pekee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kwamba CCM na serikali yake inaamini kwamba wananchi sahihi kwao ni wanaCCM pekee, wengine sio wananchi?

    Nadhani CCM na viongozi wake kwanza watoke kwenye imani hiyo, inatakiwa iamini kwamba ni sawa na mzazi anaye zaa watoto wengine ni warefu na wengine wembaba na wanene wapo ila wote ni watoto wa mama mmoja sasa ukiona hupendi watoto wanene ukawabagua kwa kiasi hicho na ukawanyima haki zao.
  2. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Jenny ,, Paka pekee aliyekuwa akiishi ndani ya meli ya Titanic

    Yapata miaka 113 toka meli hii ya Titanic ilipozama katika bahari ya Atlantic ikiwa katika safari yake ya kwanza ikitokea Southampton kuelekea New york baada ya kugonda iceberg na kuzama huku ikisababisha vifo vinavgokadiliwa kuwa zaida ya 1500 . Mengi yameongelewa juu ya meli hii na ajari yake...
  3. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Dhehebu ya kupeleka Sadaka ni Romani Catolik pekee yake, mengine ni Chawa Pro.

    Huwa nashangaa wanao wapelekea wakina Mwaposa Sadaka na Manabii wengine type yake kama yule tapeli wa Arusha Geo David. Hawa ili waendeleze injili za kitapeli lazima pia wawe chawa. Au wanao peleka Sadaka KKKT, SDA, EAGT, TAG, Angalican, Pentecost, AIC, na wengineo wengi sana. Hawa ni chawa pro...
  4. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania "Huwa anaamka usiku wa manane anapigiwa sim yenye namba 70 pekee na kuongea kwa kunong'ona akiwa matiti wazi akijifunga kikoi chekundu"

    "Ana tabia ya kuamka na kukaa kwenye Giza totoro Kwenye kitanda kingine,hufungua madirisha usiku was kiza kinene Hadi pale sim inapopigwa kwa namba 70,ndio huamka na kuipokea huku akisimama na kwenda katikati ya mlango wa nyumba kutokea nje akiwa ameufungua mlango huanza kuongea Kwa kunong'ona...
  5. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania SHEBWA MASONRY CONTRACTION suluhisho pekee kwa Ujenzi makini

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi...
  6. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu pekee anayekutakia mema na uumzidi mafanikio ni baba na mama yako mzazi tu

    Ndugu na marafiki ni wanafiki tu siku ukifanikiwa ndio utaelewa au ukiwa umewazidi kimafanikio utaona jinsi walivyo kihalisi. Watajifanya kukupongeza kinafiki tu ila pembeni wanaumia sana. Baba ni mpambanaji mwenzetu kila siku atakupa mawazo ya kukujenga. Na huwa anafurahi sana kuona watoto...
  7. covid 19

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio njia tano pekee za kuwa tajiri hapa duniani tajiri yoyote atapitia au amepitia njia moja wapo kati ya hizi.

    Kuna njia 5 tu zinazojulikana ambazo watu wengi duniani (na hapa Tanzania) wamezitumia kufikia utajiri. Hebu tuziangalie moja baada ya nyingine kwa macho ya ukweli: 1. Kurithi Mali Kama ulizaliwa kwenye familia yenye pesa aubkwenu kuna ukwasi wa kutosha basi maisha yako yanaanzia juu. Urithi...
  8. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Kwa nini walimu ni watu wa kulalamika sana utafikiri wao ndio wenye ukata pekee yao au kuzidi wengine

    Ooh sijui mishahara, sijui maisha magumu, sijui nini, Ebu njoeeni mtaani muone, si bora nyie mmesoma Kaeni chini mfanye kazi kama mna hasira sana tengenezeeni chama chenu mchukue nchi
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya pekee haitoweza kuleta mabidiliko yanayohitajika kwenye taifa kama mamlaka hazitoacha pia na uchawa

    ili nchi iweze kupata mabadiliko makubwa yanoyohitajika, kupata katiba mpya pekee kama suluhisho la mambo yote kwenye nchi haitoshi kama kitu cha kuleta usawa, haki na uwajibikaji bali lazima pia na mamlaka ziache uchawa ili kuruhusu sheria iweze kufanya kazi ipasavyo. Uchawa kwenye mamlaka...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Inamaana mtihani uliovuja ni wa Tax management officer ii pekee?

    Watu wanalalamika kuwa paper imevuja,but ukiuliza ipi iliyovuja wanakuambia ni TMO ii pekee,vipi hizo zingine nazo zilizofanyika mbona hatusikii zikilalamikiwa?, Matokeo ya hiyo paper inayolalqmikiwa kuvuja yatawashangaza wengi.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hili ndio jukumu pekee walilojipa generation samia

    HILI NDIO JUKUMU PEKEE WALILOJIPA GENERATION SAMIA Mkurugenzi na Mratibu Taifa wa Taasisi ya Generation Samia, Omari Kimweri Kibanga, amesema kuwa jukumu kuu la taasisi hiyo ni kuyaunganisha makundi mbalimbali na fursa zinazotengenezwa na uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt...
  12. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Anayepaswa kulinda amani ya nchi hii ni CHADEMA pekee?

    Naona hivi karibuni, Kila kiongozi wa serikali au wa kidini anayesimama anasema vyama vya siasa vinapaswa kuilinda amani ya nchi. Lakini katika maelezo ya Kila mmoja kwa kina, utagundua anazungumia agenda za CHADEMA ikiwemo Ile ya "no reforms, no election". Yaani kwa tafsiri nyepesi...
  13. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Sijui ni tabia Ya Kiafrika Sijui ni Tanzania pekee?

    Afrika yetu sijui ni Tanzania yetu.. Watu wanaweza. Wakupe mchango wa Harusi Birthday party Rambi Rambi Lakini hawezi akakupatia Mtaji. Na hata ukianzisha biashara Anaweza Asije kukusapoti. Ndio kwanza anaweza aanze kukusema vibaya na asubirie anguko lako.... Sijui sisi Tukoje🤣
  14. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua mkopo uliokopwa katika awamu ya sita pekee ungetosha kufanya haya

    Kwa mujibu wa report ya CAG deni la taifa Kwa miaka minne pekee ya uwepo wa Rais Samia madarakani ni zaidi ya Trilioni 30. Kwa mujibu wa maelezo ya wasemaji mbalimbali wa serikali pesa hizo zimetumika kujenga shule, hospitali, barabara na miradi mbalimbali ya maendeleo. Mpaka sasa Tanzania ina...
  15. stabilityman

    JamiiForums Tanzania BATI PEKEE AMBALO HALIPAUKI KWA TZ HILI HAPA NA BEI YAKE KWA SASA 24 MARCH

    Bei ya sokoni saiz 24 march ni 37500 Gauge 30 kumbuka hili ndio bati pekee ambao halipauki kwa sasa Tz miaka mingi tupo buguruni 0743 257 669 Ukitaka fundi kupaua pia yupo
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Vipindi vya urais kwa mujibu wa katiba ni miaka 10, Ingelikuwa busara, uchaguzi ukawa ni wa wabunge na madiwani pekee!

    1)-Ipo haja ya kurekebisha katiba yetu Kwa baadhi ya kanuni, kwa mfano muda wa urais ni miaka 10, bila kuzidisha hata siku 5,basi kwa kuwa ni miaka 10, Ingelikuwa busara, Rais aweye madarakani, baada ya kupitishwa na mikutano ya halmashauri kuu na Kamati kuu, basi bunge la jamhuri ya muungano wa...
  17. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Ninachojua Binadamu ndo kiumbe pekee ambaye hana Akili

    Huwa nashangaa Sana MTU akisema Binadamu Ana akili Sana kuliko wanyama wa kawaida hii hapana Human being is toxic creature. Binadamu alibidi kuishi kwa Upendo na kuyatawala mazingira na sio Kama ilivyo sasa. Hajitambui
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena ushindi wa zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025

    Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona. 2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%. Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025. Watapata zaidi ya 97% kwa njia...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Waarabu wapigane na Israel kivitendo sio kutoa ahadi ya kujenga pekee pale palipovunjwa.

    Hapo majuzi nchi tano za kiarabu ziliahidi kusimamia mpango wa kuijenga Gaza kwa gharama ya dola bilioni 53.Ni jambo zuri sana lakini ni maamuzi ya kizembe sana. Wakati ahadi hiyo ikitolewa ilishapita wiiki 2 Israel ikiwa imezuia mahitaji yote kuingia Gaza tena katka mwezi mtukufu wa...
  20. Damaso

    JamiiForums Tanzania Watu maskini wana marafiki wa kweli, huku matajiri wakiwa na marafiki wa uongo wanaopenda pesa na umaarufu pekee

    Katika jamii zetu za kisasa, mifumo ya maisha inatofautiana sana kulingana na hadhi ya kifedha. Wakati wa kale, urafiki ulijengwa kwa misingi ya ukweli, uaminifu na upendo wa dhati, lakini leo tunaona mabadiliko makubwa katika jinsi watu wanavyohusiana na kutengeneza uhusiano wao. Kwa wengi...
Back
Top Bottom