parachichi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje parachichi tunauziwa bei kubwa hivi?

    Aisee hapa Dar tunaibiana sana haiwezekani parachichi bei ya chini iwe 1500 tena hilo la bukujero ni low quality Kwani uzalishaji wake umekuwaje hadi yauzwe bei hivi?utafikiri tunaagiza kutoka China
  2. JamiiForums Tanzania Balozi Mwamweta na Anthony Mtaka wasaka soko la parachichi nchini Ujerumani

    Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Hassani Iddi Mwamweta anaongoza ujumbe wa wakulima na wafanyabiashara kutoka Tanzania unaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Matunda na Mbogamboga ya Fruit Logistica 2026 yanayofanyika Berlin kuanzia Februari 03 hadi 06, 2026. Ujumbe huo unajumuisha Mkuu wa...
  3. JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 7 wa mauaji ya Mtoto aliyedaiwa kuiba Parachichi wakamatwa

    Jumla ya watuhumiwa saba wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa kwa kuhusishwa na mauaji ya kijana aliyedaiwa kuiba parachichi. Jeshi la Polisi limesema watuhumiwa hao wanashikiliwa kwa mahojiano na mara baada ya taratibu kukamilika watafikishwa mahakamani kujibu tuhuma za mauaji...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Samia kujenga vituo 50 vya kuhifadhi parachichi

    DKT. SAMIA KUJENGA VITUO 50 VYA KUHIFADHI PARACHICHI Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Mbeya kuwa Serikali imejikita katika kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi, kwa kuwekeza katika...
  5. JamiiForums Tanzania Nimelima parachichi hekari 14 lakini kwa mara ya kwanza nimepata viparachichi vidogo sana

    Nimelima na kupanda miparachichi heka 14 mwaka ndio zimezaa lakini ninapata wasiwasi mana ni vinekuwa vidogo sana kiasi kwamba nahisi haviwezi ingia sokoni, je wataalamu ndio huwa hivi kwa mara ya kwanza?
  6. JamiiForums Tanzania Sera ya Kilimo Bora cha Parachichi, Mbunge Ndaisaba Ruhoro Aiwasilisha Bungeni

    SERA YA KILIMO BORA CHA PARACHICHI MBUNGE RUHORO AIWASILISHA BUNGENI. BUNGENI - DODOMA 11/06/2025. Mhe. Ndaisaba G Ruhoro Mbunge wa Ngara ameiuliza Wizara ya kilimo kuhusu mkakati bora wa kukuza kilimo Cha zao la Parachichi Jimboni Ngara. Mhe. David Silinde Naibu Waziri Wizara ya Kilimo...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Bashe aonya Halmashauri kutoziweka tozo kandamizi kwa wakulima wa Parachichi

    Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (MB),akizisisitiza Halmashauri kuhakikisha kuwa tozo zinazowekwa kwenya zao la Parachichi haziwakandamizi wakulima. Bashe ameeleza hayo katika Mkutano Mkuu wa Parachichi uliofanyika hivi karibuni wa wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo wakiwemo wakulima...
  8. JamiiForums Tanzania Mwekezaji wa kitanzania atumia Bilioni 5 kujenga kiwanda kiwanda cha kuchakata mafuta ya parachichi

    Mwekezaji wa Kitanzania, Josiah Mrimi, ameweka wazi changamoto alizokumbana nazo wakati wa kuanzisha kiwanda cha kuchakata mafuta ya parachichi, Murikado Food Supply, kilichopo katika kijiji cha Itulahumba, wilaya ya Wanging'ombe, mkoa wa Njombe. Akizungumza siku ya Jumatatu mbele ya Waziri wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 wakulima wa zao la Parachichi hawana soko - Njombe

    Nauliza tu! Kwa nini wageni ndio wanapanga bei ya kuuza maparachichi? Jirani zetu wananunua maparachichi kilo shillingi elfu mbili wanaenda kuweka label product of…. Hii ni dhambi kubwa sana! Waziri wa Kilimo na Mkuu wa Mkoa lini mtawasaidia wakulima?
  10. JamiiForums Tanzania Faida za Parachichi kwa Nywele: Kutoka Grace Hair and Body Gardener

    Parachichi ni tunda ambalo limesheheni virutubisho muhimu kama potassium, amino acids, na protein, ambavyo ni muhimu kwa mwili wa binadamu. Leo, nitazungumzia umuhimu wa parachichi katika nywele na jinsi ya kutumia bidhaa ya Grace Hair and Body Gardener ambazo zimetengenezwa na mafuta ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha parachichi wilayani Rungwe

    Ni kwa namna gani Hawa Wawekezaji wa kigeni katika zao la parachichi wameweza kuwa shawishi vijana kuingia katika kilimo hicho?
  12. JamiiForums Tanzania Parachichi moja Ufaransa Tsh 6000

    Kwa sisi graduates tuliopo mtaani mchongo huu, yaani parachichi moja hapo Ufaransa linanunuliwa kwa elfu 6 Tuchangamkie fursa wazee utajiri upo ni kuamua tu #msaka_ajira
  13. JamiiForums Tanzania Shamba ekari 60 linauzwa Mufindi, linafaa kwa Parachichi au Miti ya mbao

    Habari wakuu, Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi. Kwa aliyekuwa anahitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha parachichi, sasa jibu limepatikana. Kuna shamba la ekari 60 Mufindi linauzwa kwa bei nzuri. Shamba halijatumika kwa miaka mingi, kwa hiyo lina rutuba na linafaa kwa kilimo cha parachichi na...
  14. JamiiForums Tanzania Biashara ya parachichi Hass

    Habari za Leo wakuu.. Naomba kwa anayefahamu Tani 1 ya parachichi(Hass) ni shilingi ngapi? Naomba Bei ya shamba na Bei ya kutoka shamba mpaka Dar. Shukran
  15. JamiiForums Tanzania Majabu ya mbegu ya parachichi katika kutibu magonjwa

    MBEGU za PARACHICHI hutibu magonjwa ya fuatayo. 🌿High blood pressure 🌿High cholesterol 🌿Asthma 🌿Low immunity 🌿Cancer of the blood 🌿Obesity 🌿Candidiasis Unachotakiwa kufanya ni kuchukua MBEGU ya PARACHICHI na kuisaga alafu utapata Unga. Matumizi: Utakuwa unachemsha maji anaweka kwenya kikombe...
  16. JamiiForums Tanzania Parachichi aina ya fuerte inastawi wilaya ya urambo,tabora?

    Ndugu, katika pitapita kwenye magroup ya wahangaikaji, nimekuta mtu anasema kilimo cha parachichi (aina ya fuerte) kinastawi Wilaya ya Urambo Tabora...Vipi kuna ukweli?? asante
  17. C

    JamiiForums Tanzania Urasimu Bandari ya Dar, wafanyabiashara wa Parachichi wakimbilia Mombasa

    Hapo bandarini Dar wanashindwaje ku-handle mzigo wa ku-export Parachichi (cold room)? Yaan Parachichi litoke Njombe likasafirishwe Mombasa port? NB: nalazimika kukodi trucks za MAERSK kutokea Mombasa hadi njombe Kubeba Parachichi tu.
  18. JamiiForums Tanzania Wakulima wa chai na parachichi Rungwe ni wakati wa kuifufua Tukuyu Stars

    Safari ya Tukuyu Stars na Isuzu Lao -Kikosi cha Tukuyu Stars, timu iliyopanda daraja mwaka 1985, katika kituo cha Shinyanga na kuja kucheza Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara wakati huo na kuchukua ubingwa kwa kupoteza mechi tatu tu. -Mwaka huo wa kupanda daraja wa 1985, Tukuyu Stars hadi...
  19. JamiiForums Tanzania Mchanganyiko wa nyanya, parachichi na vitunguu maji ni sahihi kiafya?

    Nimepanga niwe ninaula huo mchanganyiko mara tatu kwa wiki. Ni kachumbari ya nyanya, parachichi na vitunguu maji. Japo naweza kuitumia bila ya kuiwekea chumvi, ikiwekwa alau kidogo ladha yake inakuwa nzuri sana. Hata hivyo, kwa kuwa lengo langu kuu si shibe wala ladha bali afya, nimekuwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli hausemwi. Kilimo cha Parachichi ni kigumu sana na pesa yake ni ndogo

    Nimefanya kilimo cha parachichi kwa miaka nane sasa, nilichokiona ni haya; 1. Kilimo kina mzunguko wake ni mdogo parachichi huzaa kidogo kidogo kadri miaka inavyoenda, unatumia million 10 unapata million mbili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…