Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.
Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.
He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, ametangaza mpango wa kumuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kiasi cha hadi Shilingi bilioni mbili kwa ajili ya mikopo ya vifaa vya kisasa kwa ajili ya vijana waliojiajiri kupitia vyombo vya habari vya mtandaoni na...
Kumekuwepo Na Chapisho Linalo Sambaa Kwenye Mitandao Ya Kijamii Hasa Facebook Likiwa Na Ujumbe Kwa Vyombo Vya Habari.Je Lina Ukweli Kiasi Gani?
Hii Ni Nukuu Ya Ujumbe huo ""Baada yakuteuliwa kuwa waziri wa habari, Makonda kaja na Sheria mpya. Mtu yoyote ili aweze kutoa taarifa ya serikali ni...
The President of the United Republic of Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan, has made several appointments and dismissals of government leaders. According to a statement released by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka, the changes are as follows
(i) Hon Patrobas Paschal Katambi MP...
Simbachawene kafanya nini tena? Mbona imekuwa mapema sana kutenguliwa kwake!
Tutamkoma Makonda master misifa au tuseme kuhamasisha AFCON kwa Tanzania imemfanya apate nafasi?
==================
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na utenguzi wa...
Kuelekea mechi kati ya Timu ya ya Taifa ya wanaume (Taifa Stars), Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema amepigiwa simu na Watanzania mbalimbali ambao wameahidi kutoa Tsh. 100 kwa kila goli watakalofunga dhidi ya Uganda Desemba 27 na ile ya Tunisia Desemba 30...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ndiye ataongoza msafara wa Tanzania katika Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Morocco kuanzia Desemba 21, mwaka huu hadi Januari 18, mwakani.
Hilo limethibitishwa leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...
Moja ya Changamoto itakayo jitokeza ni ya Nani atatawala nafasi ya Unaibu waziri wa Habari, utamaduni, Sanaa na Michezo.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma (mwana fa) akizungumza baada ya kuwasili katika ofisi za Wizara hiyo Mtumba jijini Dodoma, lNovemba 18...
Tokea Wiki hii ianze mlikuwa mnatamba tu huko Dodoma huku mkijiaminisha kuwa mmoja wenu atakuwa PM ajaye wa Tanzania hatimaye wote Wawili Mama kawala Vichwa na ha hamjaamini kabisa.
Na kuna mmoja wenu hapo kila Siku alikuwa anaoga Maji ya Mganga wake wa Kienyeji kutoka Mkuranga ambaye...
Huyu ambaye alimlaghai GSM kuwa Rais Magufuli anataka kujengewa nyumba,
Aliyetaka kupitisha biashara yake bandarini kwa kisingizio cha kusaidia meza na viti waalimu wa Dar
Huyu bwana ukimweka kwenye kundi la walafi wa madaraka na matumizi mabaya ya madaraka ni namba moja kwa Tanzania hivi sasa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na kupewa kibali na Mungu. Kwa hakika Mwamba Mwenyewe Wa kaskazini Paul Makonda anapendwa , kukubalika na kuaminika sana. Huyu Mwamba ni balaa kwelikweli,upepo wake siyo wa Kawaida. Akipita sehemu utafikiri Mfalme kapita au Nabii...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Arusha. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Arusha una una jumla ya majimbo ya uchaguzi (7) ambayo ni
Arusha Mjini
Longido
Karatu
Ngorongoro...
Mgombea ubunge wa jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Paul Christian Makonda amepongeza mapinduzi makubwa yaliyofanywa na mgombea urais kupitia chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ujenzi wa miundombinu na uendeshaji wa treni na reli ya mwendokasi (SGR).
Aidha...
Wakuu,
Propaganda za kishamba sana. Nchi ya Tanzania SIO THREAT kwa nchi nyingine yoyote duniani, so the idea kwamba kuna mtu anafadhili maandamano just for the sake ya amani iharibike its a total fallacy
Sisi sio Urusi kwamba kukiwa na machafuko nchini, itamnufaisha Marekani. We are not a...
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda ametoa elimu ya namna ya kupiga kura kwa baadhi ya wananchi wa visiwani Zanzibar.
Makonda ambaye amewasili visiwani humo mapema leo Ijumaa, Oktoba 24, 2025 kwa ajili ya kumuombea kura mgombea urais wa Jamhuri ya...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Christian Makondaameendelea na kampeni zake za kumuombea kura Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia ambapo leo Oktoba 23, amefika katika Soko la Ferri lililopo Kigamboni, Dar es Salaam.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ametoa wito kwa wavuvi wa samaki katika kata ya Kivukoni, jijini Dar es Salaam, kuendelea kulinda amani ya nchi na kutokubali kushawishiwa kuvuruga hali hiyo ya utulivu iliyopo Nchini.
Akizungumza na wavuvi...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema mafanikio makubwa yanayoonekana katika sekta ya bandari nchini ni matokeo ya uongozi makini, wa kisasa na wa kisayansi chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye amefanya maamuzi ya kimkakati...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Christian Makonda, ameendelea na ziara zake za kampeni ndani ya jimbo hilo, ambapo leo Oktoba 18, 2025, amekutana na wafanyakazi wa saluni wanaojihusisha na kazi ya ususi na urembo.
Katika mkutano wake na...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameendelea na kampeni ndani ya jimbo hilo ambapo alikutana na Umoja wa Mafundi wa Suye Garage, ambapo aliwahimiza kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025
Akizungumza...
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema wananchi wana wajibu na haki ya kushiriki uchaguzi utakaofanyika Oktoba 29, 2025 akibainisha kuwa sauti yao inasikika zaidi kupitia kura wanazopiga kuwachagua viongozi wanaowataka.
Akizungumza na wazee katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.