Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.
Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.
He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amewasihi wananchi kujitokeza kupiga kura ili kuwachagua viongozi wanaotaka katika uchaguzi mkuu. Makonda ametoa rai hiyo leo Jumamosi Septemba 20, 2026 alipokuwa akizungumza baada ya kushiriki ibada ya maombi...
Leo Safina, tumeshuhudia nguvu ya Mungu ikidhihirika kupitia mtumishi wake Paul Makonda Kwa jina la Yesu Kristo, pepo wameondoka na watu wengi wamepata uhuru wa kweli. Kama maandiko yanavyosema, ‘nanyi mtajua kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru’ (Yohana 8:32). Hakika Mungu yupo pamoja nasi.”
Wakuu
Muendelezo wa hekaheka na vibweka hadi uchaguzi utakapopita tutakuwa tumeshuhudia mengi
===
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameeleza nia yake ya kuwania nafasi hiyo ya ubunge ni kuwatumikia wananchi wa jiji hilo.
Makonda ameeleza...
Hivi hawa viongozi wanatuonaje kwa mfano. Na hao wananchi wako tu hapo wanasikiliza na kupigia ujinga makofi. Ni kwamba kero zote Arusha zimetatuliwa au?
================
Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema katika kusherehesha shamrashamra za...
Naona jamaa ameshajihakikishia nafasi mapema, hadi ameanza kupiga mikwara watu mapema
=================
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema yuko tayari kupambana na mafisadi wote wanaowaonea wananchi wanyonge.
“Kama kuna watu walizoea...
Mgombea ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amefanyiwa dua ya kumwombea kushinda uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025.
Dua hiyo ambayo pia imeombea amani katika uchaguzi imefanyika leo Jumanne Septemba 9, 2025 katika ofisi za Baraza Kuu la Waislamuwa Tanzania...
Shamra shamra za kampeni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinaendelea kushika kasi!
Leo magari yenye chata la mtia nia kupitia Jimbo la Arusha Mjini, Paul Christian Makonda yameonekana yakizunguka mitaa mbalimbali ya jiji la Arusha yakitoa hamasa na ishara ya uzinduzi mkubwa wa kampeni.
Soma...
Wananchi mbalimbali na wanachama wa chama cha mapinduzi wamejitokeza kwa ajili ya kumsindikiza mgombea ubunge kupitia chama hicho kwa ajili ya kwenda kuchukua fomu kwa ajili ya Ubunge.
Hata hivyo sherehe hizo zimepambwa na vyakula ikiwemo nyama na ng'ombe 200 wamechinjwa kwa ajili ya kusherekea.
Zoezi la uchukuaji wa Fomu wa nafasi ya Ubunge jimbo la Arusha Mjini kwa Mgombea wa Nafasi hiyo Mhe. Paul Makonda litaambatana na burudani kutoka katika vikundi mbali mbali vya Muziki lakini pia Ng'ombe zaidi ya 100 kwa ajili ya nyama choma kama anavyobainisha Katibu Mwenezi wa CCm Wilaya ya...
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ameteuliwa na Chama chake CCM kuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Arusha Mjini kupeperusha bendera ya chama hichi kuelekea uchaguzi mkuu 2025
Soma Pia: Paul Makonda achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Arusha Mjini
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Themi jijini Arusha kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Petro Lobora, amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na kukabidhiwa kadi ya uanachama sambamba na kuchukua fomu ya kuwania udiwani katika kata hiyo aliyoiwakilisha awali kupitia CCM.
Tukio hilo...
Paul Makonda ameshinda kwa kupata kura zaidi ya elfu 9 ambayo ni sawa na 97% na kuwaacha mbali wenzake kwenye kura za maoni ya ccm kwenye jimbo la Arusha mjini.
Wasiompenda msukuma mwana kolomije Paul Makonda sasa watakuwa nae sana hapo mjni
===============
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
Ndgu wapendwa
Ninaombi kwenu la kazi ya udereva katika kampuni,mtu binafsi, taasisi.
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka (05) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja uzoefu wa kusafiri masafa malefu katika mikoa mingi...
ahmed ally
ali kamwe
amos makala
anthonmy mavunde
diamond platinumz
dotto biteko
eng. hersi said
gsm
josephat msukuma
juma aweso
mirlad ayo
mo dewji
paulmakonda
proffesional driver
zito kabwe
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ambaye hivi karibuni aliteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kugombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini ameendelea na mchakato wa kujitambulisha kwa wajumbe wa Chama kwa kutembelea Kata mbalimbali ndani ya Jimbo hilo.
Akiwa katika kata ya Olasiti...
Watiania ya ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini wameendelea kujinadi mbele ya wajumbe wa CCM, akiwemo aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.
Akizungumza leo, Julai 31, 2025, mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kata uliofanyika katika Kata ya Sokoni 1, Makonda amesema anaamini...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Mtia nia nafasi ya Ubunge Jimbo la Arusha Mji aliwahi kusema, "Kama Mungu aishivyo, mimi ukiniweka kwenye Kaburi nitafufuka tu!"
Catherine Magige jana alienda kwenye uchaguzi wao pale ukumbi wa AICC Arusha akiwa anajiamini kuwa atapata kuchaguliwa na wanawake wenzake wa ccm tena viti maalum kwa kipindi cha miaka mitano tena na kukamilisha ngwe ya miaka 20...
Mbunge mzigo huyu ambaye kwa miaka 15 alikuwa bungeni tu kama...
Mtachagua wenyewe sasa!!
Muwe na Waziri Mkuu ambaye hatoweza kuhudhuria Mikutano ya Umoja wa Mataifa katika Ardhi ya US.
Mtu ambaye hata Ulaya hakanyagi !!.
Nimezaliwa na kukuwa Arusha.
Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.
Naona Makonda kama mvamizi tu.
Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.
Arusha kwake ni kama ngazi ya...
Makonda angalau ana ushawishi 60-70% anaweza akamsaidia katika mambo fulani fulani.
Kama Makonda naye akiamua kukaa pembeni, aisee shughuli itakuwa pevu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.