masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,746
- 14,821
Abarikiwe mzungu aliyegundua mitandao.
Ukweli sasa huwezi uficha uvunguni.
Twaona salamu za rambirambi zikimiminika kwenda kwa msiba huu kwa mtu ambaye miradi yake humu nchini wala hatuifahamu.
Wicknell Chivayo si mplipa kodi Tanzania au Kenya.
Kazi yake sasa iko wazi.