overrated

"Overrated" is a song by English singer Siobhán Donaghy, released as the lead single from her debut studio album Revolution in Me (2003). It was released two years after her controversial departure from girl group the Sugababes. "Overrated" was written by Donaghy, Cameron McVey and Paul Simm, and produced by McVey. It is a guitar-led pop song about the experiences of disappointment and misery. The song received favourable reviews from critics, who praised Donaghy's vocals and McVey's production. The single became her biggest hit to date, reaching the top twenty in the United Kingdom, and achieving chart success in Australia, Ireland, and the Netherlands.

View More On Wikipedia.org
  1. mwehu ndama

    Hayati Julius Nyerere ni sehemu ya matatizo ya sasa Tanzania

    Licha ya kuheshimu mchango wake kwa Taifa , lakini binafsi ninaamini sifa nyingi anazomwagiwa huenda zinazidiwa na makosa yake mengi yakisera na kimfumo wa uongozi aliyoyafanya ikiwa watu tutamuamgalia katika upande mwingine. Kwakifupi mtu huyu ni overrated * Aliruhusu mfumo wa vyama vingi...
  2. mwehu ndama

    Nakazia feisali ni overrated

    Huyu jamaa ukiacha vimashuti uchwara na damu ya kukubalika kama binadamu hakuna mchezaji wa maana pale..ni wale wachezaji wa nyakati kadhaa tu. Mudathiri Yahya , Yahya zaidi, na wengine wengi ni wachezaji wazuri mno zaidi yake
  3. mwehu ndama

    Feitoto ni mchezaji mzuri ila kwa sasa ni overrated

    Binafsi nimeanza kumfuatilia Feisal kama mchezaji tangu akiwa JKU, na kwa kipindi Fulani kama ilivyo kwa wanamichezo wengi ,"Zanzibar finest" aliwahi kuwa katika ubora wa maisha yake (prime period) na hii ilikuwa misimu yake mitatu ya mwisho Yanga na walau ule wakwanza akiwa na azam FC . Na...
  4. ELI COHEN

    IS SEX OVERRATED?

    🍑🥒 Unakuta unaishi maisha roho iko juu juu, wengine wanatembea na vaseline mfukoni kwa maana unajua unatembea na mke wa mtu. Unakuta unanunua malaya ukipiiga tu unaanza kuwaza hela yako ya mfuko wa shati na kulalamikia nafsi yako. Unapangishia mchepuko kisa ana matako makubwa ila matako hayo...
  5. Stuxnet

    Hayo makanisa 2,000 na waumini milioni 4 wa Gwajima wako wapi?

    https://www.youtube.com/live/jINnZ9eLnwE?si=GDIRDB1V7Sl-7kpn Kwenye hotuba yake ya youtube ya leo anadai Serikali imefunga makanisa 2,000 ya Ufufuo na Uzima, na wafuasi wake milioni 4 hawana mahali pa kusali. Kwa mujibu wa majibu ya AI CHATGPT, wafuasi wa madhehebu ya Pentecostal ni kama...
  6. Megalodon

    Israel ni Overrated , na hawana Technology kubwa kama tunavyoamikishwa

    Well, ukiona mtu anafurahi vita juu ya Israel au Iran kupigwa either way kwa sababu za kiimani zenu, ujue wote mnafanya kazi ya Shetani. hakuna anaeweza ku claim ushindi wakati kuna uharibifu pande zote 2. Ishu ni namna Israel wanavyojipambanua Chosen people of God, wana advanced tech kuzuia...
  7. haszu

    Sex is overrated and massage is underrated

    Sex, sio mpango mzima, very chaotic and too much work, massage on the other hand, is very pleasurable and much relaxing. So watoto wa kiume, massage maiichukulie poa, the feelings is something else. So, do less sex, have more massage.
  8. mwehu ndama

    Hennessy ni overrated

    Mara nyingi mwehu ndama Huwa Sina shobo na haya mapombe yenu ya bei mbaya , Lakini kwa kuwa nimeshakuwa mshua , na vumba langu ndani ya chodo linasoma kimtindo basi ushua wangu haujifichi kuanzia kwenye mavazi ,harufu ,chakula n.k..kama wasemavyo waswazi pesa inapoimba Hadi wenye hekima hukata...
  9. E

    Tukiwa wakweli UKIMWI ni Overrated sana

    Muathirika wa UKIMWI akikubali hali na kufuata masharti tu anaishi miaka mingi sana hata ya maisha ambayo ingebidi aishi .kikubwa kuhakikisha kinga yako iko vizuri iwe kwa dawa -ARV plus lishe ..nk Watu wengi wakufa kwa magonjwa kama Presha ,stroke ,Moyo , Sukari,kansa Ajali na Majanga..nk...
  10. E

    Ukiangalia kichapo kinachotolewa na Israel utagundua Russia ni overrated sana

    Israel hana kelele ni kipigo tu Russia kelele Nyingi mara atishie kutumia nyuklia na mambo mengi .. Tunataka atoe kichapo .
  11. Yoda

    Mapishi ya nazi ni overrated sana kwa vyakula vingi

    Samaki, dagaa na maharage vikiwekwa nazi huwa vyakula vizuri vinavyovyutia kula na ladha ya kueleweka. Nazi kwenye vyakula vingine vingi huwa naona overrated sana. Sijui ni nini hasa huwa kinawafanya watu watokwe na udenda au kusifia sana wali nazi, nyama nazi, bamia nazi, kisamvu nazi, tambi...
  12. sanalii

    Iran iko "overrated" lakini ni wa kawaida sana kwenye ulinzi

    kitendo cha kiongozi wa kisiasa wa Hamas kuuwawa tena nchini kwao, kwenye mji mkuu wao, mgeni aliku alikwa na raisi, na wameshindwa kumlinda, inaonesha ni jinsi gani hawako vile watu wanawadhania. Kuna kesi nyingi sana za kuuwawa wanasanyansi wa nyukria wa Iran. Ni wazi kuwa Iran kuna...
  13. W

    Maisha ya Biashara Bongo ni magumu kumaintain, Yapo Overrated kwa kuangalia wachache waliopiga mshindo, nasisitiza ajira serikalini ndio mpango

    Na kama unadhani ajira zenye mishahara midogo serikalini wana maisha magumu (mfano uliozoeleka walimu), basi hujui chochote kuhusu biashara, kuna watu wiki nzima hawauzi chochote, Maduka yanafungwa kila kukicha mtu hawezi lipa hata elf 50 ya frem, kufilisiwa nyumba za urithi kwa kushindwa kulipa...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Mambo mengi ni ya kawaida ila wameyakuza na kuwafanya watu dhaifu kuyaogopa isivyostahili. Usiwe dhaifu

    MAMBO MENGI NI YAKAWAIDA ILA WAMEYA- OVERRATED NA KUWAFANYA WATU DHAIFU KUYAOGOPA ISIVYOSTAHILI. USIWE DHAIFU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kama ni msomaji wa makala zangu utagundua kuwa moja ya mambo ninayoyarudia ni pamoja na suala hili la uongo wa makusudi unaovumishwa ili kuathiri...
  15. Superficial

    Sioni sababu ya Mainoo kuwa overrated kiasi hiki na Man UTD

    Kusema kweli huyu dogo mainoo wa Man UTD wamezidi kum overrate mpaka inafika stage unajiuliza kwa kipi alichofikisha au ku achieve. Sasa nilikuwa najiuliza je ingekuwa cole pamer angekuwa man utd na kwa performance ya namna hii msimu huu situngemkuta adi kwenye billboards aisee😂😂 Ila kiukweli...
  16. MFALME WETU

    Pesa iko overrated

    kila kitu kina thamani kama hauna. Kipindi nipo mdogo nilikua na imagine the way ntavokua naspend nikipata hela kama kujenga jumba la kifahari, kudrive ndinga kali, kubadili wanawake na safari nyingi za nje ya nchi zisizoisha but guess what? things turned out to be against my imagination. Hizi...
  17. Samia atosha tukutane2030

    Wanawake hamna maajabu, tunatumia pesa nyingi bure!

    Mimi kama kawaida, niko upande wa wanaume na katu siachi kuwasanua wanaume wenzangu juu ya utapeli wa kingono. Hakuna maajabu. Nimefanya tendo la ndoa na wanawake wengi nimegundua kuwa hakuna jipya, wanawake ni overrated. Ukimwaga ndio utajua hili ninalolisema. Tunatumia pesa nyingi kuwinda...
  18. ndege JOHN

    Supu is overrated

    Supu ya nyama ina nini cha ziada Mimi naona kama ni maji tu,unakuta mtu anakunywa mapombe too much akiamini supu yenye kakipande kamoja cha nyama inasaidia kutibu madhara ya pombe alizokunywa. At least Ki dogo iwe supu nzito yenye viazi, karotihohonyama pc 5 ila sio supu hizi za uswahilini za...
  19. Championship

    Tunduma iko overrated, haipaswi kufananishwa na Mafinga wala Kahama

    Nimefika Tunduma jana nikashangaa sana imekuwaje hii sehemu ikafananishwa na eneo kama Kahama. Tunduma haifiki hata nusu ya Mafinga. Huu mji upo too local na umejengwa kiholela. Nyumba nyingi ni duni sana. Naweza kusema pia Mafinga ni robo tatu ya Kahama maana angalau pale pana viwango.
  20. badison

    Jeshi la Marekani Hamna kitu zimebaki sifa tuu in short US military is overrated

    Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk. Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda...
Back
Top Bottom