peter madeleka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka achangiwa mil 73 ili kupigania haki ya binti aliyebakwa na Maafande

    Hatua ya baadhi ya wananchi kujitokeza na kumchangia mamilioni ya Shilingi Wakili maarufu, Peter Madeleka kwa ajili ya kuendelea na kesi ya anayetajwa ‘afande’ jijini Dodoma, imeelezwa kuwa inaonyesha kiu ya haki ilivyo kubwa miongoni mwa wananchi. Shauri hilo la malalamiko namba 23627 dhidi ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka ashindwa kuhudhuria kesi ya 'Fatma Kigondo' kwa kuwa amekosa pesa ya kuendeshea kesi

    Wewe umejinasibu kuwa utafungua kesi kwa gharama zako hadi uhakikishe kesi ya Afande unashinda, watu wakakupongeza sana, leo kesi inatajwa huko Dodoma unapost kwenye page yako kuwa hujaenda kwa sababu huna hela. Uko serious kweli? Wewe na kiboko ya wachawi mna tofauti gani? ======= Soma...
  3. Ileje

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Askari Wapimwe Utimamu wa Akili

    Hayo ni maoni ya Wakili maarufu wa kutetea haki za binadamu Wakili Peter Madeleka ameshauri ufanyike usahili wa utimamu wa akili kwa Askari Polisi waliopo kwenye Majeshi. Wakili Madelekea amesema ili kuweza kusaidia ni wa ngapi wana akili timamu ili kutumikia Majeshi yetu,ili wale wanao...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka

    Madeleka amendika katika ukurasa wake wa x; Nataka nimwambie Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), ikiwa ndani ya SAA 24 kuanzia sasa, ATASHINDWA kuwapeleka MAHAKAMANI hao MASHETANI, kwa KISINGIZIO CHOCHOTE KILE, mimi PETER MADELEKA, nitafanya WAJIBU huo kwa FEDHA ZANGU. Hatuwezi kuwa taifa la...
  5. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Madeleka amekamatwa na Polisi, aachiliwa bila Masharti baada ya kuomba msaada kwa Mawakili

    Ame tweet mwenyewe kwenye mtandao wa X zamani Twitter ==== Kupitia ukurasa wake wa X Peter Madeleka ameweka ujumbe akisema amekamatwa na polisi na anashikiliwa katika kituo che Central Dar, ambapo ameomba msaada wa Mawakili. Pia soma: Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua kesi na kuwajua waliomteka na kumtesa Sativa

    Ameandika Wakili msomi. 👇 "Alichoandika Madeleka kwenye ukurasa wake wa X Ninao UWEZO wa kutumia SHERIA ili MAHAKAMA IWAJUE na KUWAWAJIBISHA wote WALIOMTEKA na KUMTESA ndugu SATIVA. Tukikaa MTAANI watesaji hao HAWAWEZI KUJULIKANA, lakini TUKIENDA MAHAKAMANI, wote MTAWAJUA. Tushirikiane kutafuta...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka agonga mwamba. Mahakama yakataa kuwaita Jaji Biswalo na Kamishina Anna Makakala

    Kupitia mtandao wa X, Wakili Peter Madeleka ameandika kuwa Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Arusha (A.R. NDOSSY-SRM) AMEKATAA kutoa HATI YA WITO (Summons) Kwa WASHITAKIWA hapo , KINYUME kabisa cha vifungu 128(2), (4), (5) , 100(2) na 130 vya CPA. Awali MALALAMIKO hayo yalipokelewa kwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka awaburuta Mahakamani Jaji Biswalo Mganga na Kamishina wa uhamiaji Anna Makakala

    Kupitia ukurasa wake rasmi wa X (Twitter) Peter Madeleka anaandika HAWAKO juu ya SHERIA na wala HAWANA KINGA ya kutoshitakiwa KIJINAI. Naishukuru Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa KUIPOKEA kesi hii kwa ADMISSION No. AD/RM/ARS/91511/2023 Pia soma > Peter Madeleka agonga mwamba. Mahakama...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka kusikiliza kesi ya Gekul mahakama ya Wilaya kwa tuhuma alizonazo dhidi ya Hamis

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa X Hatua ya KWANZA kuhusu GEKUL ndiyo hiyo hapo 👇. Natarajia Mahakama ya Wilaya ya Babati itatimiza WAJIBU wake kwa wakati, ili Kuanzia Jumatatu tarehe 11 Disemba 2023 hatua nyingine za KISHERIA ziendelee. Hatua hiyo nimeichukua chini ya kifungu cha 128(2) na...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka Akoshwa na Serikali ya Awamu ya Sita Kusimamia Maridhiano

    Wakili Peter Madeleka akizungumza katika mahojiano maalum aliyoyafanya na Global TV jijini Arusha kuhusu sakata la kuhojiwa kwa tuhuma za utoro jeshini ameipongeza Serikaloi ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa maridhiano. Madeleka ameeleza kuwa ana...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Mwili wa kijana Enock Elias umekutwa umezikwa kinyemela baada ya kukamatwa na uhamiaji Wilayani Kibondo

    Kuna taarifa kuwa mwili wa kijana ENOCK ELIAS SEBAKWIYE umekutwa umezikwa kinyemela baada ya kukamatwa na uhamiaji wilayani KIBONDO tarehe 27 Oktoba 2023 akidaiwa kuwa ni Mkimbizi. Kama taarifa hii ni kweli, ninalaani kitendo hiki na Wahusika akiwemo Makakala, wawajibishwe.
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Dubai sio nchi kama ilivyo Zanzibar hivyo haiwezi kuingia mkataba na nchi nyingine

    Wakili Madeleka amesema yapo mambo ambayo yanashughulikiwana muungano wa falme za Kiarabu na yapo mambo yanashughulikiwa 'individual emirate' Madeleka ametolea mfano wa Zanzibar isivyoweza kusain mktaba na Kenya, kuchukua mkopo japokuwa inae Rais. Madeleka amesema Zanzibar haina ubalozi popote...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka atua Kizimkazi Zanzibar ili kusikiliza kero, manyanayaso na uonevu wa serikali ya CCM chini ya ras Samia.

  14. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Leo itajulikana kama Stella alijinyonga au aliuliwa na polisi.

  15. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Kutishia watu kuwapeleka Magereza ili wateseke ni Ushamba na ulimbukeni. Kuuza bandari za Watanganyika ni ufisadi

    Kwa mujibu wa RIPOTI ya CAG ya mwaka 2020/2021, ni kwamba, MAGEREZA yote Tanzania, YAKIJAA, yanauwezo wa KUBEBA watu 35,000 tu. Uwanja wa MKAPA-DSM, UKIJAA, unaweza KUBEBA watu 60,000. Tanzania ina watu 60 MILIONI. Kwa hiyo, KUTISHIA watu MAGEREZA, ni USHAMBA na ULIMBUKENI.
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wakili Madeleka apata dhamana

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imekubaliana na maombi ya rufaa ya Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka na kumpatia dhamana. Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Septemba 9,2023 na Kaimu Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Boniface Semroki kwa niaba ya Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Yohane Masara...
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Je, tumeshamsahau Wakili Mzalendo Peter Madeleka? Nini kifanyike?

    Julai 17 2023 Mahakama ya Rufaa ilitoa maamuzi ya rufani iliyowasilishwa na Wakili Msomi Peter Madeleka dhidi ya plea bargain iliyoingiwa kati yake na DPP. Tangu siku hiyo ya hukumu Wakili Mzalendo, Msomi Peter Madeleka yupo rumande akisubiri mchakato wa kesi yake ya msingi uanze. Mahakama...
  18. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Sababu za kukamatwa kwa Wakili Peter Madeleka

    Mnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kughushi (forgery) kinyume na Sheria ya Mwenendo wa Adhabu (Penal Code)...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka akamatwa na polisi baada ya Mahakama Kuu kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP

    Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Polisi Arusha, Amekamatwa mara baada ya High Court Arusha kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP Taarifa zaidi kukujia ======== Tweet yake ya mwisho ilikuwa .... Mahakama Kuu ya Tanzania Arusha Leo tarehe 17 Julai 2023 IMEFUTA PLEA BARGAIN iliyoingiwa Kati...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Msigwa kumnyima nafasi Peter Madeleka, na kusema list ya wauliza maswali ina maana gani?

    Katika Clubhouse inayoendelea kuhusu mjadala wa Bandari unaoongoza na Habari Maelezo, huku moderator akiwa ni Peter Msigwa, hali imekuwa tete baada ya Peter Madeleka kutaka kuuliza swali ambapo Msigwa ameshutumu Madeleka kutumia utambulisho usio wake, hata hivyo Madeleka alisema ametumia jina...
Back
Top Bottom