out

  1. P

    JamiiForums Tanzania Out grower Schemes: Sasa kilimo Tanzania ni mwendo wa mikataba tu vijana kama mnataka mali mtazipata shambani njooni tulime

    ||| Mpango wa Outgrower hujulikana pia kama mipango ya wakulima washirika ni mpango wa kilimo ambapo wakulima wadogo wanaingia kwenye makubaliano ya mkataba na kampuni kubwa ya biashara au kiwanda kinachojulikana kama mnunuzi mkuu au off-taker. Wakulima hupanda mazao au kufuga wanyama kwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Murtaza Mangungu na Engineer Hersi OUT

    Habari ndio hiyo, Mangungu na Hersi wamepigwa chini Simba oyeee
  3. Hharyson

    JamiiForums Tanzania 3BEDROOMS DESIGN AND BUILD FROM US ,CHECK OUT HOW WE TURN THESE BEAUTIFUL DESIGN INTO REALITY CALL US FOR MORE +255624004650

    THIS DESIGN HAVE 3BEDROOMS (MPAKA KUPAUA 40M) 1. SPECIOUS LOUNGE 2.DINING OPEN TO LOUNGE 3.KITCHEN OPEN TO DINING 4.STORE 5.2SELF BEDROOMS 6.SPECIOUS M/BEDROOM WITH CLOSET AND BIG BATHROOM PLOT SIZE 20X30M
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Shout out kwa Godfrey Steven kwa kuendelea ku-prove yeye ndio msanii bora wa gospel ya kisasa

    Ahitaji kumix sebene na gospo au kuvaa kama muimba singeli, ila muziki flani tulivu wenye ubunifu bil kukimbia nadharia nzima ya uzima https://youtu.be/gtVvOnjovEs?si=c1KaQ_JVY1XQbppI
  5. PLOII

    JamiiForums Tanzania Wana ccm ni muda wa kuamka kupambania chama hizi surprise za watu kupewa nafasi out of nowhere big no

    Hello wana Jamii, Niende kwenye Mada/ Kero. Nauliza maswali Kwa hawa viongozi wetu wa Chama hivi Wana- CCM mnawachukuliaje ? Kuna watu wanakula Upinzani wakiona hakuna Maisha wanakimbilia CCM na inaonekana wana bahati Sana kuliko Wana CCM wenyewe maana wakifika wanapewa vyeo na nafasi za...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Arusha wazuri sana kuwatoa out, hawafeki maisha, wanagonga "nyeupe" kwa uhuru sio visavana, hawana tabia za kumkomoa mtoaji

    Pisi kibao za Dsm na mikoa mingi ukizitoa out huwa ni kama umempa mtoto atm card atumie kwa siku moja, matumizi yao yapo rafu na kikomoaji kununua vinywaji ghali na mavyakula ya bei hadi vya kupeleka nyumbani, atawaita pia marafiki zake ambao ni wazoefu wa kudandia out za wenzao na ni makonkodi...
  7. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026.

    Huenda ni mtoto wako, au wewe mwenyewe unataka kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kwa ngazi ya; 1. Shahada ya awali (Bachelor's Degree) au, 2. Shahada ya Umahiri (Master's Degree) au, 3. Shahada ya Uzamivu (Doctor of Philosophy - PhD). Hata hivyo unatamani kufahamu zaidi...
  8. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Eminem alimchana sana Mama yake kwenye hii ngoma ya 'Cleanin Out My Closet' akionesha Dunia chuki ya wazi kwa Bi Mkubwa ambaye alikuwa mzinguaji enzi

    Wakati Dr. Dre anapelekewa Eminem ili amsaini, alimshangaa, hakuwa akiamini kama Mzungu huyo angeweza kuchana kama watu weusi lakini alipomsikiliza, sasa akawa na uhakika alimpata mwamba, mtu aliyekuja kuwa na ukubwa usio wa kawaida. Huyu Eminem hakuwa na mahusiano mazuri na mama yake kama...
  9. Hharyson

    JamiiForums Tanzania 4BEDROOMS TU CHECK OUT THIS SPECIOUS DESIGN +255624004650 DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Siasa hazitulipi, life is real out here!

    Yaani bro, let’s keep it 100—sio kwamba hatujui kinachoendelea kwenye hii nchi, au hatujali siasa… we know everything, tupo macho, but truth be told hatuna muda na hizo stress. Life yenyewe ni ngumu kinoma, tunaibeba kichwani daily, halafu unataka tuongeze na stress za siasa juu? Hell no bro...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Good, intellectual and acceptable funeral speech aired out by the pontiff office

    Kardinali Kevin Farrell, Camerlengo wa Chumba cha Kitume, ametangaza kifo cha Papa Francis kutoka Casa Santa Marta kwa maneno haya: “Ndugu wapendwa, kwa huzuni kubwa ninapaswa kutangaza kifo cha Baba Mtakatifu Francis kilichotokea Saa 1:35 asubuhi hii, Askofu wa Roma, Francis, amerudi kwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania "Soon u will find out who is the real revolutionary..." Prophet Bob Marley

    when Bob got the invitation to Zimbabwe Independence celebration he contacted his two brothers to join him and they both chickened out...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wekeni picha za wapenzi wenu hapa, mtakao toka nao leo 'out'

    Wekeni picha za wapenzi wenu hapa, mtakao toka nao leo 'out' kutokana na kusherehekea hii sikukuu, tuone kama wana vigezo au laa. Tunajua ni chaguo lako, awe ni mrefu, mfupi, mnene, mwembamba n.k; lakini ni muhimu pia kupongezana. Ata kama anaonekana kama mzazi wako, na ana makunyanzi; huyo...
  14. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Unaeneo dogo ? Na unahitaji nyumba kali

    4BEDROOMS PLOT SIZE 15X20M CALL US TO GET YOUR DESIGN +255624004650
  15. econonist

    JamiiForums Tanzania Sishauri mtu kusoma PhD OUT

    Katika makosa niliyofanya katika maisha ni kujiunga na masomo ya PhD pale Open University of Tanzania. Ningelijua ningeeda UDSM. Kwa matatizo ninayopitia sishauri mtu akasome PhD pale OUT. Chamgamoto nilizopitia ni kama ifuatavyo: 1. Supervisor kutojibu email zangu au hata sms kwa zaidi ya...
  16. Anastasia21

    JamiiForums Tanzania Wakongwe wa hii platform JF mkuje na shout out kwenu

    Salamu wakubwa jaman nilikua na survey Kuna member since 2007 ndo natambaa sijui ila ivi mnajuaga kama Kuna watu wamepotea, au hatupo nao Tena ila muendelee kutupa madini nawaheshimu viongozi muendelee kuepo 💯.
  17. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Leo tutoke Out kidogo

    Hellow Leo hatupiki leo tunatoka out kidogo kusafisha macho Kwanza nilianzia kanisani kubugujika kidogo baada ya hapo nikawa nawaza kichwa kizito so niende sehemu ya karibu na hapa nikaona ni cape town sehemu yangu pendwa Nikawa natuliza akili mm situmii pombe kabisa nikaagiza moctail...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Trump akimwambia Paul Kagame out, Ni dhahiri nchi zetu si lolote kwa Kagame?

    Tarifa iliyopo huko X (Twitani) ni kwamba, muda wowote PK ataanza kuchezea vikwazo na ama kufurushwa kabisa ikuluni na hawa walezi wa dunia hii Swali ni kwamba, nchi za Africa haziwezi kabisa kuadabishana mpaka tuingiliwe na watu dunia ya mbaali huko? Kama ndivyo, Je, Africa inaouwezo sasa...
  19. euca

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayesoma diploma ya Procurement and supply chup kikuu huria OUT.

    Habari za wakati huu wana jamiiforum, Rejea kichwa cha Habari hapo juu ni kwamba Nina tafuta mtu anayesoma katika Chuo Kikuu huria OUT, kozi ya procurement and supply ngazi ya Diploma lakini pia kama Kuna mtu utakuwa unamfahamu na hayupo humu basi waweza niunganisha naye PM ipo wazi,Ahsante.
  20. Damaso

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe no way out

    This is happening in Zimbabwe 🇿🇼
Back
Top Bottom