pascal mayalla

  1. JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla Ulichukia moja kwa moja. Rudi nyumbani yale yameisha

    Najaribu kuvaa viatu vya Pascal Mayalla nakutana na mambo mengi. Viatu ni vya ngozi imekauka sana halafu nimevaa viatu bila soksi.vinaumiza sana. Pascal kuna kipindi alikuwa neutral katika siasa za tanzania. Alikuwa hajajiambatanisha na chama chochote. Lakini kadri uchaguzi ulivyokaribia ndivyo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume's opinion on president's power to confer the municipality status of the city was given per incuriam

    SHANGAZI FATMA KARUME'S OPINION ON PRESIDENT'S POWER TO CONFER THE MUNICIPALITY STATUS OF THE CITY WAS GIVEN PER INCURIAM. PART 1: GENERAL OVERVIEW. President, John Pombe Magufuli in early hours of 24th February, 2021 during the inauguration of the Ubungo Interchange expressed his intention to...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

    Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi. Taarifa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla alimtabiria Paul Makonda kuwa mgombea urais wa CCM 2025. Je, unabii wake utatimia?

    Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa. Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM 2025. Kwa sababu mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2020 atakuwa kijana, Je...
  5. JamiiForums Tanzania The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe? Kwenye bandiko hili, natumia kanuni ya...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

    Wana JF, Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili kuwapa ile JF advantage ya wewe kama Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio inakwenda kushinda...
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu ya 2020: Pascal Mayalla kura 1 Kawe, January na Nape Bungeni bila uchaguzi!

    Wanasaikolojia husema binadamu tunaona vitu kwa namna tunavyopenda kuona lakini siyo katika uhalisia wake. Kiukweli kitendo cha mwanabodi Pascal Mayalla kupata kura moja kule Kawe pamoja na mikakati yote aliyotumia kuwashawishi wajumbe hakitasahaulika. Lakini kubwa zaidi ni hawa wabunge...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa viongozi/wanasiasa wa juu

    Siasa zenye tija na manufaa kwa nchi yetu. Vyama vyote vya siasa vyenye nia njema na watu wa Nchi hii ni muda muafaka kutembelea maeneo ya vijijini na vitongojini ili kujionea hali ya maendeleo, bado changamoto ni kubwa sana tena kwenye yale mambo ya msingi kabisa hasa Maji, Umeme, Afya, Elimu...
  9. JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla niwie radhi ila nikuulize swali, unajua kuwa Ben Saanane tulikuwa naye humu tukijadiliana?

    Kwenye uzi huu Uchaguzi 2020 - RC wa Mwanza, John Mongela avunja Mwiko wa Kampeni Kwa Kuongea Ukweli Bayana!, "Tukimpa Mitano Tena, JPM Kuigeuza Tanzania Nchi ya Maziwa na Asali" jana nilikuwa member wa kwanza kuchangia na kwakweli nilikerwa na uzi wa ndugu yetu Pasco. Nilikerwa kwakuwa ni...
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanasheria Mkuu wa Kwanza Mzalendo na Jaji Mstaafu Mark Bomani afariki dunia

    Habari zilizotufikia ni kwamba Mwanasheria Mkuu wa Tanzania, Jaji Mark Bomani amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Septemba 11, 2020, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Mtoto wake amethibitisha kifo hiki. Shughuli za msiba zipo nyumbani kwa Marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam. Jaji...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi kutengua uteuzi wa Wagombea Udiwani utasababisha uchaguzi wa Madiwani wengi kubatilishwa na Mahakama

    UAMUZI WA MWISHO WA KUTENGUA UTEUZI WA MADIWANI ULIOFANYWA WA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI UTASABABISHA UCHAGUZI WA MADIWANI KUTENGULIWA NA MAHAKAMA. Karibu maamuzi yote ya Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi (Assistant Returning Officers) kutengua uteuzi wa wagombea udiwani wa vyama vya siasa...
  12. JamiiForums Tanzania WanaJamiiForums tumeonyesha Ubinafsi wetu kwa Pascal Mayalla, tumeshindwa kumpigania kwa kumpamba

    Ukweli wanaJamiiForums kwa gwiji wetu Pascal Mayalla tumeonyesha chuki ya wazi ikiwemo mimi, namuomba radhi. Ingawa Pascal ni CCM ila alikuwa hana ule u CCM kama makada wengine. Pasco ni mhanga wa mambo mengi yaliyotokea kwenye utawala huu ikiwemo kusitishiwa tenda zake muhimu zilizokuwa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1! Japo nimeshindwa kwa kupata kura moja, lakini sababu za mimi kugombea ni very valid na very genuine...
  14. JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla kugombea kupitia CCM, nisingemlaumu hata mimi ningefanya hivyo

    Pascal Mayalla anaweza gombea kupitia CCM? i bet so. Ndo chama pekee ambacho mtu ambaye atateuliwa kugombea kupitia chama hicho atapata Ubunge. Na hili ndilo jambo ambalo limewafanya wengi wachukue form sababu uhakika upo. Nmeshangaa kidogo suala hilo lakini nkakumbuka kuwa pasko mayala naye ni...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Kaka Pascal Mayalla, kweli unamjua vizuri Membe

    Hadaa na dharau ya Membe kwa Watanzania ni kubwa sana na imekithiri. Mara zote amekuwa akijiona kuwa yeye ndiye mwenye akili nyingi kuzidi Watanzania wote. Kutokana na tabia hiyo, amekuwa akitoa kauli ambazo wenye akili kumzidi yeye wanajua kwamba anaudanganya umma mchana kweupe. Kwa sasa Membe...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yamrejeshea Pascal Mayalla Press card yake iliyozuiliwa kwa takriban miaka 3 ataanza kuonekana Saba Saba!

    Mwandishi wa habari nguli nchini Pascal Mayalla ameishukuru serikali na hususani msemaji wa serikali Dr Abbas kwa kumrejeshea Press card ambayo ilizuiliwa kwa takribani miaka mitatu. Pascal Mayalla amesema kuanzia wiki ijayo ataanza kuonekana live kwenye maonesho ya Saba saba na soon ataanza...
  17. JamiiForums Tanzania Swali kwa Pascal Mayalla: Je inawezekana CCM kuogopa Tume Huru ya Uchaguzi inaogopa kupoteza kiti cha Urais na majority bungeni?

    Swali langu ni hili..... Kwa nini CCM inaogopa kusiwe na Tume Huru ya Uchaguzi (kwa maana ya tume itakayoteuliwa na chombo huru chenye wawakilishi kutoka all cycles of life)? Je, inaogopa kuwa uchaguzi utakuwa ni wa huru sana na hivyo kupelekea uwezekano wa CCM kupoteza kiti cha urais na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla adai Waziri Mpango alitumia muda mwingi katika kusifu alipowasilisha bajeti. Asema yeye siyo MATAGA na hatafuti uteuzi!

    Ni katika mjadala wa waandishi kwenye kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari. Pascal anasema bajeti ya nchi inatakiwa kuwasilishwa kitaaluma lakini juzi waziri wa fedha Dr Mpango ametumia muda mwingi katika kusifu ukilinganisha na kuifafanua bajeti. Mwandishi Moses Methew alimpinga Pascal kwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla aitaka TCRA iufungie mtandao wa Twitter kwani kuna mambo machafu yanayoendelea huko

    Akizungumza katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari mwandishi nguli Pascal Mayalla amewataka TCRA kuwafuatilia wale wanaoandika uchafu kwenye mtandao wa Twitter na kama wameshindwa basi waufungie mtandao huo hapa nchini. Na kama hayo yote hayawezekani basi Watanzania wazalendo wajulishwe...
  20. JamiiForums Tanzania Utabiri: Samia Suluhu kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

    Pazia la kuichukua fomu za kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi huenda likafunguliwa Rasmi muda wowote kuanzia mwezi Juni 2020. Sina hakika na ndoto yangu, Ila haya ndio niliyoyaona ndotoni. Nawaona wanaume wawili wakichuana vikali sana, kiasi kwamba wanarandama kwa sifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…