Orodha ya timu nisizozipenda na haitatokea nizipende abadan

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
6,324
5,934
Mlemhala bhabha? Habarini wakuu?

Timu za taifa ambazo sijawahi kuzipenda, na wala haitatokea nizipende abadan.

1 Israel
2 Brazil
3 USA
4 South Africa
5 England, though akikutana na hao wa4 nitashabikia England.

Klabu nisizozipenda ni,
1 Liverpool
2 Real Madrid
3 Man u
4 Chelsea
5 Arsenal
6 Mamelody
 
Hahahaha asa israel Ana timu gani ya maana

Mimi sipendi na siji kuipenda nyau fc

Timu ya taifa ikiwa na nyau wengi pia huwa naombea ipigwe kipigo cha mbwa koko
Tangu mchapike 4-1 inaonekana kile kipigo kiliacha madhara mengi ambayo yanaishi hadi leo

Siku ambayo mtaamua kukubali kuwa wadogo na ku let bygones be bygones nahakika utabadili hiyo avatar
 
Tangu mchapike 4-1 inaonekana kile kipigo kiliacha madhara mengi ambayo yanaishi hadi leo

Siku ambayo mtaamua kukubali kuwa wadogo na ku let bygones be bygones nahakika utabadili hiyo avatar
Ivi ile 4-1 ndo mlitoaga uongo ya dolla 10,000 kwa morison baada ya kuwa aliwachapa cha mkwezi
 
Mlemhala bhabha? Habarini wakuu?

Timu za taifa ambazo sijawahi kuzipenda, na wala haitatokea nizipende abadan.

1 Israel
2 Brazil
3 USA
4 South Africa
5 England, though akikutana na hao wa4 nitashabikia England.

Klabu nisizozipenda ni,
1 Liverpool
2 Real Madrid
3 Man u
4 Chelsea
5 Arsenal
6 Mamelody
Tutajie na unazozipenda ili tuweze kuchangia vizuri.
 
Back
Top Bottom