parachichi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chagu wa Malunde

    Wakulima wa Parachichi kupata fursa ya kuuza bidhaa hiyo katika soko la China

    Wakulima wa Parachichi kupata fursa ya kuuza bidhaa hiyo katika soko la China kufuatia uamuzi wa Kampuni kubwa ya ununuzi wa mazao ya Yihai Kerry ya China kuanza kununua parachichi kuanzia msimo ujao. Kampuni hiyo hivi sasa inaongoza kwa kununua Ufuta unaoingia katika soko la China kutokea...
  2. Kabende Msakila

    Mbowe ni muongo, wapi kilo ya parachichi huuzwa kwa Tshs 20,000?

    WanaJf, Salaam! Amenukuliwa akisema hivi “Kilo moja ya parachichi inakwenda kuuzwa Dola 8, karibu 20,000 hapa mnauza kilo moja Tsh 800. Maandiko Matakatifu yanasema watu wa MUNGU wanateseka kwa kukosa maarifa" - Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa @chadematzofficial taifa. Mbowe Freeman ninafahamu...
  3. T

    Zifahamu faida za kula Parachichi

    FAIDA ZA PARACHICHI (Faida 20 za Kula Parachichi) Parachichi ni aina ya kipekee ya tunda. Matunda mengi kwa asili ni wanga lakini parachichi limejaa mafuta yenye manufaa makubwa kiafya. Tafiti mbalimbali zilizofanyika zimebaini kuwa tunda la parachichi limesheheni manufaa makubwa katika afya...
  4. R

    Wazoefu wa biashara ya parachichi nina swali

    Habari wakuu, Kuna mahali nataka kwenda kununua tani kadhaa za parachichi ila sasa huko kijijini wauzaji wanauza kwa kipimo cha ndoo (debe). Naomba kujua kwa wenye uzoefu, ndoo moja ya lita 20 ikijaa parachichi inaweza kuwa na wastani wa uzito wa kilo ngapi? Natanguliza shukrani.
  5. S

    SoC02 Kilimo cha parachichi ni fursa

    Uhitaji ya zao la parachichi unazidi kuongezeka siku hadi siku kutokana na kuwepo kwa viwanda vingi vinavyotumia zao hili la parachichi kama moja ya malighafi za kutengenezea bidhaa mbalimbali kama mafuta na bidhaa nyingine nyingi. Lakini pia zao la parachichi limekuwa hitaji kubwa sana...
  6. Zulu Man Tz

    SoC02 Uchakataji mafuta ya parachichi

    WAZO LA UCHAKATAJI WA MAFUTA YA KUPIKIA KWA KUTUMIA TUNDA LA PARACHICHI. UTANGULIZI. Kutokana na uhaba wa mafuta ya taa, gesi asilia, petroli na diseli Ulimwenguni kote iliyosababishwa na oparesheni ya kijeshi ya Nchi ya Urusi kuishambulia nchi ya Ukreini mnano tarehe 24.2.2022. Wakati mzozo...
  7. ILULA HILLS

    SoC02 Nimeamua kuingia mwenyewe shambani - Kilimo cha Parachichi

    Takribani saa tatu usiku sasa, tunamaliza pika Ugali – Dagaa, tunakula huku maongezi ya hapa na pale yanaendelea na mashujaa wangu hapa, wako mbali kabisa na makazi ya watu, ndio nawajuza mabadiliko ya mkuu wa majeshi, mkuu wa polisi na wakuu wa mikoa, giza ni nene, baridi ni kali, hivyo wote...
  8. A

    Mafuta pure 100% ya parachichi

    .
  9. A

    Mafuta pure 100% ya parachichi

    .
  10. D

    Avocado oil press machine

    Salama humu ndani! natafuta mashine ya kukamulia mafuta ya parachichi yenye uwezo wa kuzalisha kati ya 10 na 20KG kwa siku.
  11. E

    Parachichi India linauzwa elfu tano na hayapatikani

    Kuna kijana anasoma India katika mji mmoja anasema tunda ghali hapo ni Parachichi linauzwa elfu tano ya Tanzania, sasa Sie tuna ndege inaenda India mara mbili kwa wiki hawa wajasiliamali wa sido wameshindwq kweli kuuza Parachichi India?
  12. and 998 others

    Kilimo cha PDF - Parachichi

    Wadau karibuni muwekeze Njombe. Wewe toa pesa tu sisi tutakufanyia kila kitu, ikiwemo kununua hizo parachichi
  13. beth

    Upi Mkakati wa Tanzania kutengeneza Ownership ya Parachichi kwa kuanza kuzibrand kama product ya Tanzania?

    Mbunge wa Jimbo la Makete, Mhe Festo Sanga amehoji Bungeni leo kuhusu Soko la Parachichi. Namnukuu: "Soko la Parachichi Duniani linasomeka parachichi zinazalishwa Nchi jirani ya Kenya, ili hali Parachichi asilimia zaidi ya 50 zinazotoka Ukanda huu wa Africa Mashariki zinatoka Tanzania...
  14. Fbn

    Tunda aina ya Parachichi tunavyolichukulia hapa kwetu ni tofauti na wenzetu

    Jambo lilonishangaza baada ya mzungu mmoja kutoka ufaransa kufakamia maparachichi. Nikamuuliza mbona unakula sana haya maparachichi ndipo kunifungulia ukweli kuwa ni bei sana kwao . Kumbe tuna vyakula ambavyo tunachukulia ni vya kawaida ila kwa wenzetu vikawa vya kitajiri sana.
  15. BigTall

    Vijana Mradi wa YAM wapewa darasa walime parachichi, watatoka kwenye umasikini

    Mkulima Mjasiriamali wa Kilimo cha Parachichi Katika Kijiji Cha Igoda Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa Aidan Kiwale amewataka vijana kutoka mazingira magumu ambao wapo kwenye mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) kuchangamkia fursa ya Kilimo cha Parachichi kwa kuwa kinalipa. Mkulima mdogo wa...
  16. Mmawia

    Kukataliwa na kutupwa kwa parachichi za Tanzania kule Afrika Kusini nini tunajifunza?

    Waziri wa kilimo ameandika kwenye ukurasa wake wa kijamii. Kuwa maparachichi yaliyo enda kuuzwa nchini Afrika ya kusini kutokea Tanzania yamekataliwa na kutupwa kutokana na mapungufu ya ubora unao hitajika ikiwemo kuchumwa yakiwa bado machanga au hayaja komaa vizuri. Je lawama apewe nani kati...
  17. Ze Bulldozer

    Rais Samia amaliza mgogoro wa miaka kumi kati ya Tanzania na Afrika Kusini

    Kumekuwa na mgogoro mkali wa kibiashara hasa ya Parachichi baina ya Tanzania na Afrika ya Kusini uliodumu kwa mwongo mzima(miaka kumi) sasa bila muafaka wowote. Mtakumbuka February, 2021 kabla ya ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan Jumla ya tani 3.514 za avocados|parachichi toka Tanzania...
  18. Action and Reaction

    Ukibinyabinya parachichi Sumbawanga halafu uondoke BILA Kununua!

    Matokeo ndiyo hayaaa
  19. J

    Parachichi na uzalishaji wake

    Habari zenu wadau Naamini mpo vizuri Leo tujifunze pamoja kuhusu zao la parachichi Kila mkulima ambaye anafanya kazi ya kulima na kuvuna lengo lake kubwa ni kuhakikisha kwamba anapata mavuno mengi katika kile ambacho anafanya ndio maana kila njia zinatumika kuhakikisha mwishoni kuna kuwa na...
  20. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mkuu atembelea shamba na kiwanda cha parachichi Rungwe

    WAZIRI MKUU ATEMBELEA SHAMBA NA KIWANDA CHA PARACHICHI RUNGWE Awahamasisha wananchi waongeze mashamba, parachichi zina faida kubwa. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea shamba la parachichi na kiwanda cha kuchakata mazao ya parachichi na kuwasisitiza wananchi walime zao hilo kwa kuwa...
Back
Top Bottom