pamoja

Pamoja FM is a community radio station based in the slums of Kibera in Nairobi, Kenya. It was started in 2007. The slum is a lively, vibrant place and is characterised by a continuous buzz of activity. Operating from a small office at the top of a tall building overlooking Kibera, the station has close ties with the community that is actively involved in contributing to the broadcast content. Pamoja FM has received its primary funding from USAid and it focuses on community issues through debates and feature broadcasts, as well as airing a range of music shows and news.

View More On Wikipedia.org
  1. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ndio mkoa huwezi kusikia Mbunge anachaingiwa pesa za kuchukua Fomu, Wachaga sio Mafala hata kidogo

    Kwenye maendele bila shaka wote tunajua Kilimanjaro iko juu sana na wale hawajaanza kuwa na maendelo leo ni tangu enzi za ukoloni. Kwenye maendeleo ya watu achana na maendeleo ya vitu basi Wachaga wanapiga fimbo mikoa karibia yow Tanzania hii. Ila kwa Wachaga huwezi sikia wachaga wanakaa...
  2. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuwa na VPN naona masaa 2 sasa Twitter (X) haipatikani.

    Natumia Norton VPN toka last week, ila kufika saa 7.30 leo naona Twitter haifunguki. Je na nyinyi mnapata shida kama ya kwangu?
  3. W

    JamiiForums Tanzania Wakoloni waliyahusisha baadhi ya makabila kwenye Elimu, Ulinzi, Dini na Uongozi, kwanini wasukuma hawakuhusishwa licha ya idadi yao kubwa ?

    Nimekuwa nikijiuliza hili swali tangu nikiwa Sekondari na sijawahi kupata jibu. Wakoloni walikuwa wanahusisha baadhi ya jamii kwenye elimu, Biashara, Uongozi, Kueneza Dini, Ulinzi, n.k. lakini inashangaza kuona wasukuma ambao ni kabila kubwa zaidi hawakuhusihwa, why ? Ni kwamba nje ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa ina watekaji na watekwaji. Hatuko pamoja

    Kuna wanao taka kusema Wakenya wanatutukana sio kweli! Wanatukana watanzania watekaji sio watanzania watekwaji. Tumeona wabunge wanataka utekaji, mauaji na ubakaji uendelee. Hawa sio wenzetu ni watekaji Kuwa sisi ambao wakati wowote wewe, ndugu yako yeyote anaweza kutekwa, kubakwa, kuuliwa na...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Lyatonga Mrema , Maalim Self, Lipumba, Mbowe , Mama Tanzania pamoja na Zitto je historia ya Tanzania itawakumbukaje hawa watu ?

    Lyatonga Mrema , Maalim Self, Lipumba, Mbowe , Mama Tanzania pamoja na Zitto je historia ya Tanzania itawakumbukaje hawa watu ?. .
  6. C

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa UMMA kuweni makini na mikopo ya muda mrefu pamoja na baadhi ya taasisi

    Habarini za wakati huu! Kumekuwa na utitiri wa taasisi nyingi za ukopeshaji zikiwalenga watumishi wa umma, wakitumia njia mbalimbali kuwarubuni watumishi kukopa ktk taasisi zao huku wakijinadi kuwa mikopo yao ni ya riba nafuu halafu unapata ndani ya masaa 24. Ingawa sijajua wanatoa wapi...
  7. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kushambuliwa kimtandao (Cyberstrike) na kuzuiwa wanaharakati wa Kenya uwanja wa ndege; Watanzania tusimame pamoja

    Matukio mawaili makubwa wiki hili; kuzuiwa wanaharakati wa Kenya (Martha Karua et al) na kushambuliwa kwa akaunti nyeti za mitandao na ku kisha kuchapisha taarifa potofu. Sipendi dhulma na uonevu anaofanyiwa Tundu lakini pia ni utoto kuwapa airtime hawa Wakenya Madhaifu ya serikali ya CCM...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kala Pina alitaka kuwatolea posa wasanii wenzake ambao ni Voice Wonder pamoja na Mr Blue nyakati hizo!!

    Ukizungumzia msanii wa Hip Hop waliokuwa wana matukio ya kushangaza na ukorofi basi huwezi kumuacha Kala Pina mzee wa Kikosi cha Mizinga kutokea pale Kinondoni Block 41. Pina aliwahi kutishia kumtolea posa msanii mwenzake aitwaye Voice Wonder kisa tu anadai alikuwa anabana sauti wakati wa...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zakutana Iraq na kupiga picha ya pamoja siku moja kabla ya Israel kuanzisha operesheni ya kuiteka Gaza.

    Mataifa ya kiarabu yameendelea kujitusi yenyewe kwa kufanya kikao nchini Iraq na kuondoka bila matamo yanayoendana na wakati. Katika mkutano huo wa 34 mataifa hayo yamerudia azimio la kuijenga upya Gaza na kwamba wanapinga kuhamishwa kwa wapalestina kutoka ardhi yao hiyo. Mkutano huo...
  10. Lambo jini

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mwili kuwasha baada ya kuoga pamoja na koo pamoja na masikio kuwashA

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu anasumbuliwa sana na koo na masikio kuwasha pia mwili kuwasha baada ya kuoga. Je tatizo linaweza kuwa ni nini!?
  11. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Siasa za nchi yetu pamoja na wanasiasa wetu wenye tamaa

    Habari jamii Africa. Mmmmh. Poleni wananchi wa Tanzania, Poleni raia wa Tanzania. Lakini poleni zaidi wapenda Mabadiliko wa Tanzania. Mimi ni mmoja wa wapenda Mabadiliko,ambaye sipo upande wowote wa chama,japo kazi zangu naweza jikuta natekeleza ilani ya CCM ila nachojua Mimi nawajibika...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini mabinti huwa hawakomi kwenda kufanya kazi uarabuni pamoja na mateso yote?

    Habari za ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani ni jambo la kawaida sana huko uarabuni ila ajabu ni kwamba mabinti Waafrika huwaambii kitu kuhusu kwenda huko uarabuni kuteseka!
  13. Julius byakuzana

    JamiiForums Tanzania Je, kuomba ajira, NIDA tu inatosha au vyote (cheti cha kuzaliwa) kwa pamoja?

    Je, kitambulisho Cha NIDA kinaweza kuwa mbadala wa cheti Cha kuzaliwa (endapo huna hicho cheti) katika kuomba ajira au vinahitajika vyote kwa pamoja?
  14. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, ukomavu wa kisiasa ni pamoja na kuyakubali mazuri ya CCM

    Moja ya hoja ambayo hivi karibuni CHADEMA wamekuwa wakiitumia kama kete muhimu kujitofautisha na CCM ni uwazi waliokuwanao nao katika uchaguzi mkuu wao. Uwazi wa kiwango kile hata mm ningelipenda kuuona kwenye chaguzi zote za nchi yetu. Ni imani yangu, kwamba kama chaguzi zetu zingekuwa na uwazi...
  15. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiluvya: Eneo la kujinafasi linauzwa pamoja na nyumba - Dar

    • Direction: • Structures: • Facilities: • Plot Terrain: • Plot Survey: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  16. Jan-uary

    JamiiForums Tanzania Kwa mliozaa nje ya ndoa,nipeni faida & changamoto zake, kabla sijafanya maamuzi

    Nilioa mwanamke kwasababu ya shape yake na kimo chake. Kadri nilivyoendelea kuishi naye nikagundua nimeoa kichwa maji,lakini kwakuwa nampenda sana nimeendelea kumvumilia mpaka leo hii,na tumejaaliwa watoto watatu. Kinachonipasua kichwa ni kitu kimoja Watoto wote watatu akili kama za mama yao...
  17. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuruhusiwa watu kwenda kusikiliza kesi ya Lisu : chadema kuna mtego wametegewa! Ngoja niwasanue sasa

    Kama mlivyosikia mahakama hatimaye dakika za jioni kabisa imekubali hoja za mawakili wa Lisu .. Sasa iko Hivi.. Serikali na Sisiemu sio wajinga kukubali mpira uende kati kizembe. Wanakuja na plan B... Kumbuka katika zile amri za mahakama pia ipo ile ya kuwa watulivu na kutofanya fujo aina...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Pamoja na pesa na umaarufu,sura ya Harmonize imegoma kukaa kisupastaa

    Nina rafiki zangu identical twins,walizaliwa wanafanana kila kitu, Ilikuwa ngumu kuwatofautisha Kupanga ni kuchagua,Kurwa aliamua kusoma sasa yupo TRA Doto ni dalali tu mtaani Sasa tofauti yao iko bayana Kurwa anangara maana hapigwi jua maisha yake ni full kiyoyozi Doto kapauka Hawafanani...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje kila jioni unaenjoy chakula na watoto wako ila wewe umehusika bila haki kuwatenganisha baba na watoto wake wasi-enjoy jioni ya pamoja

    AMANI, UTU NA UTULIVU kwa baadhi ya watu ni vitu cheap sana.
  20. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli Pamoja na kuwa Waziri ila watoto wake wote aliwasomesha primary Kayumba. mzee aligoma Jesca kusoma shule za Mabasi ya njano

    Habari wadau. Interview ya mtoto wa magufuli na millard ayo, imeeleza mengi. Binti wa Magufuli amesema baba yao akiwa waziri toka wanazaliwa bado aligoma kabisa watoto wake wote kwenda kuwasomesha kwenye shule za msingi za english medium. Na akawapeleka shule za msingi za Serikali, maarufu...
Back
Top Bottom