisha vijana wa Tanzania, akisisitiza kuwa kauli hiyo haiwezi kupuuzwa na inapaswa kuwa chanzo cha uwajibikaji wa vyombo vya ulinzi na usalama...
  2. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Yeriko Nyerere, Peter Madeleka, Salim Mwalimu Na James Mbowe, Je Uchaguzi umeisha?

    Nauliza Mbona Hawasemi Kitu Hawa Wagombea Kwenye Uchaguzi Mkuu Wa 2025...kipi Kimewapata..?
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Madeleka: Niliunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu hakusema atazuia uchaguzi, kama angesema hivyo kabla, nisingemuunga mkono

    Wakili Peter Madeleka akihojiwa na Jambo TV amesema, "Wakati namuunga mkono ili Tundu Lissu achaguliwe na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kuwa Mwenyekiti mpya wa Chama, hakuna mahala popote alisema atazuia Uchaguzi akiingia madarakani, na kama angelisema hivyo mimi nisingemuunga mkono."
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Madeleka: Polisi mkituchagua ACT Wazalendo, kila Askari atamiliki Ghorofa na Land Cruiser

    Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia ACT Wazalendo, Peter Madeleka, amesema kuwa serikali iliyoko madarakani sasa itafikia kikomo cha uhalali wake mwezi Oktoba mwaka huu, na hivyo Watanzania wana jukumu la kuunda serikali mpya kupitia uchaguzi. Julai 4, 2025 akihutubia mkutano wa hadhara...
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese: Hivi ndivyo tutakavyozuia chaguzi zote zijazo kuanzia na huu wa 2025

    Ni mjadala unaoendelea huko X/Twitter kati ya Martin M. Masese na Peter Madeleka (wakili). Alianza kwa swali la kejeli Martin M. Masese akamshushia nondo hizi akirejea mavuguvugu mbalimbali yaliyowahi kutokea ktk nchi mbalimbali duniani yakihamasishwa na kaulimbiu (slogans) kali kama ilivyo...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka kimekupata nini? It is a pity kuwa mtu aliyekuwa shujaa wa IMANI kutete haki leo Unatetea utekaji!

    Madeleka kugombea Ubunge Tabora kumekutoa akili kweli? Mbona ulikuwa shujaa wa IMANI katika Mungu na mkeo kaokoka? Leo unasema utekaji umepungu/haupo? Kweli? Umeshakuwa "chawa" wa ACT, but remotely chawa wa CCM! KWELI HAKUNA UTEKAJI?
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka: CHADEMA kuzuia Uchaguzi 2025 kwa kigezo hakuna "reforms" ni kosa la Jinai

    Wakili Peter Madeleka amesema CHADEMA kupanga kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 ni kupanga kufanya kosa la jinai, na kwamba ACT Wazalendo haiwezi kuunga mkono suala hilo. Mahojiano ya One on One ambayo Shahidi wa Jamhuri Charles William amefanya na Wakili Madeleka yanapatikana pia katika...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka ateuliwa Waziri kivuli wa katiba na sheria

    Mwanasheria na Mwanaharakati mashuhuri nchini Wakili Peter Madeleka ametuliwa kuwa Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria katika Baraza Kivuli la Mawaziri la ACT Wazalendo. Uteuzi huo umefanywa leo tarehe 17 Juni na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Dorothy Semu.
  9. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Peter Madeleka: ACT ikiingia Madarakani, Tutahakikisha kila Askari anamiliki Ghorofa na Land Cruiser

    Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini amesema pia Polisi wakilinda Kura kila Askari atamiliki Ghorofa na gari Land Cruiser
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nini kimemkumba Wakili Madeleka kuwabeza wanaharakati?

    Jana baada ya kuhamia ACT Wazalendo chama kikuu cha upinzani alianza kuwabeza wanaharakati aliokuwa wanamsupport Kauli iliowashatua wengi kumwambia sativa auguze makovu aliyoyapata kwa washikaji Ukifatilia comments zake za jana na wachangiaji ktk account yake ni wazi kwamba brand ya kitapeli...
  11. G Sam

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huwezi kuamini ila Peter Madeleka ndiye alikuwa wakili wa huyu mhanga

    Watanzania wengi linapokuja suala la tumbo huwa tunachanganyikiwa. Tuna njaa hakuna mfano duniani. Huyu jamaa wakili mlevi alikuwa anasimamia hii kesi ila leo ndiye anatoa majibu haya kwa kitu alichokuwa anasimamia. Wakili meme!
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Madeleka ajiunga na Chama cha ACT Wazalendo

    Aiseeee leo ni bandika bandua! Kila sehemu moto! Mzee wa kesi katimkia zake ACT Wazalendo bana, yeye hajataka kwenda kula ubwabwa😂😂 ===== ACT Wazalendo wanafanya mkutano na waandishi wa habari muda huu Makao Makuu ya chama Magomeni, Dar es Salaam Mei 20, 2025...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Wakili msomi Peter Madeleka achangia shilingi milioni moja kufanikisha kufanyika mkutano mkuu wa ACT Wazalendo

    Wadau hamjamboni nyote? "Ahsante sana Wakili Msomi Peter Madelek kwa mchango wako wa kufanikisha Mkutano Mkuu wa ACT Wazalendo mkutano ambao ni hatua muhimu sana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025"
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka acha kabisa kuweka utani kwenye mambo yanayoumiza! Acha kabisa!

    Wakili Peter Madeleka nimekusikia leo ukiwa unaongea ukiwa mahakama ya Kisutu. Ulikuwa unaongelea kuhusu dhamana ya Dkt. Slaa. Nimekuelewa kuwa ulikuwa unaongea utani na dhihaka kama kufikisha ujumbe fulani dhidi ya Mahakama isiyo na meno kwa serikali, mahakama ya Tanzania. Sijafurahishwa na...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka amtumia Ujumbe Tundu Lissu kuhusu kesi ya Dkt. Slaa

    Wakili Peter Madeleka ameandika "Nitamuomba JENERALI Tundu Lissu ASIFANYE TAFRIJA ya KUSHEREKEA USHINDI WA CHADEMA mpaka DR. WILBROAD SLAA ATOKE GEREZANI. Ni muhimu pia DPP akahudhuria TAFRIJA hiyo." =================================== Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Jumatano...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Madeleka: Mbowe amefika mwisho, hana jipya

    Wakili wa Kujitegemea nchii, Peter Madeleka, amesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amefikia mwisho wa mchango wake katika siasa za mageuzi na hana jipya la kutoa katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini. Akizungumza na Jambo TV, Madeleka amesema...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Madeleka: Wanasema ukitaka kugombana na Mbowe, gombea Uenyekiti wa CHADEMA

    Wakili msomi Peter Madeleka afunguka mambo mazito kuhusu uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA unatarajiwa kufanyika Januari 2025. "Wako watu ambao wanasema, na sidhani kama wako sahihi sana, lakini inawezekana ni nadharia tu ambazo zinapaswa kuthibitishwa vinginevyo na...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Fremu zilizovamia Mikocheni B wahalifu watatakiwa kumlipa bilioni mbili kama fidia alifanyiwa uvamizi huo

    Wakili Peter Madeleka ambaye ni mwanasheria wa Juanna Chifunda amesema uharibifu uliofanyika kwenye fremu za maduka Mikocheni B ni uvamizi na wahusika watawawajibisha kwa mujibu wa sheria na ikiwemo mteja wake kidai fidia isiyopungua Shilingi bilioni mbili (2,000,000,000). Wakili Madeleka...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Peter Madeleka akiwa na Maburungutu ya pesa. Hii ni baada ya kupigania haki za wanaoonewa

    Duh
  20. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania TLS yathibitisha kutishiwa maisha kwa wakili Tito Magoti, Peter Madeleka pamoja na Ole Nguruma. Yaitaka Serikali Kuchukua Hatua Kali!

    https://youtu.be/3DxH0NUxzRY?si=xZRKgw9HtibCALQv Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibua taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha kwa mawakili watatu maarufu nchini Tanzania, Tito Magoti, Peter Madeleka, na Onesmo Ole Ngurumwa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na...
Back
Top Bottom