overrated

"Overrated" is a song by English singer Siobhán Donaghy, released as the lead single from her debut studio album Revolution in Me (2003). It was released two years after her controversial departure from girl group the Sugababes. "Overrated" was written by Donaghy, Cameron McVey and Paul Simm, and produced by McVey. It is a guitar-led pop song about the experiences of disappointment and misery. The song received favourable reviews from critics, who praised Donaghy's vocals and McVey's production. The single became her biggest hit to date, reaching the top twenty in the United Kingdom, and achieving chart success in Australia, Ireland, and the Netherlands.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Messi ndie most overrated Player ever

    Kwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa. Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di Maria? Kwa kipi kilichomfanya awe mchezaji bora wa mashindano? Vyombo vya habari vya Magharibi ni ovyo...
  2. zitto junior

    Je, CCM na TISS wanakuzwa nguvu zao kuliko uhalisia (Overrated)?

    Kumekuwepo na propaganda ya miaka mingi kuwa CCM inajua kuandaa na kulea viongozi sio tu ndani ya nchi mpaka nchi jirani (Enzi za Mwalimu) nakumbuka hta Mhe.Polepole alisema wana master plan ya kuongoza nchi mpaka 2075!! Kinachonishangaza toka Mama SSH aingie madarakani ni kama vile CCM...
  3. Vawulence

    Djuma ni overrated player

    Jana kwa mara ya kwanza nilitazama mechi baina ya Yanga na Ruvu. Nilimtazama kww makini mchezaji Djuma Shaban aliyesajiliwa kwa mbwembwe na kuwekwa kurasa za mbele za magazeti. Kusema kweli hana maajabu hata kidogo. Anapoteza mipira kizembe sana, hana utulivu mchezoni. Mwanzo...
  4. isajorsergio

    List ya wachezaji mpira overrated

    Habari 👋🏾 Kumekuwa na wimbi la wachezaji wa soka wanaopewa uwezo ambao kiuhalisia hawana na mara nyingi wanakuzwa na waandishi wenye mawazo hasi na vyombo vya habari vilivyojijenga katika propaganda. Tafiti ndogo niliyofanya inaonyesha wachezaji kuwa overrated hutokana na chuki dhidi ya klabu...
  5. Stephen Ngalya Chelu

    Ni chakula, tunda au kinywaji gani unaona kipo overrated/underrated?

    Kwa upande wangu, Underrated Makande: Nimekuwa nikiona watu wakiyadharau sana makande eti kwamba ni chakula cha ajabu ila kwa mimi naona makande hayapewi heshima inayostahili. Jamii zote za makande kama; makande njugu, makande maharage zina mabalaa yake. Halafu itokee siku hiyo likachanganuwa...
Back
Top Bottom