pekee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Changamkia fursa Biashara ya Gesi ya CNG inazidi kupamba moto Vituo vya kujaza Gesi ya CNG vinazidi kujengwa

    Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro. Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo External, Mbezi Beach, na Morogoro. Energo Tanzania Limited ilianza kujenga kituo Mikocheni. Victoria...
  2. JamiiForums Tanzania Biblia ndio Chuo Pekee Duniani unachoweza kujifunza Upendo, Amani, Furaha na Uvumilivu

    Katika dunia yenye vitabu vingi vya falsafa, dini, na elimu mbalimbali, hakuna kitabu kinachoweza kulingananishwa na Biblia. Biblia si kitabu cha kawaida; ni chuo cha kipekee ambacho humfundisha mwanadamu masomo ya msingi ya maisha ambayo vyuo vikuu vya kidunia haviwezi kufundisha. Humo ndimo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mawaziri Pekee Wamechangia na Kuimiminia CCM Kitita cha Millioni 365

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu, CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania,ndio chama chenye uchungu na Maisha ya watanzania,ndio daktari wa matatizo ya wananchi,ndio Bima kwa sote,ndio nuru na mwanga wa Taifa. Ndio sababu kila mtu anajitoa na...
  4. JamiiForums Tanzania Hii ndio ladha pekee iliyobaki nchini

    Kwa sasa, hii nchi yetu ya umoja ni nguvu haina ladha tena kwenye mambo mengine. kwa mimi binafsi sasa labda habari za soka pekee kwa hapa kisiwa cha AMANI Zilizobaki zote naona siwezi kufatilia namaanisha zote,iwe politics, uchumi, teknolojia nk. Mungu atufumbue wabantu bado tuna safari ndefu...
  5. JamiiForums Tanzania Urithi sio Majumba na pesa pekee ila hata ukipita sehemu kila mtu anasema Baba yako alikuwa mtu mzuri na mtu huo pia ni urithi.

    Urithi sio majumba na pesa pekee Ila hata ukiwa unapita pita sehemu kadhaa watu wanakuambia baba yako alikuwa MTU bora na mwema huo pia ni urithi. Maana unajisikiaje Baba yako anakufa watu wanashangilia na kusema alikuwa MTU Mbaya Sana kuwahi kutokea duniani.
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani chini ukimwacha Marehemu Maalim Seif Sharfifu Hamadi

    Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi. Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano. Kwa sasa Chadema imetekwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Mazungumzo ni njia pekee ya kutatua mgogoro wa kibiashara kati ya China na Marekani

    China na Marekani hivi karibuni zilifanya duru mpya ya mazungumzo ya kiuchumi na kibiashara huko Stockholm, nchini Sweden, ambapo pande hizo mbili zilibadilishana maoni kwa kina kuhusu masuala ya kiuchumi na kibiashara. Pande hizo zilifikia makubaliano kwamba, Marekani itaendelea kusimamisha...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Mwambegele: Kura ya Mapema kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 itapigwa Zanzibar pekee

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (#INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele anafafanua kuhusu Kura ya Mapema wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kusema: “Sheria ya Uchaguzi Zanzibar inaeleza kuwa kuna Watu wanaruhusiwa kupiga kura mapema siku moja kabla ya Uchaguzi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Salim Ahmad Salim ni mstaafu wa kupigiwa mfano, aliteuliwa kuwa balozi Misri akiwa na 22 yrs pekee

    Salaam! Kuna mtu mahiri sana Katika historia ya nchi yetu ambaye isingekuwa hila za familia moja yenye uchu wa madaraka kule Zanzibar, angekuwa Rais wa nchi Bora sana baada ya Mwl Nyerere. Imagine mwaka 1964 akiwa na miaka 22 pekee aliteuliwa kuwa balozi kuiwakilisha nchi kule Misri, Akapata...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mapacha walikuwa watatu, kumkata mmoja pekee SI sawa

    Salaam! Mapacha watatu,Vijana wababaifu waliotutambia Enzi zile kwamba hatuwawezi kwa lolote ni yule wa Mtama, Tanga na Singida. Sasa wajumbe wamekosea kumkata mmoja na kuwaacha wawili ndani, Ombi: Tunawaomba wajumbe wamalizie kazi ikibidi watuongeze na mmoja zaidi wa pale Geneva ya Africa...
  11. JamiiForums Tanzania Ndege pekee anayethubutu kumshambulia tai ni kunguru, lakini tai hapigani naye

    1.Kunguru ndiye ndege pekee mwenye ujasiri wa kukaa juu ya mgongo wa tai na kumdonoa shingoni. Bila huruma. Inakera. Lakini tai hubaki mtulivu 2.Tai hapigi mabawa. Hapigani. Hatumii nguvu ovyo. Hufanya jambo moja tu, hupaa juu. 3. Kadiri tai anavyopaa juu, hewa inazidi kuwa nyembamba. Kunguru...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Turufu pekee iliyobaki kwa Rais Samia

    Najua hamtaniamini. Najua mpo mtakaobisha vya kutosha na kutisha. Mtapaniki kuliko pikipiki ya kutumia kiki. Lakini, nawaambia jambo hili. Ni jambo geni na kubwa lakini muhimu na linalowezekana kwenye siasa za sasa. Siasa za sasa zinahitaji amshaamsha. Haifichiki tena kuwa mambo ndani ya CCM...
  13. JamiiForums Tanzania Hatusemi rais ndio anateka na kuuwa lakini wanao uwawa na kutekwa na kusekwa gerezani ni wapinzani wake pekee

    Hatusemi rais ndio anateka na kuuwa lakini wanao uwawa na kutekwa na kusekwa gerezani ni wapinzani wake pekee. Nyongeza watu walio fanyiwa uhalifu ambao ni viongozi wa dini, watu walio fungiwa makanisa na kuvunjiwa makanisa ni wapinzani wa rais samia pekee. Kwahiyo lazima tujiulize kwanini ni...
  14. JamiiForums Tanzania Binadamu pekee aliye nyoosha mkono juu kwa miaka zaidi ya 52 bila kuushusha

    Amar Bharati ni raia wa India aliyeweza kuunyosha mkono wake juu bila kushusha toka mwaka 1973 kwa kuashiria kumtukuza mungu Shiva. Ameweka nadhiri hii kwa lengo la kusafisha na kutakasa nafsi yake na kuonyesha Imani thabiti kwa Shiva. Kwa miaka Mingi mkono wake umekuwa juu na kutengeneza...
  15. JamiiForums Tanzania Suluhisho Pekee ni Mchakato wa Kumpata Mgombea Urais-CCM kurudiwa !! Hii itawalinda Wazalendo wote walioamua Kukemea kilichotokea January 2025!

    Hilo naliandika kama Onyo Kuu!!. Tupo katika Nchi ambayo Kwa Sasa Visasi vimeshika Kasi kwelikweli !!. Tumeona hapa, wapo walikua wanashauri, ila wakaonekana ni waaasi, wapo walokosoa wameonekana ni WAHAINI na Kila Mmoja ameshughulikiwa Kwa namna yake. Unaweza kujaribu kuwazaz Nini itakua...
  16. JamiiForums Tanzania Watibeli tunaapa kwa Mungu pekee na haki; hatunaga kiapo kingine. Ukifuata Haki tutakulinda na kukutetea.

    Habari za Ijumaa! Moja ya vitu vinavyotutofautisha Watibeli na watu wengine ni pamoja na hili. Sisi hatunaga cha mzazi. Hatunaga cha Mke/mume Hakunaga cha Mtoto Hatunaga cha Sijui Boss, sijui Mkurugenzi. Hatunaga cha sijui Rais, sijui Rais, sijui Waziri. Hatunaga cha Sijui kamanda wa jeshi...
  17. JamiiForums Tanzania Ni CCM pekee itakayoweza kuwavusha vijana wa rika la Gen Z salama

    Watazame vijana waliolelewa na CCM na namna wanavyoenenda kisiasa utaona tofauti kubwa sana hii ikimaanisha program ya ulezi ya CCM imefanikiwa mno. Nawatafuta vijana waliolelewa kidini pia nitakuja kuweka mifano
  18. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Angelina Mabula na Juma Aweso ndiyo mawaziri pekee waliokaa wizara moja kwa zaidi ya miaka nane

    Wakuu nimeona Mbunge Angelina Mabula anasema ukitoa yeye na Waziri Juma Aweso hakuna waziri mwingine ambaye amekaa wizara moja kwa muda wa miaka minane mfulululizo, Je ni kweli?
  19. JamiiForums Tanzania "Mimi sitegemei binadamu namtegemea Mungu pekee"

    Mimi namtegemea Mungu pekee, sitegemei binadamu...alisema Ninajiuliza huyo Mungu atashuka kukufanyia wewe jambo fulani? Sio kwamba anapotaka kufanya anafanya kupitia hao watu? Ulipoumwa si mtu daktari alikutibu? Huo mshahara si mimi mtu muhasibu nilikulipa? Sasa iweje useme hutegemei watu...
  20. JamiiForums Tanzania Joseph Philippe Lemercier: Abiria pekee mwenye asili ya Afrika aliyekuwa ndani ya meli ya Titanic

    Historia ya Joseph Philippe Lemercier Laroche (1886–1912) Joseph Philippe Lemercier Laroche alikuwa mhandisi kutoka Haiti, anayejulikana sana kwa kuwa mtu pekee mwenye asili ya Kiafrika aliyesafiri kwenye meli ya kifahari RMS Titanic ambayo ilizama Aprili 1912. 🧑‍🎓 Maisha ya Awali Joseph...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…