pangani

Pangani is a town in northeast Tanzania that lies 45 km south of Tanga, at the mouth of the Pangani River. It is the headquarters of Pangani District.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aweso amuumbua Eng. Hersi mbele ya Rais Samia kwa kudai huwa anaenda Pangani Kuroga mechi za Watani wa Jadi (Simba na Yanga)

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amuumbua Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said kwa kudai kuwa huwa anaenda kuroga mechi ya Watani wa Jadi (Simba na Yanga) ili washinde "Pangani ilikuwa kama Kisiwa, ili mtu aje Pangani lazima aje kwa makusudio maalum, aje kuzika, amesikia labda kuna mganga mzuri wa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Mwenyekiti CCM akabidhi vishkwambi kwa Madaktari Hospitali ya Wilaya Pangani ili kuwarahisishia kazi zao

    Wakuu, Huu ndio muda wao kutuoneshe ni watu wenye moyo sana na huruma mwingi, wenye kutoa bila choyo😂😂 Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za...
  3. JamiiForums Tanzania Pwani: Coast City Marathon kuchangia uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu kwenye Shule ya Msingi Pangani

    Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Mbio za Coast City Marathon Msimu wa tatu (3), maalum kwa ajili ya kuchangia uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu kwenye Shule ya Msingi Pangani, Dkt. Frank Mhambwa amezindua rasmi mbio hizo ambapo hafla ya Uzinduzi imefanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya...
  4. JamiiForums Tanzania Safari ya Mwisho Kuliendea Kaburi la Abushiri bin Salim Al Harith Pangani

    https://youtu.be/-SGlpOTy4pA?si=Mxbk6h2zHWYZpzLh
  5. JamiiForums Tanzania Haji Mohamed Nundu Anaeleza Alivyojenga Nyumba Yake Juu ya Kaburi la Abushiri bin Salim Al Harith Pangani

    https://youtu.be/YCy-vx00WOs?si=a8YH5FeZXMa2bgvy
  6. JamiiForums Tanzania KERO Responded Tatizo la Upatikanaji wa Maji Kibaha Mji kata ya Pangani na Vitongoji vyake

    Shida ya maji Kata ya Pangani, Halmashauri ya Kibaha Mji Mkoa wa Pwani. Ndugu Admin/moderator naomba kutoa malalamiko yangu juu ya wizara ya Maji, kwani pamekua na shida ya maji miaka nenda rudi sasa kwa wakazi wa Kata ya Pangani mitaa ya Mtakuja, Kidimu, Pangani yenyewe na mitaa mingine...
  7. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa Ujenzi, Bashungwa barabara ya Tanga TO Pangani mmeitelekeza? Mbunge Ummy saidia barabara hii itengenezwe

    Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi? Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni kero sana walivyoiacha
  8. JamiiForums Tanzania Safari Yangu Pangani Kutafuta Kaburi la Abushiri bin Salim Al Harith

    Nimesoma historia ya Bushiri nikiwa shule ya msingi miaka ya 1960 pamoja na historia ya Vita Vya Maji Maji vilivyopewa jina la, "Maji Maji Rebellion." Walioandika historia hii waliwaona Abushiri bin Salim, Abdulrauf Songea Mbano na Bi. Khadija Mkomanile, Mtwa Abdallah Mkwawa kwa kutoa mfano...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa, tunaomba kujua upana wa barabara toka Mabanda ya papa, Tanga mpaka Pangani

    1. Kumekuwa na mkanganyiko wa upana wa barabara kutoka Mabanda ya Papa , Tanga Mjini kwenda Pangani particularly kipande cha kutoka Mabanda ta papa - Usalama- Comercial- Mwembe Duga- Mwakidira-Mwahako Darajani. 2. Mwanzoni mara ya kwanza walibomolea watu wakapisha upanuzi wa barabara...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Pangani: Taka hatarishi za hospitali zinaokotwa ufukweni, Serikali ichunguze wanaofanya michezo hii

    Wilaya ya Pangani, Kijiji cha Ushongo Mtoni kumekuwa na taka hatarishi za hospitali zinazoonekana ufukweni. Wanakijiji wameshuhudia Drip, Sindano na chupa za dawa mbalimbali ufukweni. Kuna Hospitali au Kituo cha Afya ambacho haifahamiki kinatupa taka zake baharini, yawezekana zinatoka hata...
  11. JamiiForums Tanzania Malighafi ya Nyuklia kuzalishwa Pangani

    Serikali ipo katika hatua za mwisho za kuwezesha upatikanaji wa leseni kubwa ya uchimbaji madini (Special Mining License - SML) kwa Kampuni ya Nyati Mineral Sand inayomilikiwa na kwa ubia kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Strandline ambayo itapelekea kuanza kwa mradi mkubwa wa uchimbaji...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani anazuga tu, hakuna anachofanya

    Barabara kama ile haiwezi kufanywa kwa magari mawili ya kusomba vifusi na compactor 2. Wamepewa hela na ili waonekane wako site ndio upuuzi wanaoufanya, kuzuga kuwa wako site kumba hamna lolote linalofanyika. Bashungwa or anybody in charge of this ministry, come and see!
  13. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile Akagua Upanuzi wa Bandari ya Pangani, Bandari ya Kipumbwi na Bandari ya Mkwaja Zilizopo Pangani

    Naibu Waziri Kihenzile Akagua Upanuzi wa Bandari ya Pangani, Bandari ya Kipumbwi na Bandari ya Mkwaja Zinazotumika Kusafirisha Ndani na Nje ya Nchi Bidhaa za Mifugo, Saruji, Mbao "Nikiwa nimeambatana na Mkuu wa Wilaya ya Pangani Mhe Zainab Abdallah tumetembelea Ujenzi (upanuzi) wa Bandari ya...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tamisemi huyo mkurugenzi wa Pangani ni mpigaji na wasaidizi wake asiachwe kabisa, mpaka leo ajira mpya hawajalipwa pesa za kujikimu

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Deogratius Ndejembi amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, Isaya Mbenje na Watendaji walio chini yake kujitafakari juu ya mwenendo wa utendaji kazi wao kutokana na kushindwa kusimamia miradi inayotekelezwa kwenye Halmashauri hiyo ikiwemo...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, kwanini bei maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L ipo juu kuliko Masafi 1.6L na Pangani 1.6L

    Mwenye kufahamu sababu ya tofauti ya bei ya maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L kuuzwa 700.00 wakati ujazo huohuo kwa Masafi 1.6L na Pangani 1.6L yanauzwa 500.00. Pia kwanini maji ya Pangani 1.6L hayana Stempu ya kieletronic juu ya mfuniko?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tusaidie Waziri Ummy Mwalimu barabara ya Tanga to Pangani

    Barabara haipitiki hata kidogo. wachina waliijaza udongo na mvua hizi ni shida tupu. Angalau wasafishe au TANROAD wasafishe kipanda cha kufika Mjini- Machui! Ni hatari tupu!
  17. K

    JamiiForums Tanzania Pangani ni Halmashauri ya ovyo kuwahi kutokea

    Waziri Mchengerwa nakupa alert tafadhali tuma wachunguzi waje kwenye hii wilaya ya hovyo kama ya Pangani ama kiukweli wana kuhujumu na wanakuharibia kupita kiasi Waziri Mchengerwa pesa za miradi inapigwa kupita kiasi hapa halmashauri Wafanyanyakazi au watumishi hawapewi haki zao kwa kabisa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mbalawa, ulisema mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani umemlipa bilioni 3 kuanza kazi sasa mbona haonekani site Tanga mjini na Pangani?

    Hii ni kukutaarifu tu kuwa mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani umemlipa bilioni 3 kuanza kazi haonekani site Tanga mjini wala Pangani? Hii ilikuwa ni mara ya mwisho sometime in September uliposema hayo mbele ya camera Mvua zinanyesha ni tope tupu kila mahali! Mwambie basi aje...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Upigaji mradi wa maji Miwale Pangani Kibaha mkoa wa Pwani

    Habari wana JF? Niende moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na upigaji katika mradi wa maji mtaa wa Miwale kata ya Pangani wilaya ya Kibaha Mjini mkoa wa Pwani ambapo miaka kama minne iliyopita kulifanyika mradi wa maji uliogharimu milioni miatano lakini mradi huo ulikufa pasipo wananchi wa...
  20. JamiiForums Tanzania DC wa Pangani atupia tattoo ya mumewe mubashara

    DC wa Pangani amezua gumzo baada ya kuonekana na tattoo ya mumewe hadharani. Ikumbukwe mumewe ni Mbunge wa Pangani na Waziri mwandamizi. Unampa asilimia ngapi DC wa Pangani kwa tattoo hii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…