pekee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. britanicca

    JamiiForums Tanzania Jambo pekee nitakalojifunza Vita ya UKRAINE na URUSI linaendana na funzo la viongozi wa TANZANIA kwa wananchi pia kwa majirani zako we msoma uzi

    Vita ya UKRAINE na URUSI imetawala katika vyombo kadhaa vya habari!! Nina Funzo kubwa kwamba USIJIWEKE WAZI KWA KILA JAMBO, KWANINI? Urusi kutokuwa wazi sana na taarifa zake sahihi kutojulikana Kwa Magharibi Kumesababisha asiingiliwe mipango yake mapema , kwasasa hakuna hasa anayejua Kama...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ni mbunge Mpina pekee anayetumia ubunge wake ipasavyo, wabunge mliobaki naomba tujikumbushe majukumu ya Bunge la Tanzania

    Bunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake. Majukumu ya Bunge yametamkwa katika Ibara ya 63 (2) ya Katiba ya Nchi, kwa maneno yafuatayo: “Sehemu ya pili ya Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha...
  3. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rusumo: Mpaka pekee unaoweza kupitisha magendo yoyote hasa usiku

    Mpaka wa Tanzania na Rwanda upande wetu Tanzania ndio mpaka pekee unaoweza kupitisha magendo ya aina yoyote iwe kutokea Rwanda ama Congo DR. Ndio mpaka unaolindwa kizembe kuliko huenda kuliko mipaka yote ya Tanzania! Suma JKT eti ndio walinzi wakuu wa Exit gate letu pale Rusumo huku nyakati...
  4. B

    JamiiForums Tanzania CCM ilianguka kiuongozi 2013 haitasimama Tena; Dola pekee ndiyo itasimamia waendelee kuwepo madarakani

    Chama Cha mapinduzi kilipasuka miakaa tisa iliyopita; ufisadi, undugu na umimi ndio uliopelekea kikose dira kwenye jamii. Leo kinachofanyika siyo kukijenga chama wala kuijenga Nchi bali chama kimejikita kujitoa magamba Kisha yanaota mapya. Leo mataifa mengi yanapambana kusimamia uchumi lakini...
  5. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuhodhi vuguvugu la kudai Katiba kana kwamba mahitaji ni yao pekee yanadhoofisha upatikanaji wa Katiba Mpya

    Ukweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu. Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa ajili ya watanzania wote. Kwanini hatusikii juhudi zao kuwapigia debe, waalimu, wakulima na wavuvi...
  6. itel Mobile Tanzania

    JamiiForums Tanzania Itel kuongeza idadi ya watumiaji wa smartphone Tanzania

    Hivi karibuni serikali kupitia wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ilitoa takwimu za watumiaji wa simu janja/smarthpone na kusema ni 27% tu ya Watanzania wanaotumia smartphone. Pengine mtu anaweza kujiuliza kwanini kiwango hiki ni kidogo sana ukilinganisha na idadi ya watu waliopo...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC ndiyo Klabu pekee nchini yenye Meneja Mawasiliano na Habari huku zingine zikiwa na Maafisa Habari na Wapayukaji tu

    Kama umekasirika na Unabisha haraka sana hapo ulipo nitafutie Klabu nyingine ukiiondoa ya Simba SC yenye Cheo cha Meneja Mawasiliano na Habari. Kuna Klabu moja ( ya Ligi Kuu ) siikumbuki Jina ila ninachokumbuka na kujua tu ni kwamba ina Maafisa Habari na Wapayukaji tena Wawili ambapo wakiwa...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Dkt. Jabir Bakari: Asilimia 27 pekee ya Watanzania ndio wanamiliki Simu janja (Smartphone)

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabir Bakari amesema hadi takwimu za mwezi January mwaka huu ni Asilimia 27 pekee ya Watanzania ndio wanamiliki Simu janja (Smartphone) na kusema malengo ya Serikali ni kuhakikisha Watumiaji wa Smartphone wanafikia 100%, Dr. Jabir...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Lugha pekee ambayo binadamu anaielewa ni ubabe na kipigo tu

    Huwa tunajidanganya sana kuwa binadamu ni kiumbe aliyestaarabika. Kwamba ni kiumbe anayesikiliza reasons. Kujidanganya kabisa. Kwenye saikolojia kuna kanuni inasema, "Mind gets what it want." Kuwa akili inapata inachotaka. Mfano. Kwenye mechi ya Simba na Yanga. Mshabiki wa Yanga atasema ni...
  10. luangalila

    JamiiForums Tanzania UDART umefika muda sasa mtenge mabasi kwa ajili ya wanafunzi pekee

    Nimekuwa nikiona hawa wanafunzi wanapo pandaga haya mabasi kuna kuwa na kabuguza fulani hasa hasa vile kituo cha kivukoni, Nyerere square, Kisutu, Fire na Magomeni Mapipa wanafunzi huwa na fujo za kusukumana punde wapandapo mabasi haya kiukweli huwa ni kero kubwaa sanaa, sasa Juzi pale...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Said Mwema ni IGP pekee aliyejikita ku-transform jeshi kutoka Ulimwengu wa Tatu kulipeleka Ulimwengu wa Kwanza, (community policing is global agenda)

    Mzee Said Mwema live long, you did what IGP suppose to do. Ulifanya Kwa uelewe na maarifa makubwa. Ulifanya jamii kuwa sehemu ya ulinzi wa nchi, ulitenganisha kazi ya Polisi na kazi ya siasa. Ulitambua wapi Kuna siasa na uingieje katikati ya wanasiasa nakuwadhibiti wasikulazimishe kutenda...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni Mshabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo atashingilia Ushindi wa Penati ya Kupewa na ya Kuonewa Prisons FC

    Naipenda sana Simba SC yangu na natamani tushinde ila siyo kwa Kubebwa ( Mbeleko ) kama hii ya Leo. Wana Simba SC mtakaonichukia kwa hili nichukieni na mkiweza nitukaneni mnavyoweza ila kwa 100% Ushindi wa leo tumebebwa na Mwamuzi. Tunapokuwa Kila Siku tunawasema Yanga SC na GSM kuwa Wanahonga...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndiyo inchi pekee bidhaa zake hupanda bei ghafla lakini kushushwa bei huwa ni kipengele

    Wale tuliozaliwa miaka ya 70 tulikuwa tunaambiwa tukiwa wadogo kwamba " Akili ya Profesa (PhD) inauwezo wa kuona jambo na kulichakata kwa miaka 45 ijayo" Nimekua na hiyo Imani hadi miaka ya elfu 2000 ndipo nilipokuja kugundua kwamba kwa Tanzania hiyo kitu haipo! Nilianza kupata wasiwasi huo...
  14. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Naogopa sana Ndugai akizungumza ukweli

    Ni kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe! Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma. Ndugai anayo mengi ayafahamuyo yenye kingi kishindo yakiwa bayana! Kigezo cha kummaliza Ndugai eti kwa msamiati wa '2025'...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Taifa haliwezi kwenda na fedha za tozo pekee

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kumekuwepo watu wanaohoji kwanini Nchi imekopa japokuwa kuna fedha za tozo, akifafanua kuwa Taifa haliwezi kwenda na fedha za tozo pekee Ameeleza hayo akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Uanaharakati ndiyo njia pekee ya kuipata katiba ya wananchi

    Hakuna asiyejua kuwa wakati kuna mchakato wa (akina Zitto na wenzao) kuandaa misingi ya tume huru ya uchaguzi, wahudumu wa tume hiyo wameendelea kuteuliwa bila hata ya mashauriano. Ni wazi kuwa kwenye jambo hili nyeti kuna wenye maslahi yao binafsi ndani ya mchakato unaoendelea. Wananchi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania CCM Msijitoe ufahamu mtu pekee aliyekuwa nawabeba ni Magufuli! Sasa hayupo jiandaeni kisaikolojia!

    Nasema hivo kutokana na ukweli kuwa chama cha mapinduzi 2015 wananchi walikuwa wameshakikataa kwa kuchoshwa na rushwa iliyokithiri ya utawala wa kipindi hicho!Ujio wa Magufuli ambaye tayari alikuwa ameshajipambanua kwa wananchi kwa uchapakazi wake kuliwafanya baadhi ya watanzania kurudisha moto...
  18. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Popote Duniani muda wa porojo za siasa ni kipindi cha kampeni pekee

    "...hata huko kwenye Nchi vinara wa demokrasia huwa wanafanya mikutano ya hadhara na kupiga porojo za siasa kipindi cha kampeni za uchaguzi pekee na baada ya hapo aliyeshinda huachiwa aendeshe Nchi." "...sasa huu utamaduni wa eti kila wakati wanasiasa wafanye siasa hata huko Duniani haupo na...
  19. stakehigh

    JamiiForums Tanzania CAG Assad alisema ni mtu mjinga pekee ndo anaweza kufanya manunuzi cash: Anajifunza nini Entebbe Airport?

    Uganda to surrender Entebbe International Airport over Chinese cash - ------------- Top Ugandan officials have been boxed into a corner of bother after lenders in China rejected their request to re-negotiate ‘toxic clauses’ in the $200m (Shs713b) loan picked six years ago to expand Entebbe...
  20. May Day

    JamiiForums Tanzania Njia pekee na ya msingi ya kudhibiti plastiki ni kuhimiza au kuunga mkono viwanda vya kurejeleza taka za plastiki

    Ni dhahiri ya kuwa kwa sasa Dunia inashuhudia vilio kila kona juu ya kero na balaa linalosababishwa na taka za plastiki. Na kama ilivyo kwingine Nchi yetu nayo haijanusurika na janga hili, kila Mtu mzima anashuhudia hatua mbaya tuliyofikia ikisababishwa na taka hizi za plastiki. Ni vyema sasa...
Back
Top Bottom