Pepo la Itunes limelitoa leo

Pellman

Senior Member
Feb 13, 2017
195
217
Iphone tunatumia lakini kuna mambo mengine ya apple tunajikaza tu, ni ya kiduwanzi ile mbaya, kimoja wapo ni hili jinamizi la iTunes, msema kweli mpenzi wa Mungu.

Nenda apple app store download VOX.

Hili li iTunes la Apple eti ukicheza playlist mwimbo wowote inaanzia ulipoishia mara ya mwisho, hata kama ni mwaka jana ulipokea simu katikati mziki fulani, iTunes ina keep memory, ridiculous. Haina setting ya kuiambia kila mwimbo ukiambiwa cheza anza mwanzo, nani anataka kumalizia kusiliza mziki from last month?

Tatizo lingine la itune/iphone ni kwamba japo App Store kuna ma player kibao mengi yao ukishaya install yanakuwa blank, hayawezi kusakanya iphone kutafuta miziki ipo wapi, sijui yanataka uingize nyimbo kwenye iphone upya? Utengeneze playlist upya? Hazina uwezo wa kutumia existing playlist iliyotengenezwa na iTunes, ya miziki ambayo tayari ipo kwenye iphone. Na hili tatizo ni hata ma player yenye majina makubwa kama VLC.

VOX inatosha. Inarekebisha mauza uza yote hayo. Kuna version ya premium, achana nayo, sijaijaribu na sijui inafanya nini cha mno na pia hatuna madola wala ma credit card ya kuwalipa Apple kwa ajili ya eti kucheza mziki kwenye simu wakati hata kula hatujala. Nasema uongo ndugu zangu?
 
Katika maisha angu sijawahi kufikiri kumiliki iPhone kabisa hata kwa bahati mbaya tu! N'way karibu Android platform ina mengi uko huru kufanya utakavyo..
 
Asante kwa Tangazo la Vox ila kinachokusumbua ni akili yako ndogo kutokujua kutumia iTunes na Player ya Music ya Apple ..iPhone is not for everybody!!!!!
muelekeze,hii mikogo ya kiduanzi ni dalili za ushamba.
 
Back
Top Bottom