pemba

Pemba Island (Arabic: الجزيرة الخضراء‎ al-Jazīra al-khadrā, literally "The Green Island") is a Tanzanian island forming part of the Zanzibar Archipelago, lying within the Swahili Coast in the Indian Ocean.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Pemba: Watu 9 wafariki dunia baada ya boti kuzama baharini. Zoezi la uokoaji kuendelea asubuhi

    Watu 9 wamefariki dunia na wengine 6 kuokolewa wakiwa hai baada ya boti kuzama baharini Kisiwani Pemba wakati watu hao wakitokea Chakechake kwenda kisiwa cha Panza kwenye shughuli za mazishi. Zoezi la uokozi limesitishwa usiku na litaendelea Januari 5, 2022 asubuhi. Shahidi katika tukio hilo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais tutembelee huku Pemba twavujiwa

    Je Rais Samia kama Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar amewahi kutembelea Pemba? Au wapemba si watu???
  3. JamiiForums Tanzania Hospitali 10 kujengwa Unguja, Pemba

    HOSPITALI 10 zitajengwa Unguja na Pemba ndani ya kipindi cha miezi sita, hatua itakayoboresha kwa kiwango kikubwa huduma za afya Zanzibar. Hayo yalisemwa na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Wazee, Nassor Ahmed Mazrui wakati akiwapa taarifa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusu...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia kakopa trillion 1 kujenga airport, Hospitali, VETA na Depo ya mafuta Zanzibar

    Hizi pesa zimekopwa na Tanganyika na Tanganyika ndio italipa Trillion 1 inaenda kujenga airport Pemba Ikumbukwe pia katika ule mkopo wa covid, amechukua billion 400 na Tanganyika ikabaki na billion 700 Vile vile ameshachukua mkopo Mwingine WB wenye dhamani ya trillion 1 kwaajili ya zanzibar...
  5. JamiiForums Tanzania Azam Marine boresheni vyoo vilivyoko kwenye boti zenu za Unguja kwenda Pemba

    Nimesafiri na Boti za Azam kutoka Dar kwenda Unguja mara nyingi, wamefanikiwa kuwa wasafi, ndani ya boat na hata kwenye vyoo vyao. Zile "boat" zinazofanya safari ya Unguja kwenda Pemba na Pemba kuja Unguja kwa kweli ni chafu. Ni chafu kuanzia kwenye viti hadi vyooni. Sielewi ni kwa nini...
  6. JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji Pemba ahukumiwa Miaka 30 kwa kumbaka mteja wake

    Mahakama ya Mkoa Chake Chake imemuhukumu Mshitakiwa Issa Abdalla Haji mwenye umri wa miaka 41 mkaazi wa shehia ya Wawi Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba kutumikia chuo cha mafunzo kwa muda wa miaka 30 pamoja na kulipa fidia ya shillingi millioni moja za Kitanzania baada ya kutiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Wananchi Pemba: Tupo tayari kurudi kulekule kwa kutoshirikiana, ikiwemo kila mtu awe na lake

    Malalamiko ya wananchi kuhusu uchaguzi mdogo wa Konde: "CCM hawana haya, hawaoni vibaya, wameyarudia yaleyale waliyozoea"; Wananchi wa Zanzibar huko Pemba wanasema wapo tayari kurudi kule kule kwa kutotoa ushirikiano kwa upande wa pili… ikiwemo kila mtu awe na lake.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi ampigia kampeni Shekha Fakhi Mpemba jimbo la Konde, Pemba

    PEMBA ZANZIBAR Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde. Alisema moja ya changamoto katika jimbo hilo ni uvuvi wa kisasa na wenye tija zaidi na mtatuzi wa changamoto zote ni kumchagua...
  9. JamiiForums Tanzania PEMBA: Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi

    PEMBA ZANZIBAR Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde. Alisema moja ya changamoto katika jimbo hilo ni uvuvi wa kisasa na wenye tija zaidi na mtatuzi wa changamoto zote ni kumchagua...
  10. JamiiForums Tanzania Pemba: Freeman Mbowe atembelea Kaburi la Maalim Seif, amuombea dua

    Freeman Mbowe ambaye yuko kwenye kampeni za operesheni haki Mikoa ya Pemba , Leo ametembelea mahali ulipohifadhiwa mwili wa Nguli wa siasa za Zanzibar , Jabali Maalim Seif. Mh Mbowe ambaye amepewa jina jipya la ABUBAKAR na sasa anaitwa ABUBAKAR MBOWE ametumia fursa hiyo kumuombea dua njema na...
  11. JamiiForums Tanzania Pemba: Freeman Mbowe akipata kahawa kijiweni na wenyeji wake

    Kiongozi wa watu huchangamana na watu mitaani, hivi ndivyo walivyofanya wapigania Uhuru Maarufu wa Enzi zile
  12. JamiiForums Tanzania Operesheni haki yaingia Pemba

    Kwa mujibu wa Taarifa za dunia, ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020, Pemba ndio eneo lililoongoza kwa mauaji ya raia, wakiwemo watoto na vikongwe. Wote waliounga mkono Maalim Seif na upinzani walishughulikiwa ipasavyo, zipo tetesi kwamba kulikuwa na majeshi ya kukodi kutoka nchi za kigeni ili...
  13. JamiiForums Tanzania Pemba: Mtoto anayewaka moto akiingia anyanyapawa kwa kuitwa “washawasha”

    Ukiona mtu mzima analia tambua kabisa kwamba kuna jambo. Faki Hamad Mbarouk mkaazi wa mtaa wa Msigiri uliopo Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba anakabiliwa na mtihani mkubwa ambao umemfanya uso upoteze furaha yake usiku na mchana kutokana na mwanae kukabiliwa na mkasa wa ajabu wa kuwaka...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Pemba waomba barabara inayoenda kwenye kaburi la maalim Seif iwekwe lami ili kuwapa wepesi maelfu ya watu wanaozuru kaburi kila siku

    Wananchi wa Pemba wameiomba SMZ iijenge kwa kiwango cha lami barabara iendayo kwenye kaburi la Maalim Seif kwani imeharibika sana hali inayopelekea magari kupakiwa umbali wa km 3 kutoka eneo la kaburi. Ombi hilo limetolewa mbele ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Othman Masoud aliyezuru...
  15. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Pemba sio Kigoma

    Jana tumeshuhudia maziko ya Mwanasiasa mkongwe yaliyofanyika huko Pemba Zanzibar kijijini Nyali Mtambwe na kuona jinsi wananchi wa huko walivyokuwa na simanzi nzito mithili ya kuwa wameondokewa na mfalme wao. Na wengi walionekana kama kuwa sasa ndio basi tena hakuna wa kuja kuwapigania. Maana...
  16. JamiiForums Tanzania TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

    Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif amefariki ktk Hospitali ya Muhimbili. Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametangaza siku 7 za maombolezo ya Kitaifa Pia soma > Wasifu/ CV ya Maalim Seif Sharif Hamad, Historia yake kwa Ufupi Kupitia ukurasa wa...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu utata wa kifo cha Abubakar Khamis Bakar mwakilishi mteule wa jimbo la Pandani Pemba kwa tiketi ya ACT Wazalendo

    Hivi vyama vingine bora vife tu. Havina maana kabisa kwenye siasa. Kwanza havijawahi kuifanyia chochote Tanzania
  18. JamiiForums Tanzania Ili Taifa Stars leo 'ishinde' yule 'Mtaalam' wangu wa Pemba ambaye 99.9% huwa Mkweli kasema 'Kikosi' kiwe hiki...

    1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Bakari Mwamnyeto 5. Erasto Nyoni 6. Jonas Mkude 7. Simon Msuva 8. Feisal Salum 9. Ditram Nchimbi 10. John Boko 11. Farid Musa Na John Boko aambiwe upesi kuwa atakuwa tu 'Ceremonial Captain' kwa Kuvaa 'Kitambaa' ila 'Maelekezo' yote ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mwili wa Khalid, Askari aliyeuawa Pemba Oktoba 28 wapatikana

    Mwili wa askari wa KVZ aliyejulikana kwa jina la Khalid umepatikana baada ya kuuawa siku ya uchaguzi ===== Pemba. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba limefanikiwa kuupata mwili wa aliyekuwa askari wa kikosi cha KVZ Khalfan Junedi aliyedaiwa kuuawa wiki tatu zilizopita eneo la Ngwachani Wilaya...
  20. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 toka maeneo mbalimbali

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka Zanzibar. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. ORODHA RASMI YA WAGOMBEA WANAOWANIA URAIS KWA MUJIBU WA ZEC ORODHA RASMI YA WAGOMBEA WANAOWANIA UBUNGE KWA MUJIBU WA ZEC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…