out

  1. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026.

    Huenda ni mtoto wako, au wewe mwenyewe unataka kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kwa ngazi ya; 1. Shahada ya awali (Bachelor's Degree) au, 2. Shahada ya Umahiri (Master's Degree) au, 3. Shahada ya Uzamivu (Doctor of Philosophy - PhD). Hata hivyo unatamani kufahamu zaidi...
  2. JamiiForums Tanzania Eminem alimchana sana Mama yake kwenye hii ngoma ya 'Cleanin Out My Closet' akionesha Dunia chuki ya wazi kwa Bi Mkubwa ambaye alikuwa mzinguaji enzi

    Wakati Dr. Dre anapelekewa Eminem ili amsaini, alimshangaa, hakuwa akiamini kama Mzungu huyo angeweza kuchana kama watu weusi lakini alipomsikiliza, sasa akawa na uhakika alimpata mwamba, mtu aliyekuja kuwa na ukubwa usio wa kawaida. Huyu Eminem hakuwa na mahusiano mazuri na mama yake kama...
  3. JamiiForums Tanzania 4BEDROOMS TU CHECK OUT THIS SPECIOUS DESIGN +255624004650 DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  4. JamiiForums Tanzania Siasa hazitulipi, life is real out here!

    Yaani bro, let’s keep it 100—sio kwamba hatujui kinachoendelea kwenye hii nchi, au hatujali siasa… we know everything, tupo macho, but truth be told hatuna muda na hizo stress. Life yenyewe ni ngumu kinoma, tunaibeba kichwani daily, halafu unataka tuongeze na stress za siasa juu? Hell no bro...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Good, intellectual and acceptable funeral speech aired out by the pontiff office

    Kardinali Kevin Farrell, Camerlengo wa Chumba cha Kitume, ametangaza kifo cha Papa Francis kutoka Casa Santa Marta kwa maneno haya: “Ndugu wapendwa, kwa huzuni kubwa ninapaswa kutangaza kifo cha Baba Mtakatifu Francis kilichotokea Saa 1:35 asubuhi hii, Askofu wa Roma, Francis, amerudi kwa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania "Soon u will find out who is the real revolutionary..." Prophet Bob Marley

    when Bob got the invitation to Zimbabwe Independence celebration he contacted his two brothers to join him and they both chickened out...
  7. JamiiForums Tanzania Wekeni picha za wapenzi wenu hapa, mtakao toka nao leo 'out'

    Wekeni picha za wapenzi wenu hapa, mtakao toka nao leo 'out' kutokana na kusherehekea hii sikukuu, tuone kama wana vigezo au laa. Tunajua ni chaguo lako, awe ni mrefu, mfupi, mnene, mwembamba n.k; lakini ni muhimu pia kupongezana. Ata kama anaonekana kama mzazi wako, na ana makunyanzi; huyo...
  8. JamiiForums Tanzania Unaeneo dogo ? Na unahitaji nyumba kali

    4BEDROOMS PLOT SIZE 15X20M CALL US TO GET YOUR DESIGN +255624004650
  9. JamiiForums Tanzania Sishauri mtu kusoma PhD OUT

    Katika makosa niliyofanya katika maisha ni kujiunga na masomo ya PhD pale Open University of Tanzania. Ningelijua ningeeda UDSM. Kwa matatizo ninayopitia sishauri mtu akasome PhD pale OUT. Chamgamoto nilizopitia ni kama ifuatavyo: 1. Supervisor kutojibu email zangu au hata sms kwa zaidi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Wakongwe wa hii platform JF mkuje na shout out kwenu

    Salamu wakubwa jaman nilikua na survey Kuna member since 2007 ndo natambaa sijui ila ivi mnajuaga kama Kuna watu wamepotea, au hatupo nao Tena ila muendelee kutupa madini nawaheshimu viongozi muendelee kuepo 💯.
  11. JamiiForums Tanzania Leo tutoke Out kidogo

    Hellow Leo hatupiki leo tunatoka out kidogo kusafisha macho Kwanza nilianzia kanisani kubugujika kidogo baada ya hapo nikawa nawaza kichwa kizito so niende sehemu ya karibu na hapa nikaona ni cape town sehemu yangu pendwa Nikawa natuliza akili mm situmii pombe kabisa nikaagiza moctail...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Trump akimwambia Paul Kagame out, Ni dhahiri nchi zetu si lolote kwa Kagame?

    Tarifa iliyopo huko X (Twitani) ni kwamba, muda wowote PK ataanza kuchezea vikwazo na ama kufurushwa kabisa ikuluni na hawa walezi wa dunia hii Swali ni kwamba, nchi za Africa haziwezi kabisa kuadabishana mpaka tuingiliwe na watu dunia ya mbaali huko? Kama ndivyo, Je, Africa inaouwezo sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayesoma diploma ya Procurement and supply chup kikuu huria OUT.

    Habari za wakati huu wana jamiiforum, Rejea kichwa cha Habari hapo juu ni kwamba Nina tafuta mtu anayesoma katika Chuo Kikuu huria OUT, kozi ya procurement and supply ngazi ya Diploma lakini pia kama Kuna mtu utakuwa unamfahamu na hayupo humu basi waweza niunganisha naye PM ipo wazi,Ahsante.
  14. JamiiForums Tanzania Zimbabwe no way out

    This is happening in Zimbabwe 🇿🇼
  15. JamiiForums Tanzania Trump unveil exploit done by mobile company! Out of the will.

    Tell Kenyan company!
  16. JamiiForums Tanzania Wakuu nilisema simtoi out nibane matumizi Sasa katika nguvu zote zimeisha

    😂😂😂nikija kulia mnipokee wakuu huenda nimepigwa dawa Safari Longoni beach
  17. JamiiForums Tanzania Namna nilivyopambana na Kampuni Binafsi ya Bima Ya Afya na kuwapiga Knock Out kwa msaada wa Ofisi ya Msuluhishi wa Migogoro ya Bima (TIO)

    Igweeee wananzengo, Leo napenda ku-share uzoefu wangu na moja ya kampuni binafsi za bima ya afya hapa Tanzania ambayo walikataa kabisa kulipia matibabu ya mke wangu, ikiwemo upasuaji, huku wakitoa sababu ambazo zipo kinyume kabisa na mkataba wangu kati yao. Pia, nilipojaribu kuwasiliana nao...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Bajaj na Pikipiki hazina "number plates" kwa mbele kama magari? I'm just asking out of curiosity

    Mambo vp wadau wa JF. Ninaomba kuelimishwa kwa maana elimu haina mwisho. I'm just asking this out of curiosity (Curiosity once killed the 🐈 cat) Je, ni takwa la kisheria au ni uamuzi tu wa watu wachache kwa maana Magari, Bajaj na Pikipiki vyote ni vyombo vya moto.. ~ SIPENDI SIASA ~
  19. JamiiForums Tanzania Mwanaume bora lazima umtoe out mkeo na kumnunulia zawadi. Haiwezekani mwaka mzima hujafanya hivyo!

    MWANAUME BORA LAZIMA UMTOE OUT MKEO NA KUMNUNULIA ZAWADI. HAIWEZEKANI MWAKA MZIMA HUJAFANYA HIVYO. HUO NI USHENZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Siku 365 na masaa kadhaa Mkeo na watoto wapo nyumbani kama gereza la Kinguruila. Kila siku kupika chakula hapo nyumbani huyo Mkeo hachoki tuu...
  20. JamiiForums Tanzania Knock out ya mama: bondia wa Tanzania ameshinda.

    Lakini I am not very impressed. Raundi ya mwisho ilibidi refa apumzike nukta chache kumuuliza bondia wa Tanzania kama anataka kuendelea
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…