Panya (Russian: Панья) is a rural locality (a village) in Leninskoye Rural Settlement, Kudymkarsky District, Perm Krai, Russia. The population was 11 as of 2010.
Katika Adhimisho la Misa Takatifu ya hija ya WAWATA Jimbo Kuu la Dar es Salaam iliyofanyika Disemba 6, 2025 Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap amesema nyoka anawasifu wa kuhifadhi mazingira na kuleta uwiano lakini...
Haiwezekani mtu unaiba kura alafu unakuja na maridhiano yani unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza hatutakubali tunataka nchi yetu.
Wananchi sisi tumesha mkataa kabisa kabisa tunataka nchi yeetu yetu kwa gharama yoyote ile. waliiba kura na kutunajisi makusudi na kwa kiburi.
Wote tumeona Sasa panya road wanakuja kwa njia ya maandamano tunaomba wadhitiwe vikali haiwezekani mtu uishi kwa kuiba na kuharibu Mali za watu ambazo wamezipata kwa jasho Kali na Mali za nchi yetu wakati nguvu unayo.
So mbinu iliyotumika kudhibiti panya road hyohyo itumike kudhibiti maandamano.
Hawa panya road wapo waliokosa kabisa elimu na wapo wenye elimu ingawa ni wachache sana.
Hawa panya road wengi wao wanafanya kazi zisizo rasmi na wengine hawana kazi kabisa.
Ni vijana waliolelewa mazingira kama ya watoto wa bata.
Lake Oils pekee wamechomewa vituo vya mafuta 38, zipo kampuni...
Pamoja na madudu ya wazi na unyanyasaji ambao umekuwa sehemu kubwa ya legacy ya CCM, wamejificha kwenye kichaka cha kuwa chama kilichoikomboa nchi na historia ya Mwalimu Hayati Julius Kambarage Nyerere kunufaisha wachache na kutumia nguvu kutisha wananchi na rushwa kununua wasanii wakubwa ili...
Mwacheni aropoke si ndio kazi yake. Lakini abakize akiba ya maneno. Cheo chake ni kidogo sana. Hana mizizi na hana ushawishi wowote kwa watawala na wananchi. Asijisahau tofauti yake na Polepole ni wakati tuu. Tena yeye atapotea na hakuna wakumuulizia zaidi ya familia yake. Na bado.
Maandalizi na Mapishi ya Nyama ya Panya na Kenge.
Ukishaonja nyama ya panya huachi. Kenge ndo mtamu balaa
Mdau hapa kaweka video hatua kwa hatua ya Uandaaji wa nyama ya Kenye hadi jinsi ya kumla
Wengine panya huwapa hofu, lakini huko Cambodia, viumbe hawa wamekuwa msaada mkubwa usioepukika
Panya wa Kiafrika aina ya giant pouched rats hupita kwa ustadi kwenye mashamba wakitafuta harufu ya TNT kemikali inayotumika kwenye mabomu mengi na mabaki ya vilipuzi. Mara wanaponusa, huashiria kwa...
Hii ni maajabu, yaani paka anapigwa na panya hadi ana kimbizwa 🤣, niko hapa kariakoo naona paka kapigwa na panya na kukimbizwa juu,hasa najiuliza panya akimkamata paka atamla au? siamini nachokiona.
Hii ni kwa paka wa Dar tu au hata wamikoani wameanza tabia hii ya kuchekesha?
Wakuu habari, naomba msaada. Nimechoka kupretend kuwa sina shida, ukweli ni kwamba nimelemewa na panya nyumbani.
Nimejaribu kila aina ya dawa — nimenunua dawa nyingi tu zikashindwa, nikaelekezwa ninunue zile zilizochorwa dagaa na panya, nikaambiwa nikiboko — lakini wapi wanakula dagaa bado...
"Usijiite mjinga hadi pale panya atakapokushinda akili na kukula ukiwa hai. Kufikia hatua hiyo, hautakua na haja ya kuuliza "wewe ni mjinga au sio". 😂😂"— Alloyce, P.R.
Tuliahidi tukatekeleza
1. SGR from Dar To morogoro: usafiri umerahisishwa sana.Biashara zinasonga sana
2. Bwawa la Nyerere : mgao wa umeme umekwisha kabisa
3. Daraja refu kabisa africa ,kigongo busisi aka JPM brigde : kitovu cha utalii wa luingiza fedha za kigeni,usafiri umerahisishwa sana...
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia Prof.Adolf Mkenda amesema kupitia mradi wa kufundisha wanyama (APOPO) hususan Panyabuku wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo(SUA), panya 100 wamefundishwa na kufuzu na kupelekwa nchi mbalimbali.
Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo...
Kuna wapumbavu wanalinganisha great nation na Kenya, ni aibu. Watanzania jifunzeni kdg, historia ya nchi yetu tofauti kabisa na Kenya.
Sisi msimamo wetu kuiokoa Afrika wakati wakenya walikuwa wanainjoy mali za waingereza. Two different things. Nchi yetu ardhi ni mali ya serikali.
Km wakenya...
Siku moja panya katika pita pita zake nyumbani kwa binadamu(chumbani),aliona kitu na haraka akang'amua kuwa ulikuwa mtego(alishawahi kuona kitu kama hicho kimenasa wenzake nyumba tofauti tofauti na akahudhuriq mazishi...mtego ulikuwa mbaya haukuacha manuscript
Kwa hofu alienda kumdokeza kuku...
Kuna mambo yanashangaza .
Wakati naishi uswahilini , nilipanga Eneo moja ndani ya chumba kulitokea panya ambao hawakujulikan wanatoka wapi.
Ila story ilipo ni hii hao panya walikuwa wadogo sana na walikuwa hawakui kabisa zaidi ya mwaka mzima.
Nilikuwa nikiwatega siwapati
Nilichofanya...
Binadamu tumeumbwa kusahau. Nikikumbuka majigambo ya baadhi ya timu mwanzoni mwa msimu huu, nabaki kusema acheni Mungu aitwe Mungu.
Zilitungwa nyimbo za "Uto hii unaifungaje", wakaapa hata waje malaika watafungwa tu. Wakaiita Simba na wachezaji wake Panya Road, just imagine mnaitwa Panya...
Kuna panya wamevamia Jiji la Dar Es Salaam.
Hawa panya hata uwatege kwa sumu ya panya hawali. Wanajua mitego yote ya panya. Na ukimfuata bila tahadhari anakurukia kukung'ata.
Huwezi kuwanasa labda uwapige na nyundo au fimbo.
Inadaiwa ni panya wa Kichina na Wametoka China. Wanapiga kelele...
Kama unasumbuliwa na panya waharibifu loweka nafaka mfano karanga, mahindi, nk kwenye kinywaji cha energy drink yoyeto iliyochemshwa, kisha weka kwenye njia zao wakila tu hawachukui round utaokota mizoga.
Hata paka au kunguru we loweka nyama au samaki kwenye energy kisha weka sehemu atakayoweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.