patrobas katambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. polokwane

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo CCM mnazuia mikutano ili mfanye siasa kwa uhuru kupitia ziara mtakazoziita za Kiserikali?

    Hilo limesha julikana mnaona spana za upinzani ni kali na misumari ya moto kabisa, hivyo mmeona mjifanye mnazuia siasa vyama vyote, halafu nyie muendelee na siasa kwa kwa mgongo wa ziara za kikazi sio! Kujifanya waziri mkuu yupo ziara, mara sijui raisi yupo ziara,makamu wa rais yupo ziara ili...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Agizo la Patrobas Katambi ni batili Kikatiba na kisheria. IGP Wambura, ROCs na OCDs zingatieni hili: "za kuambiwa, changanyeni na zenu"

    https://www.youtube.com/watch?v=JInRM3GwaLk Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Tanzania awamu ya tano aliwahi kuwaonya viongozi na wanasiasa wenzake pamoja na watumishi wa umma kwa ujumla kuwa, "...siku zote kila unalosikia au kuambiwa katika maisha usilibebe tu hivyo hivyo kama zuzu na kulifanyia...
  3. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Tamko la Waziri wa Ndani Patrobas Katambi la kuzuia vyama vya siasa kufanya siasa huenda likaleta athari kubwa ndani ya nchi

    Inawezekana mazingira ya kisiasa yakawa na athari kwa hali ya usalama kwa namna fulani, nchini tanzania. Mazingira kama haya huenda yakachochea maandamano yanayoratibiwa mitandaoni na watu wasiofahamika. Pia soma > Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote Tamko hilo...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania Tanzanian Government suspends all Political rallies due to 'Security concerns'

    In a firm parliamentary address today, the Minister of Home Affairs, Patrobas Katambi, announced a blanket suspension of all public political rallies across Tanzania, directing law enforcement to halt the issuance of gathering permits immediately. Addressing the Speaker and the Parliament...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche amjibu Waziri Katambi, "Eti sina kazi ya kufanya, nina uchu wa madaraka"

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche ameshangazwa na madai ya kuambiwa ana uchu wa madaraka Heche amesema hayo Alhamisi Juni 25, 2026 wakati akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mpanda Mjini kwenye Viwanja vya Kashaulili. ‘’Huyo anayesema nina uchu wa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kampala: Dar ni Kiwanda kikubwa sana cha kuzalisha Mashoga, nini kauli ya Serikali?

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Serikali itaendelea kusimamia utekelezaji wa Sheria dhidi ya vitendo vyote vinavyokiuka maadili, mila na desturi za Kitanzania, ikiwemo biashara ya ukahaba na makosa mengine yanayohusiana na maadili ya Jamii. Akijibu swali la Mbunge...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Katambi: Djumbe namfamu, ni tishio kiasi gani kwa nchi au Uongozi mpaka ufikie hatua ya kufanya vile

    Kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, alipokuwa akizungumza katika mahojiano kwenye kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na kituo cha televisheni cha ITV, Juni 8, 2026, kuhusu masuala ya Watu kupotea na kurejea kisha kutuhumu vyombo vya usalama na Ulinzi. Waziri Katambi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Katambi: Mtanzania yeyote mwenye ushahidi wa askari wa Jeshi la Polisi aliyefanya Jinai, anifikishie taarifa kwa siri

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, alipokuwa akizungumza katika mahojiano kwenye kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na kituo cha televisheni cha ITV, Juni 8, 2026, ametoa wito kwa Mtanzania yeyote mwenye ushahidi juu ya Askari wa Jeshi la Polisi alifanya jinai au makosa kinyume...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Katambi: Serikali haiteki, haipotezi mtu. Serikali ina wajibu wa kusimamia haki

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, alipokuwa akizungumza katika mahojiano kwenye kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na kituo cha televisheni cha ITV, Juni 8, 2026 amesema Serikali haihusiki na utekaji wala watu kupotea bali inawabika kusimamia haki za msingi za wananchi kwa...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katambi: Magenge ya uhalifu linapopanga mambo yao linayafanya kwa njia ya kificho

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema jukumu la kulinda usalama wa nchi ni la kila mwananchi, akisisitiza kuwa makundi ya uhalifu hupanga na kutekeleza shughuli zao kwa siri, hivyo ushirikiano wa wananchi na vyombo vya usalama ni muhimu katika kudhibiti vitendo vya uhalifu...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Katambi: Wizara kupitia Jeshi la Polisi imepokea Tsh. Bilioni 247.48 kwa ajili ya ununuzi wa magari 412 na pikipiki 29 za kuongozea misafara

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema "Wizara kupitia Jeshi la Polisi imepokea Tsh. Bilioni 247.48 kwa ajili ya ununuzi wa magari 412 na pikipiki 29 za kuongozea misafara" akiwa bungeni Mei 25, 2026, wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Katambi: Madai ya kuibiwa Nyeti ni uzushi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema uchunguzi uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama umebaini kuwa taharuki iliyozuka nchini ya watu kuibiwa sehemu zao za siri ni uzushi wenye nia ya kuvunja amani ya nchi. Aidha, ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwachukulia...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Katambi: Hatulei watoto katika misingi ya maadili wanakosa uzalendo

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Paschal Katambi akiwatunuku zawadi Wakaguzi na Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Idara ya Uhamiaji waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi leo Machi 16, 2026 amesema kuwa ni wajibu kwa Jamii ya watanzania na Afrika na Dunia nzima kusimamia...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Patrobas Katambi: Gerezani siyo sehemu ya adhabu tu, ni sehemu ya uzalishaji

    Serikali imeweka wazi kuwa Magereza mbalimbali nchini sio Sehemu ya Mateso huku ukiwepo ushahidi wa Maendeleo kwa Wafungwa kuhitimu Masomo ya ngazi mbalimbali na Mafunzo wakiwa ndani ya kifungo ikiwemo Wafungwa 209 waliohitimu Masomo ya Ujasiriamali katika Chuo cha Uhasibu Arusha na wafungwa 201...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katambi: Tumedhibiti wimbi la wahamiaji haramu, Uhamiaji imedhibiti na kufunga njia za vipenyo 1,777

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema katika kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu wanaoingia nchini. Idara ya Uhamiaji imedhibiti na kufunga jumla ya Vipenyo Elfu Moja Mia Saba Sabini na Saba vilivyopo maeneo mbalimbali nchini, vilivyokua vinatumika kuingia nchini kwa njia...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi: Uhalifu wa nchi nyingi zilizoharibikiwa Duniani umeanzia kwenye Mitandao ya Kijamii

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema matumizi ya Akili Unde(Ai),ni jambo lisiloepukika kuliweka katika vyanzo na vichochezi vya uhalifu huku akiweka nia ya Serikali Kudhibiti uhalifu unaotokana na matumizi na maendeleo ya teknolojia. Ametoa rai hiyo wakati wa Kikao cha...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Katambi: Nchi iko salama kwa sababu ya kazi nzuri ya Polisi, pasipokuwa na ulinzi hakuna usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania iko salama, akieleza kuwa uimara wa Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama umeiweka nchi salama tangu ilipopata uhuru. Katambi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake ya kwanza kutembelea Makao...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Katambi: Leteni majina wanaoandika uchochezi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema serikali itaendelea kuwakamata na kuwachukulia hatua wote wanaotengeneza akaunti kwenye mitandao ya kijamii kisha kuzitumia kutukana na kudhalilisha watu na hasa viongozi. Aidha, amesema kuna utumiaji wa Akili Unde kutengeneza video...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Kwamba Patrobas Katambi ni wa kupewa wizara nyeti kama hii kwa usalama wa taifa?

    Kweli Rais Samia hana washauri.. Katambi hana uwezo wa kuongoza wizara kama hii ambayo Igp na watumishi wa wizara hii wanatakiwa kulipoti kwake. Mbaya zaidi mpaka sasa nchi hii haijatulia kisiasa. Wizara kama hii ambayo ni nyeti kwa usalama wa taifa ilipaswa kuwa chini ya mwanasiasa anayejua...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania (KUMBUKIZI): Katambi kwa mujibu wa sheria ukiwekwa kizuizini na polisi unapaswa kupewa dhamana isiyo na masharti magumu

    Naibu waziri wa viwanda na uwekezaji (Kwa sasa) na waziri mteule wa mambo ya ndani nchi Patrobas Katambi aliwahi kusema kwa mujibu wa sheria ukiwekwa kizuizini na polisi unapaswa kupewa dhamana isiyo na masharti ,lakini Agosti 24, 2017 alizibeza mamlaka ambazo leo anazisimamia, je ataweza...
Back
Top Bottom