parachichi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mashamba yanayofaa kwa kilimo cha matunda aina ya parachichi au miti ya mbao yanauzwa

    Lipo Kijiji cha mfriga Kata ya mfriga Tarafa ya lupembe Mkoa wa njombe Ukubwa ni eka 30 Bei ya kila eka ni tsh 100000 Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929 au 0784340024 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. J

    Faida 7 zinazopatikana kwenye mbegu ya Parachichi

    Utafiti unaonyesha kuwa mbegu ya parachichi inakiwango cha asilimia 65 cha amino acids na pia ina kiwango kikubwa cha fiber ukilinganisha na vyakula vingine. FAIDA ZA MBEGU YA PARACHICHI 1- Inapambana na tatizo la arthritis, sababu mbegu ya parachichi ni anti-inflammatory ( inatabia ya...
  3. J

    Maajabu ya Tunda la Parachichi

    Mbegu ya Parachichi ina muonekano kama Mtoto akiwa ndani ya mji wa mimba Kama ilivyo kwa mimba, Parachichi huchukua miezi 9 hadi kukomaa kwake Parachichi husaidia afya ya Mama Mjamzito na ukuaji wa mtoto aliye tumboni Parachichi husaidia kupunguza uwezekano wa mtu kupata Saratani ya Kizazi
  4. MK254

    Kenya yapiga hela ndefu kutokana na mauzo ya zao la parachichi, mlitucheka sana tulipoanza kupambana

    The value of Kenya’s avocado exports jumped 93 per cent to Sh4.26 billion in the first quarter of this year compared to the previous period, data by the Horticulture Directorate shows, buoyed by improved demand in global markets. Kenya, which is ranked eighth globally in avocado production...
  5. M

    Kilimo cha parachichi Rungwe(Tukuyu) vs Njombe

    Nataka nifanye kilimo cha parachichi, nimeambiwa zinalimwa Njombe na mkoani Mbeya has a wilaya ya Rungwe, swali langu ni wapi rahisi kupata shamba kati ya sehemu hizo, changamoto za maeneo hayo ni zipi na wapi soko ni zuri kati ya maeneo hayo.
  6. S

    Naomba kuelewa mapato ya acre moja ya kila zao kwa mwaka: kahawa, korosho, migomba na parachichi

    Members wakulima na wazoefu wa hayo mazao, Naomba kuelewa kama muongozo kwa ufupi mapato ya wastani kwa mwaka kwa kila zao hapo juu. Naomba tu share uzoefu wetu kwa manufaa yetu sote.
  7. A

    Fahamu utajiri wa kudumu uliojificha kwenye zao la Parachichi Mkoani Njombe

    Habari ya majukumu wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Maparachichi ni matunda bustanini na mashambani. Maparachichi yana matumizi mengi yenye faida kubwa kwa wakulima na wadau wengine. Maparachichi ni chakula chenye viini lishe bora kama vitamini {A, B2, C, D, E, K} na...
  8. MK254

    Zao la parachichi laendelea kuwa dhahabu Kenya

    Hongera kwa wadau wote waliohusika kutafuta masoko.... The sale and export of avocado is the main income stream for the agricultural company. FILE PHOTO | NMG Kenya’s avocado exports jumped 15 percent to 68,000 tonnes over the 12 months to October, fetching the country Sh14 billion. Kenya...
  9. MK254

    Wachina wachangamkia parachichi kutoka Kenya, walivyo wengi lile ni soko litakalotutoa kimasomaso

    Mapingamizi yote yameondolewa na tayari kontena zimeanza kutua Uchina, ni mwendo wa kukusanya hela, wakulima wetu mpoooo!!! Kenya has started export of frozen avocado to China, yielding to pressure on conditions that Beijing had issued before they allow in imports of the fruit from the country...
  10. MK254

    Kenya yazidi kunufaika pakubwa na zao la parachichi kwenda Ulaya

    Tuendelee kutia bidii bandugu.... Horticulture earnings in the first eight months of the year rose to Sh101 billion from Sh97 billion in similar period last year, as more countries opened up their economies on easing of Covid-19 restrictions. The earnings were boosted by higher demand of...
  11. The Boss

    Kilimo cha uyoga na parachichi

    Kama kuna thread hapa zinahusu mazao hayo naomba kupewa link. Kama hakuna basi naomba anaejua kuhusu hayo mazao anisaidie all the infos ------------ link za kilimo cha uyoga Kilimo, soko na faida za Uyoga - JamiiForums Kilimo cha uyoga - JamiiForums Uyoga kwa kipato, ajira na kupunguza...
Back
Top Bottom