pesa

  1. M

    Pesa zimeenda wapi mtaani au wengi hatujui kuzitega

    Pesa ni sabuni ya roho , nazani bada ya MUNGU, familia pesa zinafuata, kwa akili zangu na experience yangu mtaani hali ya maisha mtaani ni ngumu sana no money here, nimekumbuka miaka ya 2010 -2015 ukiwa na Dili ya pesa nyingi unawapigia wanao wawili wakuwekee fedha unafanya Dili unawarudishia...
  2. Ukitaka kua Rais TFF ama uongozi wa juu, lazima uwe na PESA pole sana ndugu yangu Ally Mayay

    Asalaam Aleykum TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia hivyo viti, bila pesa hizo endorsement utazipata vipi? Pole sana kaka yangu Mayay Ally, ni pesa tu huna...
  3. W

    Hawa wakiacha kuhonga ni matajiri, pesa zipo tatizo sketi

    1. Mafundi Ujenzi - Saiti mpya dem mpya 2. Mafundi Simu - ni tangu enzi za miaka ya 2000s nawajua vizuri, kwa kuhonga wana b+ 3. Wauza mitumba - mabalo ya mitumba yana faida kubwa sana, tatizo kuhonga 4. Boda boda - honga yao ni lift za bure na wanajuaga nani kabanwa na marejesho...
  4. W

    watanzania wenzetu wenye magari ya milioni 200+ wanaoingiza pesa halali wanafanya shughuli zipi ?

    Wabongo wenzetu nikiamaanisha watanzania wenye asili ya kiafriaka ❌Wanasiasa - Wengi wananenepa kwa kodi zetu ❌Wachungaji wa kilokole wengi wahuni wanatajirika kwa sadaka ❌wasio na shughuli zinazojulikana, wengi matapeli na dili nyeusi
  5. SWALI: Kwanini watu wenye ibada pasipo na ukristo na Uislamu. Mbona dini zao ziko na pesa ?

    SWALI : kwa nini watu wenye ibada pasipo na ukristo na uislamu.mbona dini zao ziko na pesa ? Naomba wasomi mtupe jibu je Kuna Siri Gani hapa . Atotoa jibu zuri Kuna zawadi ya group kuingizwa free la kulipia ili kuchota marifa zaidi na Utambuzi zaidi na zaidi . Swali la kwanza ameshinda...
  6. Tumia pesa kupata pesa

    ujanja ni pesa yako isitoke hivihivi, kama nimekosea mtaniambia
  7. D

    Wiki mbili sasa nimelipia CONTROL NUMBERS za vyeti viwili lakini STATUS zinasoma PENDING

    Wakuu ni wiki mbili sasa nimelipia CONTROL NUMBERS za vyeti viwili lakini STATUS zinasoma PENDING na risiti ndo hizo hapo, kila nikipiga simu HELPDESK za RITA na GePG..wananipiga chenga kwa anaefahamu issue kama hii anisaidie mawazoo...
  8. S

    Je, Ni kweli kuna pesa za freemason?

    Hello, Mara nyingi nimesikia stori za watu kuwa kuna pesa za freemason,. Ingawa mimi binafsi naona ni utapeli ulioanzishwa na watu hasa mitandaoni ili kutapeli watu. Je, ni kweli kuna pesa za freemason?
  9. Tufahamishane kuhusu hii code ya kupiga pesa Facebook

    nishasanuka!!!! Endeleeni ku’gatekeep!! Now ni kudownload hela tu🔥🔥🔥🔥
  10. Ewe mwanasiasa unaefanya anasa kwa pesa za umma, Hauwaonei huruma watanzania wenzako wanaoteseka?

    Takribani watanzania milioni 40 ambao ni 64.8% ya watanzania wote huamka kila siku wakiwa hawana uhakika wa -chakula bora, -maji safi, -huduma za afya, -elimu inayoeleweka kwa watoto wao n.k Lakini pia kuna mtanzania muda huu hajui wapi atapata pesa ya kukomboa maiti ya ndugu yake ambayo...
  11. CCM mnachukia nini tukisema hii Tsh. Trilioni 107 ni Deni la Mama

    Tangu tuanze siasa za uchawa nchini, kila kitu kinachonasibiwa ni cha kimaendeleo kinaitwa cha mama. Sasa kwanini wanaCCM wanakunja ndita tukisema hili ni deni la mama?
  12. Huwezi ukawa na akili timamu ukashabikia Simba na Yanga. Ni ngumu sana labda uwe unapiga pesa

    Haijawahi tokea mtu mwenye akili timamu akawa anashabikia hizi teams kishabiki kindakindaki na akabaki na akili timamu. Lazima aache kimoja. Ushabiki au akili. Naona tu hata humu JF wengi walishaamua kuacha akili nje wakaingia ndani ya hizi team kinyume nyume wameinama na kushika kichwa. Na...
  13. CEO wa Yanga, Andre Mtine: Tunataka Pesa yetu ya Ubingwa ndio kitu tumewaambia TFF

    CEO wa Yanga na mtaalam wa masuala ya fedha wamehudhuria TFF kuhudhuria wito, Andre Mtine ameshangaa kuona TFF wanadai pesa ya ubingwa ilikatwa juu Kwa juu kufidia madeni ya vibali vya wachezaji Yaani Leo Madrid anyimwe pesa za ubingwa wake kisa anadaiwa TFF walipaswa kuwapa Yanga pesa Yao ya...
  14. TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  15. PreGE2025 CHAUMMA adui yenu ni CCM au CHADEMA? mmesahau kama mmeahidi kuiondoa CCM lakini kutwa ni CHADEMA, mmekula pesa ngapi?

    Wakuu CHAUMMA ni chama cha upinzani ambacho viongozi wake wengi wa sasa ni wale walioamua kuyasaliti mapambano kupitia CHADEMA. Ni kama usaliti wao umekuwa jumlajumla kiasi cha kutwa kuijadili na kuishambulia CHADEMA yenye kupambania masuala ya kitaifa ambaye wote adui yao mkuu ni CCM...
  16. Tabia za baadhi ya wanawake kutaka wapewe pesa na zawadi zinawafanya wanaume weengi kuamini kuwa tendo la ndoa halina umuhimu kwa mwanamke

    Inaweza ikakushangaza lakini huu ndio ukweli wenyewe. Katika jamii zetu za kiafrika wanawake walio wengi wanakuwa hawapo tayari kushiriki tendo pasipo ahadi ya kupewa pesa au zawadi fulani. Yaani ili mwanamke akupe tendo basi ni lazma utoe kitu flani. Hali hii inafanya wanaume wengi kuamini...
  17. Usimkopeshe pesa mke wa mtu

    Wakuuuu habari za mida ikiwa ni weekend tulivu kabisa Kwa heshima naandika hapa nilimkopa mke WA MTU pesa sahizi nimeitwa kwa mwenyeketi Nina kesi ya kujibu
  18. Unaweza Kupata Pesa kwa Kutumia AI Bila Kuacha Kazi Yako

    Unaweza Kupata Pesa kwa Kutumia AI Bila Kuacha Kazi Yako Nafanya hivi, masaa 3 kwa siku ⏳💰 Watu wengi wanadhani lazima waache kazi ili waanze maisha mapya ya kujiajiri online. Mimi nilifikiri hivyo pia. Ukiangalia mitandao, unaona Influencers, wafanyabiashara, watu wa YouTube, wataalam wa...
  19. Kijana katuambia anataka kufanya harusi (kuoa) yeye kaandaa laki moja tu, anaomba aongezewe pesa iliyobaki

    Kijana kaomba aongezewe pesa iliyobaki ili aweze kufanya sherehe kabambe. Wakuu mtu kama huyu anasaidiwa vipi huko kwenu?
  20. Jinsi Mwanafunzi wa Form Six Anaingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Freelancing

    Jinsi Mwanafunzi wa Form Six Anaingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Freelancing Wakati vijana wengi waliomaliza kidato cha sita wakisubiri majibu ya chuo au kutafuta “kazi ya kuajiriwa,” kijana mmoja kutoka Mwanza aliamua kuchukua njia za tofauti. Jina lake ni Festo kijana mnyenyekevu, mpole lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…