original

  1. R

    Msaada, natafuta professional microphones za shure original hapa dar

    Habari zenu wakuu, ninatafuta professional wireless microphone za shure original kabisa kariakoo sijaona anaeuza wengi wanauza shure za kichina, kuna yeyote anaeziuza hapa tanzania? na kwa wazoefu wa hizi mic ni frequency zipi ni nzuri kwa bongo mana kuna h9(512-542Mhz) h10(542-572Mhz)...
  2. R

    Msaada, natafuta mic original za shure hapa dar

    Habari zenu wakuu, ninatafuta professional wireless microphone za shure original kabisa kariakoo sijaona anaeuza wengi wanauza shure za kichina, kuna yeyote anaeziuza hapa tanzania? na kwa wazoefu wa hizi mic ni frequency zipi ni nzuri kwa bongo mana kuna h9(512-542Mhz) h10(542-572Mhz)...
  3. M

    Nimekutana na Spark plugs Denso iridium sindano elfu 10 Kila moja maeneo ya Kigamboni je hizi Zitakuwa original kweli

    Habari wadau Jana Nimekutana na Spark plugs Denso iridium sindano elfu 10 Kila moja maeneo ya Kigamboni je hizi Zitakuwa original kweli
  4. JanguKamaJangu

    Dkt. Mwigulu Nchemba aunga mkono ununuzi wa jezi halisi (original), anunua jezi 200 za Simba

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameunga mkono kampeni ya kununua jezi halisi (original) za timu ya Simba SC, akitoa rai kwa wapenda soka wote kuepuka jezi bandia (feki). Dkt. Mwigulu ameunga mkono kampeni ya kuhamasisha mashabiki kukataa jezi feki na kununua orijino kwa kununua jezi 200...
  5. ELI COHEN

    Hii ndio ilikuwa original bongoflava, vijana waliumiza kichwa sana but all for nothing

    Maudhui yalikuwa bongo flava ila kila mmoja alikuja na style yake kupelekea wawe authentic na kitu walichotoa na sisi wapokeaji tulipata vitu quality ambavyo hadi hatutakaa kusahau. WIMBO UNAUKUMBUKA SANA? https://youtu.be/i-qPIcfoOwA?si=-mI_dTpLqlR3WXvA...
  6. K

    MASHINE ORIGINAL YA KUNYOLEA NYWELE YA KUCHAJI (wireless)

    Habari wana jukwaa, ninahitaji kununua mashine ya kunyolea nywele. Ipi ni bora? Kampuni gani? Nawezaje kutofautisha mchina na OG...nimeona baadhi KEMEI 2299, 2293... kiufupi niko hapa kuelimishwa ili nipate kilicho bora.
  7. ELI COHEN

    Penzi la binti alie mwembamba lipo genuine na original kuliko penzi la tipwa tipwa

    Kosa tipwa tipwa ajue unababaika kuhusu yeye Au ajue maisha yako ni ya kuunga kuunga Au ajue wewe ni mnyonge utapelekeshwa balaa mnoo kama gari taka. Naona kila siku mabinti wembamba ndio wanaolewa na unene wanaenda kuupatia ndoaani na hata wakiwa wanaoelewa wakiwa wanene hauwezi kuta wana...
  8. Davidmmarista

    Hivi wadau hivi vitu used vya Chris Lukosi ni original na vipo vizuri?

    Mdau uliyewahi kununua vitu used kutoka kwa Chris Lukosi tupe ushuhuda
  9. C

    Nauza earpods orijino

    Wireless Version : V5. 3Wireless profiles : A3DP/HFP/BSP/AVRCPTransmission Distance: 10MCharging Time:2 hoursStandby: 280 hoursMusic Play: about 5 hours (Earbuds)Output: 5V—1A PRICE/BEI: 7,000 Location: Kinondoni Phone: 0715610101 Free Delivery Kuanzia 100pcs Bei inapoa kidogo na Tunatuma Popote...
  10. Yoda

    Naweza kupata wapi vitabu original vya Torati, Zaburi na Injili ambavyo havijapotoshwa/kuchakachuliwa?

    Inasemekana kwamba hivi vitabu vya sasa vya Taurat, Injil na Zabur wanavyotumia Wakristo ni nakala zilizopotoshwa na kuchakachuliwa na wajanja kwa kuingiza mambo yao. Ni wapi vinakopatikana vitabu original/halisi ambavyo havijachakachuliwa au kupotoshwa?
  11. Royal Son

    ORIGINAL INFINIX BUDS LITE

    Sauti Safi na Basi Nzito: Vina spika za 13mm zinazotoa sauti yenye uwazi na basi yenye nguvu, inayofaa kwa wapenzi wa muziki. ✅ Uondoaji wa Kelele kwa Simu (AI ENC): Teknolojia ya AI ENC inahakikisha mawasiliano ya simu ni wazi hata katika mazingira yenye kelele. ✅ Muda Mrefu wa Betri: Hutoa...
  12. Ommy 7

    Phone4Sale Nauza nokia 106 rejareja na jumla

    Nauza nokia 106 kwa tsh24,000 bei ya rejareja na jumla tsh18,000 tupapatikana dar mikoani tunatuma pia +255682697124 Tunapatikana Dar-Mikocheni. Mikoani tunatuma na Dar delivery pia ipo ni juu ya mteja. Karibuni
  13. M

    Samsung A35 original kwa dar wapi ntapata

    Wakuuu nakuja kwenu nataka kununua sumsang A35 oringal full box,Niko dar maduka Gani wanauza samsung original
  14. Ndebile

    Zawadi Yangu Kwenu: Kitabu Original Sin: President Biden's Decline, Its Cover-Up, and His Disastrous Choice to Run Again

    Kama Li Nchi lenye nguvu kubwa kichumi, kijeshi, kiintelijensia, kijeshi, kidemokrasia nk., "Wahuni" waliweza kumpachika madarakani Rais wa kuiongoza nchi huku wakijua kuwa AFYA yake kiakili na kimwili ni dhoofu, ila kwa maslahi yao wakampitisha. Je Hali hii haiwezi kutoka huku kwetu? Weekend...
  15. Mributz

    Heater original zinauzwa

    0718909429 Dsm
  16. Nyaubikra

    Miamvuli gani original inaweza kukaa muda mrefu katika misimu miwili ya mvua?

    Ndugu katika mapambano. Leo jumatatu nimestuka saa tisa usiku naona mvua ipo kidogo nimejilaza naamka saa 11 mapema haijapoa. Nimeshindwa kutoka mpka naandika huu Uzi hapa na nmesogea nilipo weka mwamvuli Toka mwaka jana nmeufungua vyuma vyote vimeachia Kwa kutu. Nyie mnanunua miamvuli gani...
  17. Zekoddo

    Nahitaji Fast charger original

    Wakuu,,, Sasa nimechoshwa na haya machaja Uchwara, Simu unachaji masaa masaa 6 bado haijai. Nisaidie Original &Fast charger kwa brand yoyote kikubwa Iwe genuine and fast na alama muhimu kuwa ni Original.. my Maximum budget ni 50,000/=
  18. Holden Homes

    Ijue tv ya hisense original na fake

    Tv brand ya hisense ni moja ya TV inayopendwa sana na inafanya vizuri, ila baada ya watu wasio waaminifu wakitaka kutembelea huu upepo na kutaka faida kubwa wameamua kufyatua tv za hisense fake Swali wewe kama mteja utajuaje hii ni TV ya hisense fake au original???? TV original ya hisense...
  19. Adolph Jr

    Wachina mitano tena, Natafuta spear Original za pikipiki kutoka machimbo ya wachina nimesikia wametufikia

    Hapo vipi? Ni baada ya kuvumilia kwa muda mrefu kutokana na kuuziwa spare(vipuri) vya pikipiki yangu (TVS) msaada wa kwenda kazini kwangu fake kwa bei ya juu sana, baada ya mwezi kimekufa. Naomba kuulizia tafadhari, enyi wakazi wa dar (mimi nipo mkoani) ni eneo gani nikifika hapo dar es salaam...
  20. Mashamba Makubwa Nalima

    Dexter: Original Sin: Season 1 Episode 8 tayari

Back
Top Bottom