pesa

  1. JamiiForums Tanzania Yule alisema ME wanaweweseka wakiwa karibu yake, huyu mwingine anasema vijana hawana pesa na hawanyoosh mashati, naona sasa jukwaa limekuwa leo tena

    Ladies kuna njia nyingi za kujipa promo humu zaidi ya "ku-belittle" wanaume ili muonekane matawi fulani hivi. Anyway sishangai sana maana hamna masikini humu, kila kidume humu anatembelea crown na kila mrembo humu ana 25yrs Maisha yaendelee🤣
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tuliopiga pesa kwenye mbolea zenye ruzuku miaka 2010 hadi 2014 na kufirisiwa na Hayati Magufuli tukutane hapa

    Binafsi, nimekaa na kukumbuka harakati za kimaisha na jinsi nilivyokuwa milionea na kufirisika na kuwa Kapuku. Nilikuwa nina duka la Pembejeo za Kilimo pale Makambako nikiuza pembejeo za kilimo mbalimbali. Baadaye mbolea zenye ruzuku ya serikali zikaanza wakati wa Kilimo kwanza. Mwaka 2010...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Thamani ya mtu siyo pesa bali ni imani yake kwa jamii iliyompa imani zao

    Kuishi kwingi ni kuona mengi,nimemuona Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani,akiwa na thamani kubwa kwa jamii,nikamuona Lipumba akiwa CUF,tulikuwa tunaambiwa tukiwa wadogo ni kati ya watu kumi duniani waliyosomea mambo ya uchumi,tukaaminishwa ni mshauli wa rais wa Uganda katika masuala ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Private schools zinadai pesa ya remedial class kwa watoto wa darasa la pili , school fees inafanya kazi gani ?

  5. J

    JamiiForums Tanzania DIRA2050: Tanzania kumiliki uchumi wa TZS2,600Trilioni pesa hii inaweza kugawiwa kwa Watanzania wote na kila mmoja hadi watoto akapata TZS44 milioni

    DIRA2050: Tanzania kumiliki uchumi wa TZS2,600Trilioni pesa hii kwa hesabu za leo inaweza kugawiwa kwa Watanzania wote na kila mmoja hadi watoto akapata TZS44 milioni Ifikapo mwaka 20250, Tanzania inatarajiwa kuwa ni nchi yenye pato la taifa la $1Trilioni kufikia mwaka 2050 sawa na...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ni vitu gani vitatu 3 unavijali zaidi ya pesa?

    Ukiachana na pesa na mishe za kutafuta pesa mimi huwa na priotize sana Amani (Peace of mind), marafiki wafaida pamoja na Heshima. We vitu gani vina umuhimu kwako?
  7. JamiiForums Tanzania KERO Mifuko ya Hifadhi za Jamii NSSF na PSSSF kwanini mnatesa wastaafu kuwalipa Pesa zao?

    Mazoea yamekuwa desturi, baada ya kuchangia kwa miaka mingi mifuko hiyo hadi kustaafu sasa wastaafu ndio wana kumbana na adha ya kupewa pesa zao utadhani wanaomba kazi upya. Kwanza wanacheleweshewa wakati mifumo ya kustaafu inaeleweka mwezi mmoja kabla mtu hajastaafu. Sasa kesha toka kazini na...
  8. JamiiForums Tanzania NJIA 10 ZA KUTENGENEZA PESA UKITUMIA CANVA

    Katika makala hii, utajifunza njia 10 rahisi lakini zenye faida kubwa za kutumia Canva kutengeneza pesa — iwe uko shule, kazini au nyumbani. 1. Kuuza Templates (Miundo Tayari) Canva inakuruhusu kutengeneza templates kama CV, kadi za harusi, posta za Instagram, nk. Unaweza kuuza hizi templates...
  9. JamiiForums Tanzania Nikiangalia usajili wa timu nyengine, reserve ya pesa waliyonayo, uongozi mathubuti wao basi niishie kusema R.I.P kwa timu yangu Man Utd. Tulikupenda!

    Hakuna pahala tunakwenda! Naona tena tukiwa nafasi ya chini ya namba 10 ikifika hadi december. Glazers wamefyonza pesa, sasa hivi roho iko juu juu katika financial Fair play (FFP), Tuna move katika dirisha la usajili katika sunderland hivi. Namuonea huruma amorim maana hamalizi huu msimu...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Unyani |Biashara ya Manyani

    Natumia muda wangu mwingi sana ONLINE. Moja Kati ya conversation kubwa ni Washkaji wanasemaga ukitaka kutoboa lazima utatue tatizo, Wengine wanaamini zaidi kuwa unalipwa kulingana na TATIZO unalotatua.. Hii Narrative ni nzuri ila inaua ubunifu na vijana wanashindwa kufikiri “sio tu NJE YA BOX...
  11. JamiiForums Tanzania Namshauri Lissu akitoka aachane na siasa. Aungane na CCM ale pesa umri umeenda

    Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee. Nimejiuliza anachohangaikia ni kipi, anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake, anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona anateseka, wanaishia kukomenti "no reform no election" mtandaoni kama wanaangalia muvi. Kinachonifurahisha...
  12. JamiiForums Tanzania Naweka challenge hapa. Tukubaliane kiasi cha Pesa. Mwanamke akiweza hili nampa pesa yake

    Vyovyote mtakavyosema. Tangazo, mtego n.k sijali. Nachojali ni hisia zangu na uhuru wa mawazo kwa mujibu wa Katiba na bila kuvunja Kanuni. Najua na wanaume wenzangu baadhi wataunga mkono wanaweza wakawa nao wanapitia changamoto hii. Ikiwa kuna mwanamke naweza nikagegedana naye akawa na...
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI USAID wanagawa pesa

  14. JamiiForums Tanzania Mo ni boss kichechefu anakamua tu Simba; Simba brand kubwa kama hutaki kuweka pesa tuachie timu yetu

    Salute kwenu Wana Lunyasi! Niende kwenye Mada, Mashabiki na wanachama wa Simba tunamkosea Sana Mangungu. Huyu ni kiongozi yupo kama kipofu hata ukimvutia shimoni anaenda maana haoni. Kipindi Simba ipo kwenye peak tulipitisha katiba kwa bashasha na Bodi ya Wakurugenzi ikapewa Meno kuliko...
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtia nia CCM Meatu anavyogawa pesa kwa wajumbe, tumelalamika hatusikilizwi

    Huyo hapo kwenye video anaitwa Hamis Salum Hamis, ni mmoja wa watia nia kupitia CCM nafasi ya Ubunge kwenye jimbo la Meatu Mkoani Simiyu. Hapo yupo katika moja ya kijiji uko kata ya Makao, na yupo na Diwani wa kata hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu anaitwa Anthony...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Godbless Lema alisema Lissu hawezi kuwa kiongozi kwa sababu hana pesa, hawezi kuendesha chama

  17. JamiiForums Tanzania Katika utafutaji tunatarajia wenye umri mkubwa wawe na pesa nyingi na maisha mazuri

    Ni kweli! Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara Inashangaza...
  18. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu, Tumieni njia halali za kutafuta pesa. Mwenzenu yamemkuta

    Doreen habari! Mimi nipo chuo mwaka wa 2 hapa dar.Kuna rafiki yangu amenidhulumu pesa yangu yani amenifanya nifanye mambo machafu ya aibu na hela amekimbia nayo simu yangu hapokei. Naomba nisimulie kidogo dada Doreen Kuna wazungu hawaongei kingereza walikuwa wanahitaji wadada rafiki yangu hizo...
  19. JamiiForums Tanzania Sawa Haraka pesa hamjui kalaga baho ni nani, mmeshindwa hata kuwauliza jirani zenu Pesa X na bahari cash au popo cash wananijua kivipi?

    Kausha damu Haraka pesa wamejichanganya kunikopesha elfu 40 wakajua kinyonge. Pesa ile nimepita nayo na hapa wanatumia mbinu walitotumia Wenzao waliopita wakashindwa. Ilifika kipindi mpaka mfanyakaz wa boba cash alikuwa analia anaomba nirudishe japo nusu ya pesa yao nyingine wamenisamehe na...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke anayekupenda hatakuomba pesa kila wakati

    Simple Research ushawahi kuwa na pisi inayokuelewa to the maximum compared na pisi unayoilewa wewe when it's comes to money Mwanamke anayekupenda hawezi kuwa msumbufu wa kupiga vizinga na kama atakupiga kizinga basi jua kweli amekwama you need to support her. Mwanamke anayekupenda yupo tayari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…