pazia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chuki dhidi ya Wayahudi na Wakurdi kuna nini nyuma ya pazia?

    Najaribu kuangalia kwa mrejeo wa kumbukumbu za historia ya Dunia, hii chuki dhidi ya Wayahudi na Wakurdi imekuwepo toka enzi na enzi lakini haijawahi kuwa na mafanikio chanya au kuna tofauti ndogo kati ya wivu na chuki au chuki na wivu. Nazungumzia wivu wa kitamaduni/ wivu wa kisiasa/ wivu wa...
  2. Waziri wa Kilimo nini kipo nyuma ya pazia? Mbezi ya Kimara maharage kilo 2000, unga 2000, mchele 2900

    Kichwa cha habari kipo wazi tunataka kujua vitu vinapanda bei chanzo ni Nini aise? Mwendo kasi nao umepanda ingawa sio wizara yako, jaman!
  3. Kwa matokeo haya ya wajumbe wa NEC, kipo kitu nyuma ya Pazia, Mwenyekiti shtuka

    Uchaguzi umekwisha , na wajumbe wa NEC wamechaguliwa. Itoshe kusema kanda ya ziwa ndio walio shinda kwa kurudi na wagombea wao wote. Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara 👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa...
  4. N

    SoC02 Story: Nyuma ya pazia

    MWANDISHI: INVYOLATA SHIRIMA(Neema) Kulikuwa na kijiji kimoja kilichojulikana kama same. Na ndani ya hicho kijiji kulikuwa na Mzee mmoja aliyejulikana kwa jina lake MzeeOtonglo. Kabla Mzee huyu alikuwa akiishi katika kijiji cha kijichi ambapo huku ndipo alipokulia. Na baadae aliweza...
  5. Ratiba ya Ligi Kuu England 2022/23: Arsenal kutufungulia pazia dhidi ya Crystal Palace. Ratiba yote ipo hapa

    Pazia la Ligi Kuu England msimu wa 2022/23 litafunguliwa Agosti 5, 2022 ambapo Crystal Palace itavaana na Arsenal kabla ya Manchester City kuanza kutetea taji hilo Agosti 7 dhidi ya West Ham Chelsea itaanza mbio zake za kuwania Ubingwa dhidi ya Everton mnamo Agosti 6 na Kocha Erik ten Hag wa...
  6. Nani anatawala dunia nyuma ya pazia?

    Tangu nilipoingia kwenye siasa, kimsingi nimeaminishwa maoni ya wanaume kwa faragha. Baadhi ya wanaume wakubwa nchini Marekani, katika uwanja wa biashara na utengenezaji, wanaogopa kitu. Wanajua kwamba kuna nguvu mahali fulani iliyopangwa, hila sana, macho sana, iliyoingiliana, kamili sana...
  7. Tunapaswa Kuondoa Pazia la Imani za Kijamii na Kidini Zinazofunika Tatizo la Ndoa za Lazima

    Inasikitisha kuwa katika karne hii ya 21 bado kuna jamii duniani ambazo zinahalalisha na kuwalazimisha wanawake wanaobakwa kuolewa na wabakaji wao, au kuwalazimisha mabinti kuolewa na watu wasiowapenda. Shirika la Kazi Duniani (ILO) linakadiria kuwa watu milioni 40.3 ni watumwa duniani kote...
  8. Kuna siri nyuma ya pazia kwa Mo Dewji, baada ya kui-unfollow Simba, sasa ai-follow tena

    Siku chache zimepita tangu Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo' alipoamua kuwa-unfollow wachezaji wote wa timu hiyo ambao alikuwa amewa-follow kwenye ukurasa wake wa Instagram. Jana, pia Mo ambaye ni Rais wa Heshima wa Simba aka-unfollow page ya klabu hiyo akibakisha ya Simba Queens...
  9. Jeshi la Polisi Dodoma linamwogopa Dogo Manda? Kuna nini nyuma ya Pazia?

    Miaka kama 20 iliyopita katika kijiji cha Chigongwe nje kidogo ya manispaa ya Dodoma, yalitokea mauaji ya mlinzi aliyekuwa akilinda yard ya kampuni ya Konoike kipindi kampuni hiyo inatengeneza barabara ya Dodoma - Singida - Mwanza. Inasemekana mlinzi huyo alipigwa mshale na watu waliodhaniwa...
  10. Nyuma ya Pazia la kila Biashara kuna mambo mengi ya kujifunza

    Habari za wakati huu; Nikiwa na umri mchanga kwa sera za kitanzania nilikuwa na kiu kubwa sana ya kumiliki biashara na kuwa mfanya biashara mkubwa.Kipindi hicho internet ilikuwa adimu sana na kompyuta nazo zilikuwa adimu sana.Zilikuwa ni zama Pentium 1 na 2 na internet cafes ambazo zilikuwa...
  11. S

    Huu si ushahidi kuwa CCM ni chama dola? Je, kuna mangapi yanafanyika juma ya pazia zaidi ya hili?

    By John Pambalu kupitia twitter(kamnukuu kwenye clip iliyoko katika akaunti yake ya twiitter). "Mimi nilikua Mkuu wa kikosi Cha Jeshi ,wakati hairuhusiwu afisa wa jeshi kushiriki kwenye mambo ya kisiasa lakini Mimi nilishiriki, biliwapa Lita 200 za Mafuta CCM Mwaka 2007" Kanari Ngemera Lubinga.
  12. Rais Samia amewataka viongozi wa dini kutoa elimu kwa waumini juu ya umuhimu wa kupata chanjo ya uviko19

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kutoa elimu kwa waumini juu ya umuhimu wa kupata chanjo ya uviko – 19 pamoja na kushiriki katika sensa inayotarajiwa kuanza mwaka 2022. “Niwaombe viongozi wa dini kujumuisha masuala ya sensa kwenye mahubiri yenu, kawaida serikali ikitoa...
  13. Siri za siasa na mbinu zilizo nyuma ya pazia

    Habari zenu wakuu, mada kama mlivyo ona hapo juu, lakini kikubwa ninacho zungumzia siri ya siasa na mikakati iliyo nyuma ya pazia kwa kinvuli cha siasa, kitu hiki ni kipana lakini kwa mwenye busara na hekima anaweza fungua code katika siasa za Tanzania, ijapokuwa kuna kitu watanzania wamekikosa...
  14. Afghanistan: Wanafunzi Wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia madarasani

    Wanafunzi nchini Afghanistan wamerudi vyuoni na kupata mabadiliko chini ya utawala wa Taliban. Wanafunzi wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia au mbao madarasani. Aidha wanawake wanapaswa kuondoka dakika tano kabla ya wale wa kiume ilikuzuia wasitangamane. =========================...
  15. Simulizi ya kusisimua nyuma ya pazia inayohusisha muuaji wa Salenda

    Habari wadau..! Katika hiki kisa cha muuaji wa salenda kuna kisa kingine kilichojificha kuna jamaa anaadithia . Moja kati ya watu waliofariki kwenye lile shambulizi yupo jamaa mmoja ambaye ni mlinzi ninavyosikia kwa story za mtaani. Jamaa alitoka kufiwa mwaka huu misiba miwili mmoja wa baba...
  16. INAUZWA Pazia piece 2 nzito kwa Tsh. 35,000 tu

    Upana mita 1.5 kila moja. Deliveries zipo kwa Dar na mikoani natuma pia. Ukihitaji nipigie au nicheki WhatsApp 0685269533.
  17. INAUZWA Tunauzwa vitu mbalimbali (Pazia, Chuma za Pazia, Net, Kava za Makochi, Mashuka nk)

    Je Umechoka muonekano wa sofa zako na ungependa kuzipa muonekano wa tofauti na wakisasa zaidi? SALE SALE SALE Sofa la mmoja ni 30000 Sofa la wawili ni 44,000 Sofa la watatu ni 54,000 ●Tuma kochi zako WhatsApp 0713691101 upate ushauri na sample za cover zilizopo 1: Hazipauki wala kuchuja...
  18. NYUMA YA PAZIA: Nawakumbusha tu Enzi Zidane ana miaka 26

    YALE maisha ya mtaani kwako uswahilini. Unaamka asubuhi unaenda kwa mama muuza chapati au maandazi. Kando yake ana mtoto wa kiume anayehangaika kufanya kazi hii na ile kumsaidia mama yake. Baadaye anaaga kwenda kucheza soka na wenzake. Anaruhusiwa. Ghafla anaitwa tena na mama yake kwa ajili ya...
  19. Rais wangu Samia, ukifungua milango usiondoe pazia!

    Rais wangu, nimekusudia kuendelea kukuandikia kwa nguvu zangu zote. Ninafanya hivi kwa utambuzi kuwa haya ndio mapenzi yangu kwako, ndio wajibu wangu wa msingi kama Mwana-CCM na Mwananchi mwema wa Tanzania. Wakati wa JPM nilifanya kazi hii kwa kiwango kizuri, licha ya masimango niliyoyapitia...
  20. Mchungaji Jackson Senyonga asherekea kifo cha TB Joshua, adai alikuwa Nabii wa uongo

    Tangu nizaliwe na kujitambua nilikuta kuna madhehebu makuu matatu au manne ya kikristu. 1:waroma. 2:Waprotestanti Hiyo ni miaka ya 70 lkn kufikia miaka ya 90 hadi 2000 kumezaliwa makanisa chungu tele hapa Tanzania. Ukifuatilia kwa ukaribu utagundua kila anaye anzisha kanisa lake lazima kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…