pekee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ushindi pekee wanaousubiri CCM, ni endapo maandamano hayatafanyika, lakini nalo wanajidanganya.

    Hiki kiini macho cha wanachoita uchaguzi tayri washajipitisha, kitu watakachopigia kelele ni endapo maandamano hayatafanyika, watafurahi sana na ndio itakua topic. Ila wafahamu kitu kimoja, yakifanyika au yakifanyika kwa udogo, in any way ambayo kwao wanaona ni ushindi, "the seed has been...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Jambo pekee la kulizuia Jeshi kuchukua Nchi halipo kipindi hiki

    Duniani pote kizingiti pekee cha Jeshi kuchukua nchi ni kutokuwepo na support ya Wananchi pamoja na kutokuwepo kwa support kutoka nje ya nchi. Mwaka 1964 Jeshi lilipoasi na kumpindua Nyerere , Mapinduzi yale yalifeli kwa sababu tu Nyerere aliomba msaada wa Majeshi ya Uingereza yaliyopo Kenya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mzee Warioba una jukumu kubwa la kusuluhisha hili Taifa, wewe pekee ndo mzee unakubalika na umma

    Baada ya Kauli ya mzee Butiku, ambaye naamini atakuwa ametumwa na watu wa mfumo ili kumkana afande Tesha, mimi nimuombe tu mzee Warioba kuwa yeye peke yake kwa sasa ndiye akiongea kitu umma utamsikiliza, namshauri asichukue upande, asimame kama msuluhishi na ajiepushe kuuza mtaji huu muhimu...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Habari njema ni kuwa JWTZ ndio Taasisi pekee ilobakia yenye Kibali Cha Wananchi Nchi nzima na inayoungwa Mkono na Ulaya, Marekan na Nchi Wahisani.

    Lolote lile litakalifanyoka na Vijana wa JWTZ wanaokerwa na Utekaji, Uuaji, Ufungwaji wa Makanisa, Majaribio ya Kuua Viongozi wa Dini ya Ukristo, kubagaWa Kwa Rasimali za Nchi n.k ,lolote lile liyakalifanywa na Wazalendo Hawa. NCHI NZIMA ITAWAWAFANYIA SHEREHE, JUMUIYA ZA KIMATAIFA...
  5. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kulinda Amani ya Watekaji na Wauaji, tutalinda Amani ya Nchi pekee

    Tunataka kuona kaka zetu wanaifurahia hii nchi, tunataka kuona dada zetu wanaifurahia hii nchi. Tunataka kuona wazazi wetu wanaifurahia hii nchi, tunataka kuona babu zetu wanaifurahia hii nchi. Tunataka kuona watoto, wajukuu na vitukuu vyetu wakiifurahia hii nchi. Hatuwezi tukawa tunaishi...
  6. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu (mimi) kuongea pekee yangu ni ugonjwa au? Kuna mwingine humu ana sumbuliwa na self talk?

    Mfano umekosa zako unaongea pekee ako.Kuna kipindi unajisahau na kuanza kuongea kwa sauti .Watu wanakushangaa! Unajizuia sana lakini wapi.Ukitembea unaongea pekee yako automatically. Inasumbua sana na kuniaibisha.Nimejaribu deep breath technique lakini wapi haisaidii. Sasa je hii ni kawaida...
  7. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mzee pekee mwenye uhalali wa kushauri na kuliokoa Taifa la Tanzania ni Mstaafu Joseph Sinde Warioba

    Mwenye uhalali wa kulikosoa na kulisahihisha Taifa kwa sasa ni Mzee Joseph Sinde Warioba kwa maana hafungamani na mtu yeyote, chama chochote na koleo anaita koleo na kijiko anakiita kijiko, Mungu akupe maisha marefu Mzee Warioba.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Fahamu aina nzuri ya website au blog kulingana na mahitaji yako pekee

    Habari wakuu, Katika ulimwengu wa kidijitali, kila siku tunashuhudia watu wengi wakifungua website au blog kwa madhumuni tofauti. Hata hivyo, si kila aina ya website au blog inaleta matokeo mazuri. Ili kufanikisha malengo yako mtandaoni, ni muhimu kujua aina bora ya website au blog kulingana na...
  9. Bi zandile

    JamiiForums Tanzania Kugusana gusana kwa wanandoa sio kwa tendo la ndoa pekee

    Baadhi ya wanandoa hutomasana pale tu wanapotaka kufanya tendo la ndoa. Huo sio upendo bali ni shughuli. Upendo wa kweli huambatana na kushikana shikana mikono bila sababu na hukumbatiana kwa sababu tu. Mguse mpenzi wako - bila sababu. Mdada, mkalie kwenye mapaja huyo mubaba wako mkiwa...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kituu pekee cha kukikomboa kutoka palestina na pawe huru ni hamas, muslim brotherhood, IRGC na uislamu wa itikadi ya msimamo mkali.

    Wala gaza sio wahanga wa uyahudi. Wala gaza sio wahanga wa u-magharibi. Bali gaza ni wahanga wa kufanyika midoli ya jihadi uchwala. Masikini kwa bahati mbaya hawatakaa hawaelewe kwa maana tangu utotoni wamefundishwa kumchukia mbwa wa jirani wakati wa nyumbani kwake ndio anakula kuku wake.
  11. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Hivi wakuu huu ukata ni mimi nausikilizia pekee yangu au hata nyie mnameza mate yenu wenyewe?

    Yani hata sina cha kuandika wakuu. Najuta kuzaliwa kuja kusaidiana na mateso. ☹️ Aiseee
  12. M

    JamiiForums Tanzania Umri unavyoenda marafiki hupungua sana, Wanaobaki ni ndugu na familia, ushuhuda ni wajomba zangu waliokuwa hawapatani ila ukubwani wamekuwa karibu

    Miaka ya utotoni na ujanani imejaa options kibao za marafiki lakini ukubwani marafiki wanazidi kupungua au kupotea kabisa. option ambayo huwa inabaki kwa wengi ni ndugu na familia zao. wajomba zangu walikuwa na kabeef flani ka muda mrefu sana tangu wakiwa wadogo hadi ujanani lakini ukubwani...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

    Kitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi: “Tangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini skendo za ufisadi tunawatupia wanasiasa pekee ila WATUMISHI na watendaji wa serikali tumewakalia kimya

    Nchi hii ina raisi mmoja na wabunge wasiozidi 400 ila tujiulize ina matajiri wakubwa wangapi?Ni wazi ina watu wenye mabilioni zaidi ya watu hata 20000 je NI kweli kwamba hao wote wamepata mahela hayo kwa sababu ya kuwa karibu na wanasiasa?rushwa nyingi zinafanyika level ya huku chini Kwenye...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa taarifa tu mkude ndie mchezaji pekee ataagwa na timu mbili tofauti kwa heshima..Simba day na wananchi day

    KILA.LA KHERI MWAMBA ULIITENDEA HAKI TATHNIA YA MPIRA ALL DBEST NIONGEZE SAUTI AMAA.???
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Changamkia fursa Biashara ya Gesi ya CNG inazidi kupamba moto Vituo vya kujaza Gesi ya CNG vinazidi kujengwa

    Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro. Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo External, Mbezi Beach, na Morogoro. Energo Tanzania Limited ilianza kujenga kituo Mikocheni. Victoria...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Biblia ndio Chuo Pekee Duniani unachoweza kujifunza Upendo, Amani, Furaha na Uvumilivu

    Katika dunia yenye vitabu vingi vya falsafa, dini, na elimu mbalimbali, hakuna kitabu kinachoweza kulingananishwa na Biblia. Biblia si kitabu cha kawaida; ni chuo cha kipekee ambacho humfundisha mwanadamu masomo ya msingi ya maisha ambayo vyuo vikuu vya kidunia haviwezi kufundisha. Humo ndimo...
  18. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mawaziri Pekee Wamechangia na Kuimiminia CCM Kitita cha Millioni 365

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu, CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania,ndio chama chenye uchungu na Maisha ya watanzania,ndio daktari wa matatizo ya wananchi,ndio Bima kwa sote,ndio nuru na mwanga wa Taifa. Ndio sababu kila mtu anajitoa na...
  19. new user2025

    JamiiForums Tanzania Hii ndio ladha pekee iliyobaki nchini

    Kwa sasa, hii nchi yetu ya umoja ni nguvu haina ladha tena kwenye mambo mengine. kwa mimi binafsi sasa labda habari za soka pekee kwa hapa kisiwa cha AMANI Zilizobaki zote naona siwezi kufatilia namaanisha zote,iwe politics, uchumi, teknolojia nk. Mungu atufumbue wabantu bado tuna safari ndefu...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Urithi sio Majumba na pesa pekee ila hata ukipita sehemu kila mtu anasema Baba yako alikuwa mtu mzuri na mtu huo pia ni urithi.

    Urithi sio majumba na pesa pekee Ila hata ukiwa unapita pita sehemu kadhaa watu wanakuambia baba yako alikuwa MTU bora na mwema huo pia ni urithi. Maana unajisikiaje Baba yako anakufa watu wanashangilia na kusema alikuwa MTU Mbaya Sana kuwahi kutokea duniani.
Back
Top Bottom