ORODHA YA WATU AMBAO HATA WAKIKUKOSEA HUWEZI KUSHINDANA NAO ZAIDI YA KUMUACHIA MUNGU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kuna watu kwenye hii dunia wamepewa mamlaka makubwa mno. Wanaweza kukufanya Jambo lolote lakini wewe usiwe na chochote cha kuwafanya. Mara nyingi watu hawa unashauriwa uende...
Rais Ruto yumo katika hatari ya kujichafua akikubali shinikizo la vikaragosi wake kuondondoa vipindi vya urais.
Pendekezo la mbunge wa UDA la kubadilishwa kwa Katiba ili kuondoa vipindi viwili vya urais linamwekea mtego Rais Ruto wa kuingia katika orodha ya marais wa Afrika ambao wamekatalia...
Wanufaika wapya wa Mkopo zaidi ya elfu 20 HESLB 2022/2023 | Majina ya Waliopata Mkopo
Habari njema kwa waombaji wote wa mkopo wa HESLB, Allocation ya mkopo bechi ya kwanza sasa inapatikana mtandaoni kuangalia allocation ya mkopo Tembelea Tovuti ya HESLB ya Maombi ya Mikopo na Mfumo wa...
Habari wanaJF
Nilikuwa napitia kitabu cha TCU cha "Postgraduate Guidebook", Nikaona kuna baadhi ya vyuo kama CBE, TIA, IIA n.k ambavyo ni vya serikali na vinatoa hadi elimu ngazi ya Masters lakini kwenye kitabu hicho.
Hii inamaanisha hizo kozi hazitambuliki na TCU? Au TCU wamevisahau...
KINANA ASHAURI MSCL KUJIENDESHA NA KUFIKIRI KIBIASHARA ZAIDI,
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Kinana ameishauri Kampuni ya huduma za meli nchini Marine Service Company Limited kujiendesha na kuanza kufikiri kibiashara ikiwemo kuomba dhamana za...
Mourinho kafukuzwa mara mbili na Liverpool...jumla wanafika 6 sasa...hatari sana
1. Jose Mourinho -chelsea, Man U
2. Marco Silva - Everton
3. Fransesco Guidolin - Swansea
4. slaven bilic -west ham
5. slavisa Jokanovic -Fullham
6. scott Perker -bournemouth...
Hii list itaongezeka Tu Nani...
Mataifa ya Magharibi yameendelea kutoa msaada kwa Jeshi la Ukraine ili liweze kujikwamua dhidi ya mashambulizi ya Urusi. USA ameonekana kuwa kinara huku hata nchi zenye uchumi mdogo kama Poland ikitutumua
FUATILIA HAPA
Ukraine weapons: What military equipment is the world giving?
By David...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
ORODHA YA MASWALI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022
Maswali yote ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanatakiwa kujibiwa na Mkuu wa Kaya husika, isipokuwa MASWALI YA HALI YA UZAZI kuanzia swali Namba 67 hadi 71 ambayo yanatakiwa yajibiwe na mwanamke...
Ni Rais ghani Afrika anayepokea mshahara mkubwa kuliko wote Afrika , kwa mujibu wa mtandao wa Africa business , walichapisha chapisho la viongozi wa Afrika wanaopokea mshahara mrefu kuliko wote, ambapo wengi wa viongozi hao wana utajiri wao binafsi ukiachana na uongozi.
Ambapo kipindi cha...
Mlemhala bhabha? Habarini wakuu?
Timu za taifa ambazo sijawahi kuzipenda, na wala haitatokea nizipende abadan.
1 Israel
2 Brazil
3 USA
4 South Africa
5 England, though akikutana na hao wa4 nitashabikia England.
Klabu nisizozipenda ni,
1 Liverpool
2 Real Madrid
3 Man u
4 Chelsea
5 Arsenal
6...
Kama kuna idara au taasisi au mtu binafsi mwenye Orodha tajwa hapo juu aiweke hapa tafadhali.
Kukosekana kwake kutaonyesha ni jinsi gani serikali haina database ya watumishi hapo na ni moja ya Kada alizosema Waziri Mkuu inalipwa mishahara mikubwa ila Idadi na Majina yao hayajulikana na mtu au...
ORODHA YA WATU WANAOJIONA WAJANJA NCHI HII!
Anaandika, Robert Heriel!
Nchi hii inamambo Sana. Leo sina mengi ya kusema, nijikite kwenye Uzi.
Ifuatayo ni orodha ya Watu wanaojiona ni wajanja na Werevu.
1. Wasanii wa Muziki, BongoFleva
Kundi hili ndilo linaongoza Kwa kudhani kuwa wao ndio...
Kiungo Mkenya na nahodha wa Montreal Impact, Victor Wanyama ni mmoja wa wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa katika Major League Soccer (MLS).
Wanyama anaingiza Dola milioni 3.09 (Tsh. Bilioni 7) kwa mwaka ambapo mshahara ni Dola milioni 2.4 (Tsh Bilioni 5.5) akiwa ndiye mchezaji anayeingiza...
Tovuti inayofuatilia muenendo wa biashara katika nchi za Afrika imetoa orodha ya nchi kumi za Afrika ambazo zinavutia zaidi kufanya uwekezaji kwa Mwaka huu.
Katika orodha hiyo Misri inashika nafasi ya kwanza kama nchi kivutio kwa uwekezaji barani Afrika. Sambamba na hilo nchi ya Rwanda na...
Inasikitisha sana matumizi ya silaha yanavotumika vibaya.
Kwa sasa huko Marekani msiba mzito kwao:
Hii ndio list:
Xavier Lopez, 10. He was a 4th grader at Robb Elementary
Uziyah Garcia, 10. He was in 4th grade.
Eva Mireles.
Nevaeh Bravo. She was in 4th grade
Irma Garcia
Amerie...
Lionel Messi anaongoza kundi la watu ambalo kwa pamoja wamekuwa wakijipatia zaidi ya $990m katika miezi 12 , huku kiwango cha kuwania nafasi hiyo kikipanda zaidi ya ilivyokuwa awali.
Lionel Messi alikuwa na umri wa miaka 17 alipoanza kushiriki katika kikosi cha kwanza cha timu ya Barcelona ...
Nasikia watafunguka mengi. Na hawa ndio wataweka mambo hadharani
👇
1. Job Ndugai huyu atafunguka mengi maana inasadikika namna alivyog'olewa ni sababu alitaka kuleta kauzibe kwa wapiga madili.
2. Luhaga Mpina huyu atafunguka mengi sana huko mbeleni na hali ya hewa itachafuka.
3. Dk . Bashiru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.