Kuna nyumba unakuta watoto watatu wote wa kike wamezaliwa nyumbani, unaweza kujiuliza maswali kwanini haya yatokee ila kiukweli mama mtu amekuwa akipokea pesa za vocha kama zote sasa anashindwa aanzie wapi kuwakemea watoto na tabia zao za umalaya maana kuchakatwa kwa jagina zao zimemsaidia hadi...
Ni kweli mafanikio yanahusisha furaha, amani na utulivu wa moyo. Lakini tusidharau nafasi ya pesa. Ukiishi maisha ya kukosa chakula, kushindwa kulipa ada, kodi au matibabu, ni vigumu kuwa na amani ya kweli.
Pesa si furaha yenyewe, bali ni chombo muhimu kinachorahisisha maisha na kupunguza...
Kuna wanawake wanajifanyaga wajanja kwamba wanadamganya wanaume kupata pesa kwamba anaumwa au kuna shida we mpe tu pesa anajiweka mwenyewe kwenye kona
Yaan huyo utamla sana kuliko ambaye hajakudanganya
Waliokua wamepanga kumuondoa Joh Heche kwa kutoa uhai wake ndo wamekuja na hii plani kwamba Heche ametumia vibaya pesa za michango ya chama? Heche si ndo huyu huyu dereva wake amefariki Kifo cha kutatanisha?
Leo huyo Heche bado yuko kwenye majonzi ya kufiwa na dereva stil wanaimbuka watu...
hii statement ina ukweli ndani yake mtu akipata pesa kunatabia ambazo zilikuwa zimejificha ataanza kuzionyesha waziwazi
kuna tabia zako huzijui ngoja upate pesa zitajionyesha dhahiri,,
Hongera Chadema safisha uchafu, msicheke na kima yeyote mtavuna mabua.
Chama ni kikubwa kuliko mwanachama, walikuwepo kina Zitto, Mkumbo, akaondoka Mbowe na G55 yake bado chama kinasonga, sembuse hawa vidagaa tena vibichi.
Leo nimeona taarifa kwamba baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba wamelipwa fedha zao za kujikimu.
Swali langu ni, kwa nini sisi walimu wa ajira mpya bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu? Je, kuna sababu yoyote ya tofauti hii katika malipo?
Tunaomba mamlaka husika...
Hbari
Sio mishangazi, , Kuna Ile unakuwa na mahusiano na mwanamke wa makamo Yako then ikatokea ukamuazima pesa alishawahi kukupa laki na kuendelea je hakukudai hiyo pesa au ajakusimanga Kwa namna yeyote Ile
Au rafiki Yako wa kike ameshawahi kukusave swala la pesa laki na kuendelea...
Anaandika Hilda Newtown kutoka ukurasa wake wa X-TWITTER...
==================
Baada ya Gen-Z kutangaza Maandamano ya Amani ya 7/7 #77Tunatoka.
Sasa maandamano haya kwa MaRPC na Wakuu wa Wilaya nchini, wao wakaigeuza kuwa fursa ya kutapeli Wafanyabiasha wenye Maduka pamoja na wamiliki wa Petrol...
Je, unatamani kuwa Content Creator anayevutia maelfu ya watu na kutengeneza kipato kupitia mitandao ya kijamii? Kozi ya Content Creator (Full Course) ya ChuoSmart imeandaliwa kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili kukufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kuunda maudhui bora, kujenga brand yako, kuongeza...
Nawaomba wataalam washeria kuhusu kauli za mbunge huyu wa maswa mashariki anaekili kuwa alitoa psa alizoita ni posho kwa madiwani watatu kwa lengo la kuwapatia wajumbe je hii sio rushwa.
https://youtu.be/SkLvVyZveTI?si=bz4jU76WkZBGn5If
Bado ni kiwingu kwa Tanzania juu yakutopigwa redioni na kwenye TV za Tanzania Ngoma za CIVILIAN-COIN bila sababu yoyote ile. Tangu aachie Ngoma ya "Who am I?" na Leo "Home boy" lakini bado Watangazaji nchini hawataki kupiga. Wasiseme hawana HIZO...
Wafanyakazi wa Halmashauri tunalazimishwa kuchangia fedha ya mwenge.
Hii kisheria haiko sawa, Serikali inapesa ya kujiendesha na kufanya sherehe zake kama hizi bila Kuminya watumishi ambao vipato vyao ni vya chini sana.
Usipolipia unahamishwa/unaitwa ofisi ya mkurugenzi ukajieleze.
Natarajia lile deni la taifa trilioni 114 litafika trilion 900 kama watafikisha 2030.
Nguvu kubwa na pesa zinazowekwza kujionesha hawana tatizo na kulipa watu hata kuwapandia dau ili mradi kupunguza joto.
Hali hii sasa inaonyesha wazi walipofikia ni wazi wakabizi nchi kabla ya kuzidi kujitia...
Habari wakuu.
Leo mida ya mchana hivi nilikuwa om ,nikasema nitoke kiaina nikawacheki wana kijuweni, si unajua wana wa kitaa kuonana mpaka wikiendi,so nikapita ATM 🏧 Nikatoa kama laki 2 hivi nikatia kwa walet mfuko wa suruali ya jeans tena wa nyuma nikasema nipite kwa wana pale ,kijiwe nongwa...
Baada ya Serikali kutoa fedha kwa ajiri ya malipo ya posho za kujikimu kwa waajiriwa wapya wa mwaka 2026.
Hali imekuwa tofauti katika halmashauri ya wilaya ya Ushetu, mkoani Shinyanga.
Ambapo watumishi wapya walio chini ya Idara ya Afya na Lishe wamelipwa pesa pungufu tofauti na miongozo ya...
Anonymous
Thread
halmashauri
kujikimu
pesa
posho
shinyanga
ushetu
waajiriwa
Fikiria tu hii kashfa mpya wanakwapua shilingi 600 kwa kila lita ya mafuta.
Piga hiyo mahesabu kila lita ya mafuta nchini sh 600 na haiendi hazina.
Na hizo hela zinahifadhiwa kwenye account za kiislamu ambazo riba ni haramu.
Ndio maana kobaz wanaongoza kwa utajiri nchini.
Al-mukheef Jagina...
Salaam.
Wakuu wafanya biashara wadogo wenzangu,hivi hali ikoje kwenye biashara mbona mambo yanazidi kua mabaya hivi wazee kwa zaidi ya mwezi sijawahi kukutana na hali mbaya ya biashara kama wakati huu tangu nianze hii biashara,yaani pesa hakuna mteja anakuja analia vibaya sana.
Wazee ni kwangu...