ovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Rais Samia unawaonesha kwa vitendo wasemaji wa ovyo ovyo, vizabi zabina

    Akiwa kwenye sherehe ya uzinduzi bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko, Waziri wa Uvuvi amerusha mawe kwa raia wote waliokuwa wanapinga uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam wakidai kwamba kwa uwekezaji ule basi nchi haitoweza kuendeleza bandari nyingine yoyote.Amewaita raia hao vizabina Nanukuu "Wako...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kero: TANESCO Mtwara wanakata kata umeme ovyo!

    Mtwara mjini umeme unakatika hovyo bila taarifa yoyote. Ni siku ya nne sasa toka huu mchezo uanze kufanyika. Tunateseka, baadhi ya vifaa vyetu vinavyotegemea umeme vinaharibika kwa kupata shoti kisa ya umeme kukatika hovyo hovyo. Umeme ukirudi haukai hata unakatwa tena. Tunashindwa kufanya...
  3. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

    Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake? Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kanuni mpya za TFF ni za ovyo kupindukia; wanaendesha mpira kishamba sana!

    Kwa mujibu wa kanuni mpya za TFF, wachezaji binafsi hawapaswi kuwa na mdhamini ambaye ni mpinzani kibiashara wa mdhamini mkuu wa ligi kuu (NBC). Hili ni jambo la ajabu sana. Kwanini kanuni hii ya ajabu imepitishwa? Nionavyo mimi kanuni hii inalenga kuwarudisha nyuma wachezaji kiuchumi na...
  5. JamiiForums Tanzania Hata Hayati Magufuli alilazimishwa na wao wenyewe kuwanyorosha

    Amewapa Pesa za ruzuku ameruhusu mikutano ameahidi kuwapa katiba mpya amewaruhusu kurudi nchin toka mafichoni baadhi wamelipwa malimbikizo yao amekubali Maridhiano. Lakini wapi hawaridhiki, wanamtusi na kumkejeli sasa Imetosha badilikikeni viongozi wazuri kugeuzwa wabaya na watu wenyewe kila ck...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine ni bora hata kutojua maamuzi ya ovyo yanayofanywa na watanzania wenzetu wenye dhamana ya kutuongoza. Inauma sana

    Naandika kwa uchungu sana. Saa nyingine naona hata bora ningekuwa mhadzabe nisijue chochote kinachoendelea kufanywa na wenye mamlaka. Huu ufisadi unaovuja au kusikia kupitia CAG ni sehemu tu ya ufisadi mkubwa uliowahi kufanywa na unaofanywa na baadhi ya watanzania wenzetu wenye dhamana ya...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa wanakera sana , wanachimba ovyo mitaro mtaani kutandaza mabomba yao pasipo ustaarabu

    Marndeleo yasiyo kuwa na mipango ni matumizi mabaya ya pesa! Kuna jamaa hawamalizi kuchimba mitaro mtaani, kila mwaka wana chimba chimbua hata vya maana havionekani! Wanatandaza mabomba yasiyotoa maji kila mwaka! Wananchi maeneo mengi dar hawana huduma bora za maji lakini sahivi kila sehemu...
  8. JamiiForums Tanzania Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

    Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi. Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William...
  9. JamiiForums Tanzania Mawakili katika mkutano mkuu Arusha wasema sasa hawakamatwi ovyo kama enzi ya Magufuli, wamwaga kongole kwa Rais Samia

    #MauaYaSamia Mawakili wasomi wanaokutana Arusha mwaka huu 2023 wamekunwa na sera nzuri na tamu za SSH. Mawakili hao wamesema Sasa wanafanya kazi kwa Uhuru mkubwa na utawala wa sheria umetamalaki. Mawakili hao walionekana kukerwa kabisa na uongozi wa awamu ya tano. Mawakili ni moja ya makundi...
  10. JamiiForums Tanzania Taa za sola za barabarani ni ovyo kabisa

    Katika miaka hii ya karibuni kumekuwa na nia nzuri ya kuipamba miji na kuongeza usalama nyakati za usiku kwa kuweka taa za barabarani. kwa kukosekana umeme wa kawaida wa uhakika taa zilichochanguliwa ni hizi zinazotumia nguvuj za jua. Pamoja na nia hizo nzuri taa hizi zimekuwa ni bomu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kulikoni leo huduma za Simbanking na ATM za CRDB hazifanyi kazi tangu asubuhi?

    Kama heading inavyosema Huduma hizo hakuna kabisa, watu wanahangaika wanataka kutoka pesa kwa ajli ya Eidd, wanadhondwa.
  12. JamiiForums Tanzania Tukomeshe kwanza matusi kwenye Jamii naamini hatutokuwa na Vijana wa ovyo au wazazi wa ovyo

    Hongera sana sana wachaga..matusi mmekomesha watu wamekaa mkao Kilimanjaro. Hii ingetakiwa iwe kila mkoa ingependeza sana.
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Jukwaa kama hili hakuna wazee wa busara maana uku kuna vijana wa ovyo, malezi zero

    Mambo yanabadilika kila kukicha kuhusu malezi, mpaka malezi kubadilika kuna sababu. ..Kipindi cha nyuma malezi yalikuwa bora tena sana japo watoto watukutu hawakukosekana. 👇 Lakini ukichunguza vizuri hao watoto watukutu wanatokea familia za aina gani ? utagundua familia hizo ni za walevi au...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ni Petro wa Pasaka hii kwa kumsingizia mama kuidhinisha malipo ya ovyo serikalini. Zawadi ya Pasaka kwa watanzania ni mama kumtumbua leo hii.

    Mama umesingiziwa hata alipobanwa na spika bado alishindwa kukana kuhusika kwako kuidhinisha malipo serikalini. Katiba ipo wazi wewe siyo muidhinishaki wa mapato serikalini. Kama unakumbatia kuidhinisha upigaji huu basi unakiuka hata Katiba. Wape mbuzi wa Pasaka yatima wetu lakini kwa watanzania...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Vini Jr ni mchezaji wa ovyo kabisa kuwahi kutokea

    Jamaa ni kilaza wa kiwango cha SGR, nashindwa kufahamu anaendelea kupata namaba na kucheza pale Madrid, Kwa kumtegemea yeye Real Madrid wajiandae na miakaa kadhaa bila ya mataji. Dribbling Poor Pass Poor Shoot Accurate Poor Anapenda kujitupa tupa kama mlemavu Anapenda kulalamika na kulilia...
  16. JamiiForums Tanzania Kupiga Honi ovyo au maeneo ya Shule, Mahakamani na Hospitali ni kosa kisheria

    Dereva anatakiwa kutumia honi tu iwapo ni lazima katika kuwaonya watumiaji wengine wa barabara au kuwajulisha kuwa kuna gari nyingie ipo karibu nao. Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973 Kifungu cha 39 (3) Sura ya 168 inawakataza Madereva kutumia Honi katika #Kusalimia, Kuonesha hisia...
  17. T

    JamiiForums Tanzania MORUWASA ndiyo mamlaka ya maji ya ovyo sana Tanzania

    1. Maeneo mengi ya Morogoro mjini hayana maji toka June, 2022 wao wamekaa tu kama hawahusiki. 2. Sehemu zinazopata maji hasa eneo la Bong'ola, maji hayo ni machafu na hayatibiwi. 3. Bili haziakisi kiasi cha maji mteja alichotumia 4. Matatizo ya wateja hayafanyiwi kazi 4. Waziri wa maji...
  18. JamiiForums Tanzania Badala ya kujali kuporomoka kwa maadili tunajali kuvujishwa siri za watu wa ovyo

    Nashangaa sana kiongozi anaposema siri zisivujishwe. Kama kiongozi hataki siri zake zisemwe wapo henchmen wake watahakikisha kwamba siri zake hazisemwi. Lakini haifai kiongozi kwa matatizo yake binafsi, kwa matatizo ya udhaifu wake wa maadili, ashawishike kutunga amri ya jumla, ya kuihusisha...
  19. JamiiForums Tanzania Kwenye vijiwe vya boda boda kuna mambo ya ovyo sana

    Habari za jion Sorry mimi sio mtaalamu sana wa kuandika kiswahili naomba tuvumiliane Naenda direct leo nilikuwa nimeenda sehemu fulani uko wakati na naludi usafiri ulikuwa unasumbua ikabidi nisubilie kwenye kijiwe cha boda boda ndipo nikaaza kuona vimbwanga Boda boda mmoja akawa...
  20. JamiiForums Tanzania Nchi ya ovyo sana hii umeme hakuna, maji yanatoka kwa mashaka

    Nashindwa kuelewa kabisa Yani kwamba kuna mgao wa umeme au laaa. Tangu asubuhi huku Msasani hakuna umeme na hakuna taarifa zozote, hiyo haitoshi Jana maji hakuna leo yapo, umeme hakuna. Sasa haya Maji Sijui yanapandaje Kwenye tenki . Sometimes unashikwa na hasira hakuna shughuli yoyote Maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…