pamoja

Pamoja FM is a community radio station based in the slums of Kibera in Nairobi, Kenya. It was started in 2007. The slum is a lively, vibrant place and is characterised by a continuous buzz of activity. Operating from a small office at the top of a tall building overlooking Kibera, the station has close ties with the community that is actively involved in contributing to the broadcast content. Pamoja FM has received its primary funding from USAid and it focuses on community issues through debates and feature broadcasts, as well as airing a range of music shows and news.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, kuomba ajira, NIDA tu inatosha au vyote (cheti cha kuzaliwa) kwa pamoja?

    Je, kitambulisho Cha NIDA kinaweza kuwa mbadala wa cheti Cha kuzaliwa (endapo huna hicho cheti) katika kuomba ajira au vinahitajika vyote kwa pamoja?
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA, ukomavu wa kisiasa ni pamoja na kuyakubali mazuri ya CCM

    Moja ya hoja ambayo hivi karibuni CHADEMA wamekuwa wakiitumia kama kete muhimu kujitofautisha na CCM ni uwazi waliokuwanao nao katika uchaguzi mkuu wao. Uwazi wa kiwango kile hata mm ningelipenda kuuona kwenye chaguzi zote za nchi yetu. Ni imani yangu, kwamba kama chaguzi zetu zingekuwa na uwazi...
  3. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiluvya: Eneo la kujinafasi linauzwa pamoja na nyumba - Dar

    • Direction: • Structures: • Facilities: • Plot Terrain: • Plot Survey: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  4. JamiiForums Tanzania Kwa mliozaa nje ya ndoa,nipeni faida & changamoto zake, kabla sijafanya maamuzi

    Nilioa mwanamke kwasababu ya shape yake na kimo chake. Kadri nilivyoendelea kuishi naye nikagundua nimeoa kichwa maji,lakini kwakuwa nampenda sana nimeendelea kumvumilia mpaka leo hii,na tumejaaliwa watoto watatu. Kinachonipasua kichwa ni kitu kimoja Watoto wote watatu akili kama za mama yao...
  5. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuruhusiwa watu kwenda kusikiliza kesi ya Lisu : chadema kuna mtego wametegewa! Ngoja niwasanue sasa

    Kama mlivyosikia mahakama hatimaye dakika za jioni kabisa imekubali hoja za mawakili wa Lisu .. Sasa iko Hivi.. Serikali na Sisiemu sio wajinga kukubali mpira uende kati kizembe. Wanakuja na plan B... Kumbuka katika zile amri za mahakama pia ipo ile ya kuwa watulivu na kutofanya fujo aina...
  6. JamiiForums Tanzania Pamoja na pesa na umaarufu,sura ya Harmonize imegoma kukaa kisupastaa

    Nina rafiki zangu identical twins,walizaliwa wanafanana kila kitu, Ilikuwa ngumu kuwatofautisha Kupanga ni kuchagua,Kurwa aliamua kusoma sasa yupo TRA Doto ni dalali tu mtaani Sasa tofauti yao iko bayana Kurwa anangara maana hapigwi jua maisha yake ni full kiyoyozi Doto kapauka Hawafanani...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje kila jioni unaenjoy chakula na watoto wako ila wewe umehusika bila haki kuwatenganisha baba na watoto wake wasi-enjoy jioni ya pamoja

    AMANI, UTU NA UTULIVU kwa baadhi ya watu ni vitu cheap sana.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli Pamoja na kuwa Waziri ila watoto wake wote aliwasomesha primary Kayumba. mzee aligoma Jesca kusoma shule za Mabasi ya njano

    Habari wadau. Interview ya mtoto wa magufuli na millard ayo, imeeleza mengi. Binti wa Magufuli amesema baba yao akiwa waziri toka wanazaliwa bado aligoma kabisa watoto wake wote kwenda kuwasomesha kwenye shule za msingi za english medium. Na akawapeleka shule za msingi za Serikali, maarufu...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya marketing au sales, vitu ninavyoweza, ku offer katika kazi ni pamoja na kuwa na idea za ubunifu kukuza biashara, kutengeneza content,

    Habari mimi ni mwanafunzi wa chuo procurement and supply Natafuta kazi ya marketing au sales naamini nitafanya vizuri, hii yote niweze kumudu Ada na Familia yangu shukran 🙏.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanasimba TU, wate mliomlaumu Jean Ahoua naomba Kwa pamoja mumtake radhi

    Nasema kwa Wanasimba TU,wale wote mliomtukana,mliomponda ,mliomlaumu na mliomshambulia mchezaji Jean Ahoua wa Simba,baada ya kukosa goli siku ya mechi ya kwanza baina ya Simba na Stellenbosch huko zanziber. Muombeni msamaha Shujaa Ahoua. Nawataka wote mumuombe radhi na msamaha kijana huyo,kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Tupike pamoja chapati za maji, zenye mayai, maziwa, nazi na hamira kidogo.

    Leo Jumapili niliamka nikiwa nina hamu sana ya kula chapati za maji. Ila leo nikasema kwa kuwa nina muda wa kukaa jikoni, ngoja leo nijikumbushe enzi zangu. Mahitaji na viambaupishi: -Unga wa ngano nusu -Mayai ya kuku 3 -Maziwa ya maji nusu kikombe -Tui la nazi kikombe kimoja -machicha ya nazi...
  12. JamiiForums Tanzania Wakujiita manabii si wakutane wote pamoja wakusanye 50% ya mapato yao wasaidie masikini, waingie kila hospitali wawatafute wagonjwa mahututi wawaponye

    Until then, mimi bado nitaendelea kuwaita hustlers walioweza kuishinda system kufanya shughuli za uchumi bila ya kulipa makato. HONGERA KWAO! YESU SIO DINI, DINI SIO YESU, YESU NI NJIA.
  13. JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA ya Mechanical, Textile, Oil and Gas, Mining, na Geology Yamechanganywa Pamoja

    Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA kwa Mechanical Engineering, Textile Engineering, Oil and Gas Engineering, Mining Engineering, na Geology Yamechanganywa Pamoja Kuna uwezekano matokeo ya kada zote za Engineering yamechanganywa kwa pamoja. Inawezekana pia hii ilitokea katika...
  14. JamiiForums Tanzania Amini Nawaambieni , Pamoja na Mapungufu Yake Yote ya Kibinadamu, Mtu Huyu Ana Mungu Ndani Yake!, Anaongozwa na Roho wa Mungu!. Mshuhudie Hapa!.

    Wanabodi Kwa kadri siku zinavyozidi kwenda, ndivyo ninavyozidi kumkubali mtu huyu, amenyooka kama reli!, hakika mtu huyu ana roho wa Mungu ndani yake!, mtu bila kuwa na roho wa Mungu, bila kuongozwa na Roho Mtakatifu, huwezi kumpa makavu live tena bila kupapasa, kwanza kumtambulisha mbunge...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinachojiri kuelekea Kesi ya Lissu leo Aprili 24, 2025

    Wakuu, Leo ndio ile siku inasubiriwa kuona nini kitatokea baada ya Lissu kusomewa mashtaka yake manne ikiwemo kosa la Uhaini ambalo halina dhamana na kesi hiyo kusogezwa mpaka leo Aprili 24, 2025. Pia soma: Pre GE2025 - DSM - Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake...
  16. JamiiForums Tanzania KARIBU TUWEKEZE SHAMBANI PAMOJA

    Wakuu habari za leo. Kama Kuna mtu ana wazo la kulima ufuta, mahindi, kunde and the like Nina eneo la ekari 6 Kabuku. Nataka kuotesha malimao lakini apatikane mtu wa kulima masika na vuli mpaka malimao yakue then yanafanyiwa budding. So mtu atakayepatikana ataingia cost za kusafisha shamba...
  17. JamiiForums Tanzania Rasmi nimeachana na mapenzi

    Ninasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea. Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani. Nimejaribu kuvumilia na kujishusha vya kutosha but this is too much mimi ntakuwa wa...
  18. JamiiForums Tanzania Leeds Utd pamoja na Burnley zapanda Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)

    Klabu za Leeds Utd na Burnley zimerejea Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa msimu ujao wa 2025/26. Leeds Utd na Burnley zote zina alama 94 baada ya michezo 44 huku wakibakiza mechi mbili mbili kabla ya ligi ya Championship kufikia ukingoni. Kwa alama hizo hazitoweza kufikiwa na vilabu vya chini...
  19. JamiiForums Tanzania Tupike pasaka pamoja live

    Hello Kesho nafikiri tupike pamoja JF hapa hatua kwa hatu ratiba yetu itakuwa hivi Morng Saa moja na nusu tutaanda chai ambapo kutakuwa na bagia za dengu na maziwa Mahitaji ya bagia 1) unga wa dengu 2) chapa maandazi / barking powder 3) dania 4) karoti 5) chumvi Baada ya hapo mchana tutaanda...
  20. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuelekea mtihani wa kidato cha nne, Maswali na majibu pamoja na Solving karibu tujiandae pamoja

    Wakuu habari , thread hii nimeanzisha makusudi kwa lengo la kusaidia walimu na wanafunzi wa kidato cha nne ambao wanajiandaa na mtihani wa TAIFA (NECTA). Here we go!. Mimi nitatoa hints au vidokezo katika masomo yafuatayo. Civics History English Kiswahili Karibu Sana , tuwasaidie vijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…