Hawa panya hawakuwa wa kawaida kabisa !

Hawa panya hawakuwa wa kawaida kabisa !

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,465
Reaction score
7,764
Kuna mambo yanashangaza .

Wakati naishi uswahilini , nilipanga Eneo moja ndani ya chumba kulitokea panya ambao hawakujulikan wanatoka wapi.

Ila story ilipo ni hii hao panya walikuwa wadogo sana na walikuwa hawakui kabisa zaidi ya mwaka mzima.

Nilikuwa nikiwatega siwapati

Nilichofanya niliwaua wanne kwa kutumia akili nyingi Sana bila mtego wa dawa .

Baada ya hapo nilianza kufanikiwa mambo yangu na wingu kuwa jeupe.

Uswahilini watu wanatumia Sana panya kufanya ushirikina.

Na baada ya kuwaua hao panya Alieyekuwa amefanya hivyo alikufa .

Mimi sio muumini wa ushirikina na siwamwamini Mganga yeyote natumia zaidi akili kutatua matatizo .

Ila mwaka 2006 kuna jamaa alimuua Kobe aliyekuwa anafugwa na mama mmoja na kuanzia hapo yule mama akaanza kuumwa na kufariki .

Hii sio hadithi Ila I was there kuanzia kuuliwa kwa Kobe , na kuumwa kwa mwenye Kobe na kufa.

Unfortunately watu wanaofanya haya mambo ni wapumbavu sana wana maisha magumu watoto wao na wao generally hamna kitu wanapata kizuri .

Muda mwingine ukiona panya hasa ukiwa unakaa uswahilni na hao panya hawakui maumbo wanabaki wadogo .

Huo ni mtego hakikisha unaua hao panya kwani huwatumia kufukuza riziki zako na kukufanya ubaki mdogo Kama hao panya financially and everything.

na Kama MTU anafuga kiumbe ndani Kobe n.k hakikisha unamuua huyo Kobe .

Believe in God
 
think scientifically
 
Moderator
Active

Mmetumia vigezo gani kuweka huu Uzi katika hili jukwaa wakati I just share my life experience .

Kuweni smart sana hata boss wenu atawaona wa ajabu rudisheni huu uzi katika jukwaa la Habari mchanganyiko .

Muwe mnsoma content kwanza sio mnakuwa mnakurupuka.
 
Duh,

Kumbe Kobe nao wanatumika,

Nilikuwa na mpango, nifuge Kobe hata wa2 wanisaidie kutrim garden.

Ila kwa ujumbe huu nimegairi, wasije ingroup pamoja
 
Back
Top Bottom