Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.
Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.
He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda, akihutubia mkutano wa kampeni leo, Oktoba 12, 2025, katika Wilaya ya Bukombe, Mkoa wa Geita, amewaomba maafisa usafirishaji kumwombea kura Samia kwa kila abiria watakayembeba.
"Boda boda wote ambao mmeshuhudia mapenzi ya Dkt...
Mgombea ubunge wa jimbo la Arusha mjini kuptia chama Cha Mapinduzi CCM Paul Makonda amemhakikishia Mgombea urais kupitia cha hicho kuwa Oktoba 29 hakuna maandano na atapewa kura zakutosha.
Makonda amesema " Wananchi wa vijiweni wameniomba kwamba sasa hivi achaneni na habari ya kutokupiga kura...
Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amewataka wanaohamasisha uchaguzi
uahairishwe kwaajili ya kupisha marekebisho ya katiba wajitokeze kufanya mdahalo nae.
Makonda amesema " Kama kuna watu wanajiamini kwamba wanazo hoja za nguvu juu ya mambo ya katiba tufanye mdahalo...
Mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini Paul Makonda yupo mkoani Shinyanga kusaka kura za mgombea mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan je, unadhani jimbo la Arusha Mjini halina kero?
Mdau ameandika....
"Arusha kero zenu tumeni kwenye mitandao mgombea ubunge akizipata ata like huko huko"
Wakuu,
Sasa wameona iwe ni mwendo wa kuzunguka kwenye Vijiwe kutoa elimu ya umuhimu wa kulinda amani ya nchi,, kumbe inawaumiza kichwa tuendelee kukaza waku hadi kieleweke wamezoea sana hawa CCM
Tusirudi nyuma mpaka haki ipatikane kwenye nchi hii
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Arusha Mjini Poul Makonda ametuma salamu Kwa vyama vya upinzani ambavyo vimegomea uchaguzi ambapo amesema wametia mpira kwapani lakini wao Chama Cha Mapinduzi(CCM)wanaendelea na michakato ya uchaguzi Mkuu 2025
Makonda ameyasema hayo Musoma Mjini Mkoani Mara kwenye...
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema endapo atashinda uchaguzi na kuingia bungeni, ataweka nguvu kubwa katika kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza Ilani ya CCM ya mwaka 2025–2030.
Makonda amesema anatarajia kutumia nafasi hiyo...
Paul Makonda akihutubia mkutano wa kampeni tarehe 08 Oktoba, 2025, Mkoa wa Mwanza amesema, "Nimekuja kuwauliza, Kosa la Dkt Samia ni lipi mpaka usinyanyuke kwenda kupiga kura siku ya tarehe 29?!"
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Arusha Mjini Poul Makonda amesema kuwa kikundi kilichokuwa kinamtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wa awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Maguli wakati anapambania uhai wake ndio hao hao wanaomtukana Mgombea wa Urais Kwa Tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kiukweli ukweli usemwe tu . Paul Makonda ni Bingwa wa kuteka hadhira na hisia za watu, ni Bingwa wa kutengeneza mijadala na kubakia midomoni Mwa watu, ni bingwa wa kutengeneza habari na akabakia akizungumzwa yeye tu ,ni bingwa na fundi hodari wa Kukonga nyoyo za watu...
Wadharau sana Watanzania uwezavyo!.
Nakumbuka ulikua unalia mpaka unatoa Makamasi !!.
Wadharau TEC uwezavyo , Mapdre wananusurika Kuuwawa, wanafatiliwa kuuwawa, wanafanyiwa Dharau na kejeli za Kila aina !!.
Paul Makonda Sasa unafurahia Maisha, Bwana Bashiteee , Kijana wa mtandao ,Kijana wa wa...
Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) hakitakubali katiba ivunjwe kwa kutofanya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Ameongeza kwa kuwataka wananchi kudumisha amani kwakuwa hakuna Tanzania nyingine na kwamba wote wanaohamasisha uvunjifu wa...
Kwani ile Mikutano ya CCM huwa haitoshi Mgombea wao kujieleza Kuomba Kura kwa Wananchi, au ndo wanajishtukia kuwa sera zao hazina mvuto na ni za uongo
Arusha ndo hata hawaelewi Mgommbea wao yupo Mwanza anazurura badala ya kubaki kwa wananchi wake kunadi sera zake
Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amefafanua namna ahadi yake ya kumleta Arnold Schwarzenegger jijini Arusha itakavyotimia na Arusha kunufaika.
Soma: Makonda: Nikishinda Ubunge ntamleta Schwarzenegger mwaka mpya Arusha
Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni za mgombea urais kwa...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amesema mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani kwa mapenzi ya Mungu na mapenzi ya Mungu yatatimia tena kwani Dk Samia atashinda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025
Makonda...
Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini, Paul Christian Makonda, ameeleza jinsi atakavyokuwa mbunge wa watu kutoka ndani na nje ya nchi, akisisitiza kuwa atawakilisha jimbo ambalo ni makao makuu ya Afrika Mashariki na lenye shughuli nyingi za utalii
Kauli hiyo imetolewa Septemba 30, 2025, Jijini...
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda amesema kuwa ni aibu kubwa kwa jiji kubwa kama Arusha kutokuwa na stendi ya kisasa. Amesisitiza kuwa jambo hilo linapaswa kushughulikiwa haraka ili kuboresha usafiri na hadhi ya jiji.
“Arusha ni lango la utalii wa Tanzania, haiwezekani...
"Rais Samia tumepewa na Mungu hakuwa na timu ya kampeni, hajawahi kuwa na mtandao wala hajawahi kukanyaga watu akijiandaa kutafuta cheo. Tumuombee afya njema Mungu aendelee kumlinda na kumpa moyo wa ustahimilivu".- Paul Makonda
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda, amekiri kuwahi kulishwa sumu hali iliyomsababishia kulazwa hospitalini na kutoonekana hadharani.
Makonda amefichua siri hiyo leo Jumapili, Septemba 21, 2025, wakati wa ibada katika Kanisa la Mbingu Duniani lililopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.